𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63) profile picture

𝐄𝐯𝐞𝐫𝐲𝐭𝐡𝐢𝐧𝐠 𝐢𝐬 𝐚𝐛𝐨𝐮𝐭 𝐌𝐚𝐧'𝐬 𝐥𝐢𝐟𝐞 ✌️

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2023
Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Wajina najua upo mjini na unapambana sana,But now me umri umeenda nataka urudi kijijini ufanye hii biashara ya dawa ya kienjeji. Nikamuuliza ina hela,Babu? He said hela ipo nakuhakikisha,hautojuta,hata siku moja. Basi nikamuomba muongozo kidogo.
1
1
3
117
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
𝐁𝐑𝐎 𝐓𝐎 𝐁𝐑𝐎 Dunia imebeba amani,tabasamu na furaha lakini sio kwaajili ya mwanaume. Mwanaume utaadhibiwa kwa kubaka,kuikosoa serikali hata mapenzi muda mwingine. Ni ngumu kumkuta mwanamke akikaa chini na kuwaza kesho yake itakuwaje bila chozi la mwanaume. Bro Amka.
1
3
7
232
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Kuna chalii mmoja humu alikuaga na harakati za kua msanii hivi aliendaga wapi asee maana nilimwambia ukweli hawezi kufanikiwa mpaka anarudi kwa Mola. Handle nmesahau😂
23
31
3
90
3,636
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
PLAYER!!!!!!!!!!!🚨
7
10
8
147
3,537
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Ms Lyne🙂‍↔️❤️
45
32
26
316
26,102
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
As long as List umetaja hamna Viwanja, Hisa, Ujenzi wala mashamba... Ni Viatu, perfume, nguo na kujitoa out.. Imekuelezea zaidi Koku ni Mtu wa namna gani 😂
Kama nikiwa single naweza kujinunulia viatu pair 5, perfume , nguo , kujitoa out , chakula, kujifanyia mazuri why nikiwa na mtu iwe shida kumpa kiatu pair moja au mbili , kumtoa dinner once or twice ?? Why niumie 😅😅 why nione anaongeza garama ? Most of you are simply not generous 😅 ndo maana mnaumia
9
5
2
87
7,315
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Bro, kuna muda presha haitakuwa kuhusu iPhone wala nguo. Presha itakuwa ni nani ana nyumba, uimara wa kifedha na familia yenye furaha. Kazana!!! 👊👊
19
56
1
234
4,582
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Nikifika dar ndoto yangu kubwa ni kulala na wewe tu I wish👏🏿
You are not everyone's cup of tea 🌚you might be somebody's glass of wine though 🤣🤣🤣 Somebody's favourite vintage wine🥂🥂
11
6
18
774
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Binafsi siamini kuwa MO ana Hela Nyingi Kuliko BAKHRESSA.!!
13
6
1
75
4,591
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Sema kuna biashara zina hela kinoma ni vile watu mnajikita kwenye usomi sana!. Nikirudi mkoani morogoro nataka nifungue duka la miti-shamba. Urithi pekee usiokuwa na majungu,wala fitna. Babu kanipigia simu jana, akasema hivi;
1
6
35
1,439
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Sure Nakumbuka jana, nilikuwa kazini. Wife akanipigia simu kuwa kuna mgeni(shoga ake),kafika home toka asubuhi. akanambia baba G,chakula hakitoshi na nimepata huyu mwenzangu tunafanyaje sasa. Me nimemwambia mfukuze kama unaweza,But budget hapo ilikuwa ya wewe na mwanangu.😅
Wazazi wetu zamani tulipokuwa wadogo walikuwa wanatukataza kula kwatu, hawakuwa na nia mbaya tusile kwa majirani bali logic ya chakula ni pana sana, Ukiwa mtu mzima unagundua sio kila chakula mpishi anandaa kwaajili ya kila mtu.
