Pinned Tweet
Please Naomba Repost yako🙏
#AfyaYaJamii
Mada: je ni sahihi kutafuna au kufungua dawa ambazo zinakua katika mfumo wa capsule(💊)
Nifollow @icon__08 kisha angalia videos hapo chini 👇
Part 1
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Kuna mtu mpaka leo anaamini akiondoka mchezaji flani au kocha basi united itafanikiwa 😀😀😀
Usipojichunguza na kukubali mapungufu yako watu sahihi watakuja kwenye maisha yako na wataondoka kwa sababu ya tabia zako ambazo unakataa kukubali kuwa ni mapungufu yako na kero kwa wengine. Utaishia kulalamika na kulaumu watu bure tu.
Badilika wewe sio jiwe
Wakati timu ya Orlando Pirate ikiendelea kucheza mechi za ushindani kwa kucheza mechi ya ligi jana. Huku kwetu Simba wamepewa mapumziko tangu tarehe 21 Nov. Hata physical fitness ya wachezaji Orlando itakua nzuri tu na watakua wana muendlezo mzuri kukiko Simba inayofanya mazoezi ya kawaida tu.
Limeisha tukutane Jumapili Uhuru mapema tu 🤓🦁🦁
🎟️ Viingilio vya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Orlando Pirates ambao utafanyika Jumapili Novemba 29, 2026 katika Uwanja wa Uhuru.
Tiketi zinapatikana kwa njia ya mtandao: simbasc.wanaut.com #NguvuMoja
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Naomba Repost🙏
#VIATU BORA🔥🛍️
✅Size 39/40/41/42/43/44/45/46
✅Bei 65,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Naomba Repost🙏
#VIATU BORA🔥🛍️
✅Size 40/41/42/43/44/45
✅Bei 90,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Maisha mazuri hayatokani na kuwa mwenye bahati au fursa nzuri bali ni matokeo ya kutumia fursa ulizonazo vyema..! 📌
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Kuna muda maishani utakutana na watu ambao uwepo wao unakuletea ugumu na maumivu makubwa, kiasi kwamba unatamani usingewahi kuwafahamu kabisa.
SOMA TENA ✍️
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Good morning
📌Huu ndio muonekano wa chakula kinavyokaa kwenye haya mabakuli
3pcs
Tsh 49,000
0755693113
📍 Riverside, delivery nchi nzima 📌, RT🙏
Good morning people
As we open our eyes as we get out of bed and move healthy we thank God for the blessing of being alive. Its another opportunity to create the life we want tomorrow just work hard and another important thing is believe in you.
Have a fruitful Wednesday
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Hello Dears♥️ Kila tarajio ulilonalo ndani yako linahitaji Imani isiyo koma bidii isiyo koma nidhamu isiyo ya kuigiza na utu matokeo huwa hayaji ghafla tokeo moja kubwa lenye picha halisi sawa na matarajio yako ni mkusanyiko wa vitu vidogo vidogo unavyo vifanya kila siku💪








































