Gwiji wa kuigiza mwenye sauti ya mamlaka na misemo ya hekima, aliyesoma hadi Uingereza akawa mtangazaji Ila baadaye akawa Muigizaji. Akacheza filamu nyingi na akajizoolea umaarufu nchini kwake Nigeria na Afrika kwa ujumla, Pete Edochie amefariki kwa Kansa akiwa na miaka 79.
29
Andrew Ndoli retweeted
Bhasi mtu atataka kujifunza kwa waliofeli,.. ndoa sio mbaya , wabaya ni hao ambao unaamua kuignore red flags na kuamini atabadilikia kwenye ndoa, kwa kifupi unazuia moto kwa kuufunika💔🙌.
Andrew Ndoli retweeted
Mwanaume anayeona kila kitu lakini akajifanya hajui chochote, ni mtu wa hatari sana
Andrew Ndoli retweeted
“Piga la kushoto nitageuza na la kulia, wengine hawanijaribu wanajua kitachotokea” 👣
Andrew Ndoli retweeted
Pale kwa next of keen kwa bank na insurance bibi anaandika mamake ,pale kwa police statement anaandika wewe . Mambo inazidi kua ngumu .
Andrew Ndoli retweeted
Mwili wangu na moyo wangu hupunguka, Bali Mungu ni mwamba wa moyo wangu na sehemu yangu milele.
Andrew Ndoli retweeted
Maisha ya mtaa hayana huruma, ukilala kwenye ndoto wenzako wanaamka kwenye mipango.
Mungu hakupi mzigo usioweza kubeba,Anajua nguvu zako kuliko unavyodhani.✊
Andrew Ndoli retweeted
Reading a book doesn't automatically make you intelligent. You have to analyse what is being said in that book to see if its true or not
Andrew Ndoli retweeted
Ukweli ni kwamba Ukitaka kuwa Millionaire fuata mfumo wa Elimu na Ukitaka kuwa Trionaire fuata mfumo wa mtaa. Hapo kila mfumo una Risk zake mchawi uvumilivu Tu😬
Andrew Ndoli retweeted
Msituite kwenye interview kama mmeshaandaa majina ya mtakaowapa kazi..
Baadhi yetu huwa tunakopa hela ya nauli, kuja kupigania kisichokuepo🥲
Andrew Ndoli retweeted
El hombre que planta un árbol sabiendo que nunca se sentará en su sombra ha entendido el significado de la vida.
Andrew Ndoli retweeted
I dropped out of school, but I never dropped out of learning. I am educated, and I believe education is much bigger than certificates. Certificates should be evidence of knowledge, not the definition of intelligence or capability.
Let’s stop glorifying certificates and start valuing skills, creativity and innovation. We need problem solvers, inventors and creators not just exam passers.
Let’s educate creators, not certificate collectors.
Andrew Ndoli retweeted
Waah wacha nisicomplain baridi mungu asidhanie siezi manage winter huko Atlanta Georgia 😂💔
Andrew Ndoli retweeted
Uzuri wa chako, hata kama ni kidogo, kinakupa amani na uhuru wa kweli. Heri kidogo cha jasho lako kuliko kikubwa cha masimango. 📌























