لا إله إلا الله محمد الرسول الله

Tanzania
Joined November 2011
Najua Binadam sijakamilika, niliowakosea naomba mnisamehe na Dua njema mniombee...
6
48
6
240
Mimi kama Yanga kusema kweli kundi letu hatupati hata Point 1,,, kwakifupi sisi ni Underdog
1
12
345
Mr Cheeks - Whats Happenin 🔂
2
292
Huu Mgahawa tokea nikiwa Mtoto nikitoka Town na Mshua ananileta kula,,, sasa hivi namleta yeye
50
19
3
392
26,104
Wakubwa wa High Table wakiona mbaya na Gavoo Asylum ni Canada na familia uraia ni chap wanapata Mkunja ngumi kama mimi unakimbilia kwa Wajaluo hapo Nakuru lazima unase. Raia wanaPush #Free week moja wanakusahau majonzi yanabaki kwa Familia
10
18
160
10,155
New Price🚨 iPhone 18 Pro 256Gb- 🔵⚫️3,600,000 🔴4,000,000 512Gb-4,550,000 iPhone 18 Pro Max 256Gb- 🔵4,050,000 ⚫️4,050,000 🔴4,150,000 512Gb- 🔵4,600,000 ⚫️4,600,000 🔴5,100,000 All colors available E-sim only Non-Active with 1yr warranty ☎️0652795468
1
13
14
730
Nina swali na watu wa Tech… Hii app ya Twitter inafanya kazi nikitumia Wi-Fi ya nyumbani lakini nikitoka haifanyi kazi hata uwashe Mobile Network. Nimenunua Pocket Wi-Fi lakini wapi…unstall zima washa hola Apps nyingine zote zinafanya Kazi tatizo ni nini?
14
9
1
178
19,263
Adamoo retweeted
😂😂😂😂
Replying to @Chibothehustler
Usajili tulikua tunafanya kwa kuwaibia Simba SC wachezaji wao waliokua wanawatangaza tunawaiba Airport nk Sasa hivi Simba SC wanafanya siri na wametukomoa wanaYanga kwa kufanya usajili kimyakimya
1
39
Adamoo retweeted
Linen pants available Size 30-38 45,000 Call/WhatsApp 0622494383
14
1
11
1,007
Pale Yanga tumesajili Magalasa chini ya Eng Hersi halafu lawama anapewa Kocha kwa kufukuzwa Ifike muda wanaYanga tuseme ukweli tunaharibu CV za Makocha wakati tatizo ni Eng Hersi
15
3
3
130
5,720
Koma ndoo 😅😅
You Better Watch Your Back @YoungAfricansSC
1
40
Yanga inachekesha kama sio Team yako 😂😂
5
14
3
157
14,217
HATUWEZI 😁
6
8
1
86
4,233
Adamoo retweeted
Replying to @Addy_Adams
Asante “Malezi yanachangia” Sana 80%.watot wa BaoBao nao excuse yao n Kata!? Mbona sis tumesoma kata..ivi unajua wazaz hua wana omba shule zifunguliwe watoto wamewachosha!? Suala la Malezi limekua la walimu pekee wakati nyakat zetu ilikua n jamii nzima.wazaz tubadirike
3
3
141
Marvellous Marvin Hagler the greatest and my favorite middleweight of all time,,, Mkali alikua hajui kurudi nyuma wala kushika hata upige ngumi vipi. Rest Well CHAMP 🕊️
Round one of “Hagler vs Hearns” is undoubtedly the greatest opening round in boxing history. This should be posted here once a week. I don’t care how many times I see it, it never gets old.
337
Lilikua suala la muda tu 😂😂😂😂
Tottenham ana ubonda tu,,, Migos wajiangalie
4
524
🤣🤣🤣🙌🏻
You Better Watch Your Back @YoungAfricansSC
2
1
50
Huu mwaka uishe tu kwakweli… Miezi miwili nyuma nililipia kimakosa kiwanja cha jirani tsh 565k… uki Surrender Hati kuna gharama tena yaani almost 800k imepotea,,mind you hapo inabidi na kiwanja changu nikilipie upya Si kawaida au nina wenge la AROSTO maana niko Sober muda
9
5
6
74
8,197
Wizara ya Ardhi iangalie hili suala mtu akikosea wafanye tu Transfer ya jina kuliko unazidi kupoteza hela utaenda kulipia Official Search na Deed Surrender pia ulipie. Zaidi ya hapo ni kama utapeli hela unailipia hairudi. Pia Wanafanya kazi kwa Mazoea hawaendi kwenye Plot husika
1
7
1,031
Tottenham ana ubonda tu,,, Migos wajiangalie
3
1
13
1,095