๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Media zote DUNIANI zinaripoti UTEKAJI wa Twaha Mwaiapaya, mdeia zenu zinapush MAVIZIANO.
#FreeTwahaMwaipaya
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
'Mimi ni CCM ya Nyerere, hii sasa hivi inanipa shida kidogo' - Alute Lissu
Mahojiano kamili>youtu.be/2aYT3TkLV1M?si=SDvAโฆ
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Bana public speaking ni skill aisee, unaeza kuwa Mtoto wa Rais, Mkuu wa Majeshi, tajiri lakini ukisimamishwa kuongea mbele ya watu unaonekana bure kabisa.
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
โKenya sio salama tena..โ-; @bonifacemwangi
REPOST 200
#FreeTwahaMwaipaya
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Wahuni wamemuotea Homeboy wangu๐
Haya mambo yanaumiza sana, tumekua tukiyakemea kwa miaka sasa.
Hatutaacha, hatutachoka kuendelea kuyakemea.
Unapoona matukio kama haya usiache kukemea, nitakwambia kwanini!!
Hili genge la watekaji halitumiki kuteka tu wapinzani, wanaharakati wanaoikosoa serikali na wanaojihusisha na siasa NO.
Ni genge hili hili hutumika na litatumika kuteka, kupoteza na kuua watu kwa sababu za kimahusiano, biashara na mambo mengine kwa maslahi ya watu fulani.
Usiamini, usipuuze, usifurahie na kujiona uko salama kwa sababu tu hujihusishi na siasa au hukosoi watawala na serikaliโฆ.
NO BODY IS SAFE MY DEAR.
Ipo siku utaingia kwenye 18 zao either kimahusiano, kibiashara, kinamna yoyote ileโฆ.na utapitia mateso haya haya wanayopitia wanaharakati!!
Huu sio utamaduni wa kuu~entertain au kuukalia kimya utaendelea kuota mizizi hadi kizazi kijacho!!
Tuungane kwa pamoja kuupinga!!
Twahaโฆโฆ.it hurts to look at your pictures without knowing where you are or what youโre going through.
I pray for your safety and may the blood of Jesus protect you.
We want to hear your voice and see you smile again.
Come home safely home boy โค๏ธ
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
๐จ๐ BREAKING: Chelsea recognized at the Ballon d'Or gala as winners of every major international club trophy.
#BallonDor #Chelsea
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Acheni usenge, maridhiano ya nyoko?๐ฎ
Kuanzia..
Alphonce Mawazo
Ben Saanane
Mdude Nyagali
Deusdedith Soka
Mzee Kibao n.k, wote hawa wameuawa na CCM
Sera yao ni kuua Tu๐ฎ
Maridhiano ni usenge hayarudisha uhai wao
Pamoja 4R zake #Mo29 ilipofika, aliua kubaki madarakani.
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Heche aitaka Kenya kuhakikisha Twaha Mwaipaya anapatikana salama
bbc.in/4zT4Bsi
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
๐ฐ A minimum of $๐๐๐,๐๐๐ ๐๐ง๐ $๐๐๐,๐๐๐ is guaranteed for every club that qualifies for the CAF Champions League and CAF Confederation Cup group stages respectively.
Credit to President Dr Patrice Motsepe for increasing financial support for African clubs. ๐
This is a big boost for participating clubs and a step in the right direction to help African football grow financially and become more competitive.
#CAFCLwithMicky
#CAFCCwithMicky
#AfricanFootball
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Samia Suluhu hawezi kuingiza majangili Kenya na kuweza kum track na kumteka mwanaharakati ndani ya Kenya bila ushirikiano wa serikali ya Kenya.
Twaha katekwa na marais wawili, Samia na Ruto.
The Kenyan government is equally complicit in the abduction of @Twaha_Mwaipaya as the Tanzanian illegitimate Government.
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Asante sana Kaka umeongea kwa hekima kubwa! Mpaka sasa wamekwama watekaji ila tunahitaji msako ushike kasi!
#FreeTwahaMwaipaya
Usiku kucha tumejitahidi kufanya mawasialiano na vyombo vinavyohusika Kenya ili kuweza kupata taarifa ya aliko Twaha Mwaipaya.
Tunajua serikali ya Kenya haina sababu ya kumteka Twaha.
Lakini pia tunajua sio rahisi hawa watekaji waingie Nchi nyingine wamchukue mtu bila kusaidiwa na watu wa serikali hiyo .. tunamsihi Rais @WilliamsRuto na serikali yake wasaidie kuhakikisha Twaha anapatikana akiwa mzima.
Hili litakua doa kubwa sana kwa serikali ya Kenya kuruhusu watekaji kuingia na kumchukua mtu ndani ya mipaka yao.. Kenya ni Nchi ya kidemokrasia kama mtu amekimbilia kwenu na kupata hifadhi hawezi kutekwa akiwa Kenya.
Familia tano au sita zimeteka Nchi yetu zinaua, kuteka na kunyamazisha kila mtu anetoa sauti kupinga uovu.
Watanzania tusikubali tena huu ujinga.
Tunamtaka Twaha akiwa mzima kabisa.
๐ฏ ๐ฏ๐ฏ๐ฏ retweeted
Usiku kucha tumejitahidi kufanya mawasialiano na vyombo vinavyohusika Kenya ili kuweza kupata taarifa ya aliko Twaha Mwaipaya.
Tunajua serikali ya Kenya haina sababu ya kumteka Twaha.
Lakini pia tunajua sio rahisi hawa watekaji waingie Nchi nyingine wamchukue mtu bila kusaidiwa na watu wa serikali hiyo .. tunamsihi Rais @WilliamsRuto na serikali yake wasaidie kuhakikisha Twaha anapatikana akiwa mzima.
Hili litakua doa kubwa sana kwa serikali ya Kenya kuruhusu watekaji kuingia na kumchukua mtu ndani ya mipaka yao.. Kenya ni Nchi ya kidemokrasia kama mtu amekimbilia kwenu na kupata hifadhi hawezi kutekwa akiwa Kenya.
Familia tano au sita zimeteka Nchi yetu zinaua, kuteka na kunyamazisha kila mtu anetoa sauti kupinga uovu.
Watanzania tusikubali tena huu ujinga.
Tunamtaka Twaha akiwa mzima kabisa.



































