AzamPesa retweeted
Sio kwa ubaya ila kwenye mfumo wa kulipa kidijitali wale majama wa AzamPesa wako active balaa hata iwe usiku wa manane unalipia fresh tu bila changamoto ya kimtandao ni hawalali kabisaππΎ
AzamPesa retweeted
Leo Rasmi nimeamua kupakua App ya AzamPesa wacha nione wanajambo gani la utofauti sokoni.!!
Ukianza kujipata, zingatia kwenda...
Cashless. Achana na fiat.
Sehemu nyingi zina LIPA siku hizi.
Hii inakusaidia kuokoa vile vipengele vya "naomba buku."
Hizo buku buku zote zinabaki kwenye akaunti Yako ya AzamPesa.
#NafuuNiAzamPesa
Replying to @anuskills3
Teh Teh, akikupa mwambie akutumie kwa AzamPesa
Replying to @CrayFvceCee @bonifacejoseph_
Kutuma Pesa Mitandao yote sisi ni BUREE!
ZIRO KOTEKOTE
AzamPesa retweeted
Replying to @AzamPesa
RAHA YA AZAM PESA UNA ANDIK NAMBA UNATUMA BILA KUANGALIA MAKATO WALA TOZO πHALLA π€
AzamPesa retweeted
Replying to @AzamPesa
Naona mambo mazuri, sasa nataka API keys. Nicheki DM tuzinese
AzamPesa retweeted
Replying to @AzamPesa @SelcomPesa
Mmetisha Wazee, Sikuangalia Vizuri Kumbe AzamPesa Namba Zinabadilika Mwanzoni, Shukrani Sanaβ
AzamPesa retweeted
Replying to @AzamPesa @madeinmusoma
Kitambo tu na ni balozi asiethibitishwa,newasaidia weng kujiunga na hii huduma!
AzamPesa retweeted
Huku kuokoa 10k Kwa wiki ni suala la kawaida sana .Wajanja tunasepa na @AzamPesa
#OkoaNaAzamPesa β at Tanzania