1
2
8
1,671
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Mzee wangu hakuwahi kuniambia masuala ya ukiwa mkubwa utaona ila kuna jinsi nilikuwa naact ananikata jicho hilo lenyewe linasema “ipo siku utajua” Aiseee ndo najua saa hii This Life weuh 😂🔥🔥
1
3
21
802
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Bro to Bro Simply kama demu wako anaweza kukaa masaa 24 bila kukutafuta. Trust Me; kuna msela anapigiwa simu kila baada ya saa moja,muda ambao wewe unatamani akutafute. Usikubali kuwa second hand, hakupendi huyo Bro. Never Be a Nice Guy,Ninja 🥷.
1
4
26
960
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Nikadhani malaika ila izi camera
3
4
11
217
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Yani kisa umenitongoza nmekataa ndo unagoma hata kunirepostia post za matangazo kweli?!😭 Kuweni na huruma jamaniiiii😭🤲
32
36
2
121
2,959
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
UNAPANGA KUWEKEZA KWENYE APARTMENTS? USIANZE UJENZI KABLA YA KUZINGATIA MAMBO HAYA 8! 🏢 @GeoConstructors @Geo_Traverse 1 : UCHAGUZI WA ENEO – Chagua eneo lenye fursa nzuri za upangishaji na miundombinu inayofaa. 2 : UCHAMBUZI WA SOKO – Fahamu mahitaji ya wapangaji, aina ya apartments zinazohitajika na viwango vya kodi katika eneo husika. 3 : BAJETI YA MRADI – Panga gharama za ujenzi na matumizi mengine kwa kutumia B.O.Q. ili kuwa na makadirio sahihi ya fedha. 4 : RAMANI YA KITAALAMU – Hakikisha usanifu wa jengo unaendana na ukubwa wa kiwanja, bajeti na malengo ya mradi. 5 : IDADI NA UKUBWA WA UNITS – Panga idadi na ukubwa wa apartments kulingana na kundi la wapangaji unaolenga. 6 : MIUNDOMBINU MUHIMU – Zingatia upatikanaji wa maji, umeme, maegesho, mifumo ya maji taka na usalama. 7 : VIBALI VYA UJENZI – Hakikisha michoro na vibali vinavyohitajika vinakamilika kabla ya kuanza kazi. 8 : USIMAMIZI WA MRADI – Simamia ubora wa vifaa, kazi, muda na matumizi ya fedha kwa kushirikiana na wataalamu. HAPA NDIPO GEOTRAVERSE TUNAPOKUJA! GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES tunakupa suluhisho la kitaalamu katika hatua mbalimbali za uwekezaji wako, kuanzia maandalizi hadi utekelezaji wa mradi. Huduma zetu ni pamoja na: ▪️ Land Surveying & Consultancy ▪️ Architectural & Structural Designs ▪️ Building Plans & Approvals ▪️ Bills of Quantities (B.O.Q.) ▪️ Construction & Project Management ▪️ Uuzaji wa vifaa vya ujenzi. Tuna timu ya wataalamu wakiwemo Surveyors, Architects, Valuers na Engineers, wote katika kituo kimoja. UNA WAZO LA KUJENGA APARTMENTS? TULETEE WAZO LAKO, TUKUSAIDIE KULIBADILISHA KUWA MRADI HALISI. 📞 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp) 📍 Dodoma, Barabara ya Tisa. @Geo_Traverse | @GeoConstructors GEOTRAVERSE — Your One-Stop Solution for All Your Land and Construction Issues. #GeoTraverse #GeoConstructors #ApartmentsDesign #RealEstateInvestment #ConstructionTanzania
2
44
2
46
1,492
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Wakuu msiwashangae wala kuwacheka watu wanao piga Block .......kuna mafala wapo humu wanapiga SPANA yaaani unakosa kabisa comeback njia ya kutuliza machungu inakubidi ublock tu😁😁🤣ila sijawahi block mtu
20
23
2
69
1,374
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Mtu anasahau password yake kwa usiku mzima ila asubuhi yake anakumbuka. Kugongwe is real wazee 💔
8
13
31
692
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Umeshika Nini Mkononi Mda Huu?
13
11
4
30
889
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
You are not everyone's cup of tea 🌚you might be somebody's glass of wine though 🤣🤣🤣 Somebody's favourite vintage wine🥂🥂
4
10
4
40
2,205