Atieno Shio (@AtienoShio) header
Atieno Shio (@AtienoShio) profile picture

Here to prove #MamaYukoKazini | Peleka makasiriko huko| I support anything good for my Country

Tanga
Joined September 2021
Photo by Atieno Shio (@AtienoShio)Photo by Atieno Shio (@AtienoShio)Photo by Atieno Shio (@AtienoShio)Photo by Atieno Shio (@AtienoShio)Photo by Atieno Shio (@AtienoShio)Photo by Atieno Shio (@AtienoShio)Photo by Atieno Shio (@AtienoShio)Photo by Atieno Shio (@AtienoShio)Photo by Atieno Shio (@AtienoShio)Photo by Atieno Shio (@AtienoShio)
“'For I know the plans I have for you,' declares the Lord, 'plans to prosper you and not to harm you, plans to give you a hope and a future. '” — Jeremiah 29:11.
1
3
7
📍Ikulu, Dar es Salaam “Wauzaji wa dawa za mifugo wanauza dawa feki na zisizo na viwango kwa wafugaji wetu, hivyo hilo nalo lisimamiwe vizuri.” — Rais Samia Suluhu Hassan
30
📍 IKULU, DAR ES SALAAM “Watendaji tumieni mamlaka na nafasi zenu kutatua changamoto za wananchi, msisubiri kila mara maelekezo kutoka kwa Mawaziri.” — Rais Samia Suluhu Hassan.
25
📍Ikulu, Dar es Salaam “Shughulikieni migogoro ya ardhi kwa wakati, msisubiri wananchi wafikie hatua ya kuuana.” — Rais Samia Suluhu Hassan
57
Replying to @AtienoShio
The three zeros provide a clear direction for Africa’s health agenda: zero home delivery, zero preventable maternal and newborn deaths, and zero unvaccinated children. President Samia’s message calls for coordinated action and measurable progress across countries and communities. #SamiaLeadsAfrica #MaternalAndChildHealth
1
1
6
Replying to @AtienoShio
The three zeros provide a clear direction for Africa’s health agenda: zero home delivery, zero preventable maternal and newborn deaths, and zero unvaccinated children. President Samia’s message calls for coordinated action and measurable progress across countries and communities. #SamiaLeadsAfrica #MaternalAndChildHealth
1
1
5
📍 MBAMBA BAY, RUVUMA Ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay umefikia asilimia 78. Bandari hiyo itakuwa na gati kuu lenye uwezo wa kuhudumia meli mbili zenye uzito wa tani 5,000 kila moja kwa wakati mmoja, na inatarajiwa kurahisisha usafirishaji wa mizigo na abiria.
2
📍KIRUMBA, ILEMELA – MWANZA Ujenzi wa Soko la Kirumba umefikia asilimia 76.6, kupitia Mradi wa Uendelezaji wa Miji Tanzania (TACTIC). Soko hilo linatarajiwa kukamilika Januari 2027, likiwa na lengo la kuboresha mazingira ya biashara.
6
UPATIKANAJI WA DAWA MUHIMU NCHINI WAFIKIA ASILIMIA 88 KUTOKA 58 Serikali imeendelea kuimarisha upatikanaji wa dawa muhimu nchini, ambapo kiwango cha upatikanaji kimeongezeka hadi asilimia 88 kutoka asilimia 58 mwaka 2021/22.
1
RAIS SAMIA AWEKA HISTORIA MPYA ISIOFUTIKA JIJI LA ARUSHA Ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu jijini Arusha unaendelea kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027).
13
𝐖𝐎𝐃𝐈 𝐙𝐀 𝐖𝐀𝐓𝐎𝐓𝐎 𝐖𝐀𝐂𝐇𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐙𝐈𝐌𝐄𝐎𝐍𝐆𝐄𝐙𝐄𝐊𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝟏𝟒 𝐇𝐀𝐃𝐈 𝟒𝟑𝟖. Serikali imeongeza wodi maalumu za kuhudumia watoto wachanga wagonjwa na watoto njiti kutoka 14 mwaka 2018 hadi 438 mwaka Machi 2026.
10