TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd) header
TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd) profile picture

Man of God,here to see what is going on.

Tanzania
Joined February 2025
Photo by TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd)Photo by TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd)Photo by TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd)Photo by TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd)Photo by TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd)Photo by TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd)Photo by TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd)Photo by TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd)Photo by TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd)Photo by TheBoss.๐Ÿ’ฐ (@BOSSferdd)
Hii ni mentality tu kama huna nguvu huna tu.
โ€œChipsi yai inapunguza nguvu za kiumeโ€ One of the worst statement
1
27
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Kwa ajili ya Tundu Lissu, hawa washirika wa madhulmati wote tuwakatae Una sababu gani za kutumia bidhaa za hawa watu ?
31
94
5
306
11,335
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
Replying to @BOSSferdd
goated ๐Ÿ
1
1
1
14
Kaji maliza kuweka wazi niko pale.
Dogo yupo Kariakoo anauza maji ya kunywa ya baridi , Ndani ya Siku moja anaficha 100K Kama Faida na hapo hana hata miaka 26 . Mimi jamaa yangu anaitwa Kazimzumbwi anauza kachori , ngisi ,kababu ,pweza na mchuzi wa pweza Kwa siku anaficha 200K Kama faida hapo makumbusho.
28
Dogy
Sex positions that make women cum hard The first one is:
1
1
59
Jiandae kwa sehemu zote kupita ๐Ÿ˜Ž
Ukiopoa malaya alafu ukute ana tattoo ya kipepeo mgongoni au makalioni hapo malaya umepata๐Ÿ˜
2
37
Huyu wakili mavi kweli โ˜น๏ธ
Ni rahisi kwa Kikongwe kupata Ujauzito kuliko kuitetea hukumu dhidi ya Lissu
21
ile video sio huyu mtoto alie kwenye video ni champion wa michezo hiyo tazama vizuri, sasa penal code za nini tena.โ˜น๏ธ
Kwa umri wa huyo dogo jamaa aliye record na kusambaza video za ngono za uyu mtoto anapaswa kupewa adhabu kali sana Miaka 30 jela kama Penal Code inavyo eleza bila kupepesa macho
1
1
1
181
Hii safi sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
#TajiriLaKihaya Mm ndio maana Vijana wangu huwa nawalipa kila tarehe 25. Hatakama mwezi huo tumepata Hasara!
24
Nimejuta Kuangalia ule uchafuโ˜น๏ธ
Jamaa alivyo hana huruma akampiga na about turn halafu ikaingia yote akambana na mikono ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”
21
Kila mtu ndio anajiuliza swali hili.
Kama uchaguzi ulivurugwa kwa sababu ya uchochezi; mshindi alipataje 98%? Mchochezi alivurugwa vipi na hizo asilimia (%) zilitoka wapi? Shame on you Judiciary.
53
Niliacha kwenda Kanisani baada tu ya mauji ya October Adi sasa.
SITOHUDHURIA KANISANI MPAKA TAL ATOKE. HAIWEZEKANI KKKT LINAKAA KIMYA NAMNA HII,KAZI SADAKA ZETU TU. WACHA NISALIE NYUMBANI KWANGU.
44
TheBoss.๐Ÿ’ฐ retweeted
PIGA KURA SASA! Majibu yetu kwa hukumu hii ya Tundu Lissu iwe nini? Tufanye nini kupinga huu udhalimu (Tutajadili baadaye Space:)
71%Maandamano
18%Tumwachie Mungu
11%Kitu kingine (eleza)
4,665 votes โ€ข Final results
85
145
9
605
54,489
Kosa ambalo limepikwa mda huo huo kuondoa aibu ya mwaka.
#TajiriLaKihaya Tundu Lissu ameshinda kesi ya UHAINI, lakini mahakama imemtia hatiani kwa 'kosa dogo' la UCHOCHEZI.
