Kuna mwanetu,yeye anaongeza size kila kukicha kwaajili ya hawa viumbe"馃槄馃槄
Me hapana kwakweli acha wajibake馃槄馃槄
Today Mood!
sometimes acha,tuwaandikie kila aina ya andiko single mother labda wataelewa.
Usiku nikaicheki manzi X,ikawa haijibu meseji wala kuokota simu.
Asubuhi manzi inaamka na text ya kusema imejawa na hasira.
No greeting,No sorry!
Huyu akiachwa nae,atakuja kusema me mbaya
Bro to Bro
NEVERRRR simping to women.
Kila mwanamke ambae hujamkuta BK,simply she's in rebound with you.
Mpende kwa kiasi,mpe anachostahili kwa kiasi,usimuamin hata kwa 1%.
NB:Kuna siku atakuacha na kumfata yule aliekuaminisha kuwa aliwahi kumuumiza.
A. B.
Nasikia Kuna Moja ukijaribu kuweka karanga mbichi ndani yake zinaiva(kuwa mchemko) na nyingine ukiweka karanga inakuwa chungu.
X wajuaji drop maoni.
Some time tunapitia mambo magumu na yanakuwa Yana changamoto ni kwasababu Kuna kitu wazawa walio pita mabibi na wazee walitenda kosa na imekuwa laana flani kwa namna Moja au nyingine, MUNGU yupo kutimiliza adhabu ya kizazi Cha sasa ni lazima maombi sana tu.
SIKILIZA KWA MAKINI馃檹
Bony"Mwana玫 Huyu anaweza kufungwa hata kwa kosa la uchoraji tattoo Hovyo"馃槄
Wakuitwa Kelvin 馃槄
This quoted post is unavailable.
BRO TO BRO:Hawa ni mfano wa wanawake wazuri,waliobarikiwa kila kitu lakini waliachwa na vidume vinavyoitambua thamani yao.
Usikubali kuwa FALA,kwenye maisha ya mwanamke unaempenda..!
Uzuri wa mwanamke isiwe sababu ya presha kwenye maisha yako,Bro.
Reminder:Hakuna mwanamke asie













