Hii dunia ukishangaa ya Lubasha, utaona ya Magiri! Nimeona eti vile vipochi wanavyobeba watu wa mjini vinafunguliwa kwa fingerprint ๐๐ Sasa pochi yenyewe ya ngozi, mwizi si anaichana tu au anatatua zipu haraka sana? ๐
๐
๐
Sijawahi kua na maisha bora kama ya Olevel, advance na chuo. Best time of my life.. lengo lilikua moja kufaulu basi na nilikua nikisoma nafaulu!
โTulidhani furaha ilikuwa mbele yetu, kumbe wakati mwingine furaha yenyewe ilikuwa pale tulipokuwaโ
Maisha ya shule pengine ndiyo maisha yenye furaha zaidi ukilinganisha na hatua nyingine tunazopitia katika safari ya maisha. Ilikuwa ni kipindi ambacho hakuna aliyewaza kuhusu bili ya umeme, maji, kodi ya nyumba wala gharama za maisha.
Urafiki wa kweli, wa dhati na usio na masharti ulitawala. Tulipendana bila kuangalia nani anatoka familia tajiri, nani ana uwezo mkubwa au nani hana kitu. Tulikuwa pamoja kwa sababu tulikuwa sisi. Cha kushangaza zaidi, hakuna aliyejua miaka kumi tu baadaye maisha yangempeleka wapi.
Mchana darasani, jioni uwanjani tukipiga mpira, na usiku kwenye vibanda umiza kutazama filamu za Van Damme, Rambo na Jet Li. Hizo ndizo zilikuwa burudani zetu. Tulicheka kwa moyo wote, tulitania bila kuumizana na tulifurahia hata vitu vidogo ambavyo leo tungeona havina maana.
Wakati huo, karibu wote tulikuwa sawa. Hakukuwa na matabaka makubwa kati yetu. Sote tulikuwa na ndoto zinazofanana, matumaini yanayofanana na hofu zilezile za matokeo ya mitihani. Kila mmoja alipambana kwa namna yake kuhakikisha anapata angalau Division Four ya 26, ili mradi tu asikose nafasi ya kusomea ualimu! Huo ndio ulikuwa mtazamo wetu wa mafanikio wakati ule.
Lakini miaka imepita. Maisha yametutawanya katika njia tofauti. Wengine wamefanikiwa, wengine bado wanapambana, na wengine wamejikuta katika hali ambazo hawakuwahi kuzifikiria walipokuwa wakiketi pamoja kwenye madawati yale ya shule.
Leo tukikutana tena, mara nyingi hatuoni tena tabasamu lile la zamani. Furaha haiji kwa wepesi kama ilivyokuwa. Mazungumzo yamebadilika, ukaribu umepungua na matabaka ya maisha yamejenga umbali mkubwa kati yetu. Kila mmoja ana mzigo wake, mapambano yake na simulizi yake ambayo huenda wengine hawaijui. Hata sonona imekuwa sehemu ya maisha ya wengi.
Wapo wanaotamani sana muda urudi nyuma. Wangependa kupata nafasi nyingine ya kufanya maamuzi tofauti, kurekebisha makosa, kuchagua njia nyingine na pengine kuishi maisha tofauti na haya waliyonayo leo. Lakini muda hauna mlango wa kurudi nyuma. Umesonga mbele, na baadhi ya nafasi hazirudi tena.
Pengine hatukujua kwamba tulikuwa tunaishi siku bora zaidi za maisha yetu. Tulidhani furaha ilikuwa mbele yetu, kumbe wakati mwingine furaha yenyewe ilikuwa pale tulipokuwa. Hapa niko na mwanangu @stanitoh85 ๐๐ป
Arsenal we used to be shit kipindi kile ila sio kama hawa Man u aisee, seriously kabisa wako kwa relegation zone
Poverty ni shida, simu haikai na charge badala nunua mpya nawaza nunua power bank, basi sawa, Sam bingwa la mazaga zaga hapo Makumbusho tuma power bank kubwa kama generator KVA 50 chap๐
๐
Sometimes Muumba huwa anaamua kukufumbia macho na kukuacha ufanye unavyojua, kumbe ndiyo unazidi kujidhihirisha ujinga na upuuzi wako. Ndiyo hii sasa, kaacha watu waone how Tanzania really is kwenye haya masuala ๐๐๐
Moja ya mambo yanayonifurahisha katika uongozi wa Rais Samia ni uhuru uliopo nchini. Fikiria, kesi kama ya Tundu Lissu inasikilizwa katika mahakama za kiraia, na wananchi wanaruhusiwa kufika mahakamani na kufuatilia mwenendo wa kesi.
Katika baadhi ya nchi, kesi zenye mazingira kama hayo husikilizwa katika mahakama za kijeshi, huku raia wakizuiwa kuhudhuria.
Uhuru wa mahakama, uwazi na haki ya wananchi kufuatilia mwenendo wa mashauri ni misingi muhimu ya utawala wa sheria. Hii ndiyo maana ya utawala bora๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ.
A young boy from a farming family in Singida, Tanzania, has grown into a formidable freedom fighter and one of the countryโs most influential opposition voicesโperhaps the leader of a new political force.
That man is TAL.๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Nyooshaaaa
As an American constitutional lawyer, I have personally litigated cases defending the rights to free expression and due process. These are fundamental principles of human liberty. For that reason, I am closely following the outcome of Tundu Lissuโs trial proceedings, and the broader implications for the rule of law.



