1
51
Tunachanga chap ๐Ÿ™
With Court considering sedition, a charge likely preferred to appease Dodoma, Tundu Lissu is likely to face a 3 to 5-year jail sentence or a fine of at least $2,000. Wanangu, kama mmenielewa, kaeni rada tuondoke na mtu wetu leoleo!
71
Hata wenyewe Wana shangaa kwanini asilimia kubwa ya wananchi wako upande wa TAL.
59
Lissu is out today ๐Ÿ™๐Ÿ™
As long as tunategeana kwenye harakati hizi za ukombozi tujiandae kuumizwa wote kwa zamu! Mungu ameshatuonyesha njia Oktoba 29 2025 - na anasema TUSIOGOPE! Tukikubali Hofu itutawale tutaishi na mashetani! Sina cha ziada kwa sasa! We all have to learn this lesson the hard way!
33
Case closed ๐Ÿ™
"Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa. Tumeona hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa alilenga kuitishia serikali. Tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1, 2 & 16 tumeona ni nadharia, haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia serikali." - Mahamama Kuu 6.11.'26
43
Iko ban
Kuna taarifa IG haifunguki bongo, ni kweli?
1
39
Mpaka hapa tu mh Lissu yupo huru ๐Ÿ™๐Ÿ™
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 496 Upande wa mashtaka walieleza kuwa kauli ya mshtakiwa inatakuwa itazamwe katika muktadha mzima kuwa aliitishia serikali na kuwa mshtakiwa alikuwa na lengo la kuitisha serikali regardless kama serikali ilitishika au la! Ushahidi wa upande wa utetezi mshtakiwa alisema maneno hayo lazima yapimwe katika muktadha wa kisiasa na lengo kwa kauli hiyo ilikuwa ni kueleza msimamo wa kisiasa wa Chadema na lengo lake halikuwa kuitishia Serikali, mtazamo huu ulingwa mkono na shahidi wa 2,3,4 na 5 kuwa kauli ya No reforms, No election ililenga kueleza ushawishi wa kisiasa. Upande wa utetezi ulisema neno uasi lazima nilitazamwe katika muktadha wa kisiasa na kauli hiyo haikuwa na lengo la kuitishia Serikali au kuchochea vurugu. Mshtakiwa alieleza kuwa upande wa mashtaka walipaswa kuthibitisha nia hiyo kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia serikali na sio hisia tu. Mshtakiwa alieleza kuwa upande wa mashtaka walishindwa kuthibitisha Kwa ushahidi uliotolewa kuna mambo ambayo hayabishaniwi, kwanza Chadema imekuwa inatetea mabadiliko ya kikatiba, na mfumo wa uchaguzi na msimamo wa No reforms, No election, kupitia mkutano huo wa 3/4/2025 mshtakiwa alitoa hayo maneno mbele ya viongozi wenzake, wanachama, watia nia na waandishi wa habari na mkutano huo ulirushwa live. Upande wa utetezi wamemaintain kuwa kauli hiyo ni ya kisiasa ililenga umma to boycott uchaguzi na sio kuitishia serikali. Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa na tumeona kuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja hatujaona kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali, tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1,2 na 16 tumeona ni assumption haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali. Tumeona kwamba ushahidi uliotolewa na mashtaka una fall short kuthibitisha shitaka la uhaini hivyo katika kiini hiki cha pili tunaona ushahidi haujakidhi kuonyesha nia ya uhaini. Kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) kuna vitu vitatu ikiwemo factuai issues, mahakama lazima iangalie ushahidi kujiridhisha na tatu ni ushahidi uoi umetolewa. Mahakama inaona kwamba tafsiri ya maneno ya Lissu bila tangible evidence tumeongozwa na kanuni kwamba nia (mens rea) ni internal state of mind lazima liambatane na ushahidi wa kimazingira na vitendo vya kufanya uhaini. Nia ovu siku zote inakuwa inferred kutoka kwa maneno na matendo ya mshtakiwa. Part 497 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba Repost yako.
2
82