
R. I. P Mom (27/07/2016) π God Rest You In Peace Our Dear Mother ππ Phone No: 0769230966 Email: [email protected]
Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2019
- Tweets20.4K
- Following8.6K
- Followers10.3K
- Likes64.1K
Pinned Tweet
ππππππππ ππππππ ( Offer Offer Offer)
Jeans Kadeti T-shirt
π¦πππ: M,L,XL,XXL
πππ: Ni Kuanzia Elfu 10000 Tu
Tunapatikana Zanzibar Bubwini Njia Ya Kama
Zanzibar tunafanya delivery
Au Jiunge na group letu la WhatsApp
chat.whatsapp.com/H9I1d1YjJxβ¦
Bwaji Deo retweeted
Wengine tunapambana sana kwenye maisha yetu kwa sababu kila tukiangalia mbele au kugeuka nyuma
Hatumuoni mtu wa kutushika mikono kwenye shida na changamoto zetu, zaidi ya kuwa na watu ambao wanatuzama sisi kama tumaini lao.
Bwaji Deo retweeted
Umaridadi unaficha umasikini, ila ni mara chache saana umasikini kuuficha umaridadi.
Bwaji Deo retweeted
Weusi Unaweza Kua Asili Yangu Na Weupe Asili Yao Ipo Hivyo Na Itabaki Kua Hivyo Siku Zote.
Ila Kamwe Hata Kama Natokea Familia Ya Kiamasikini Siwezi Kusema Umasikini Asili Yangu Kwa Sababu Weusi Naweza Kurithi Ila Siwezi Kuruhusu Kurithi Umasikini Katika Maisha Yangu.
Bwaji Deo retweeted
Hakuna Kitu Kinauma Kama Kuambiwa Wale Kwenye Familia Yao Wote Ni Masikini Hakunaga Mwenye Afadhali
Umasikini Ni Sifa lakini Kuwa Masikini Sio Sifa Nzuri, Pinga Umasikini, Kataa Umasikini ,Kataa Kuitwa Masikini Kubali Kuambukizwa Utajiri Ila Sio Uambukizwe Umasikini.
Bwaji Deo retweeted
2020 Tuhakikishe Tunapambana Na Umasikini Ila Tusipambane Na Watu Ambao Wameamua Kupambana Na Umasikini Huo.
Wale Wenye Connection Hakikisheni Mnawakumbuka Na Wale Wasio Na Connection Maisha Kupigana Tafu Maisha Sio Kuishi Peke Yako Tunyanyuane Hata Kwa Kile Kidogo Kidogo.
Bwaji Deo retweeted
Binafsi nafanya kazi kwenye ofisi za watu kwa kitu ambacho sikusoma chuoni, nilipomaliza chuo nikakosa kazi na sijui kuimba wala kucheza mziki nikaamua kujifunza mambo mengine.
Japo ilichukua muda ila hayo mambo mengine angalau nalipa kodi ya nyumba, nakula na familia kidogo.
Bwaji Deo retweeted
Sijisifii ila matokeo yangu ya O'level nilikuwa na B- Physics- A- Chemistry- B- Biology na sikusoma PCB nikaenda EGM,nadhani wenye akili wamenielewa.
Bwaji Deo retweeted
Kipindi najitafuta nilikua namlaumu sana kaka yetu kwanini ana hela ila nikimuomba anipush ananitupa, siku niliyokubali kwamba natakiwa nijipambanie mwenyewe niache lawama ndio nikaanza kupiga hatua, mustakabali wa maisha yako ipo mikononi mwako, punguza lawama na ufanye kazi.
Bwaji Deo retweeted
Mkeo akijua upo bar na wana anajua wewe ndio unawanunulia washikaji, kumbe unakuta washikaji ndio wanaosimamia show.
Kuna mwanangu akiwa hana hela hata bia ukimnunulia hataki anasema akirudi home mkewe anamwambia βhela ya nyumbani huna ila ya kulewa unapataβ.
Anamnusa mdomo.
Bwaji Deo retweeted
Ukimtoa date akaja bila nauli, mpe anachotaka ila ukirudi nyumbani futa namba yake na usimtafute tena.
Bwaji Deo retweeted
Weekend Kama Hii Ukiwaga Nyumbani Unatamani Uonje Mpaka Chai Inayopikwa Jikoni Na Mama Watoto.
Ila Asikwambie Mtu Bwana Kushinda Nyumbani Na Mama Watoto Raha Sana, Mara Umeletewa Supu, Mara Umekula Hiki Mara Umekula "Kile ".
Vijana Oweni Bwana Mnakosa Vingi Sana.
Bwaji Deo retweeted
Kuna muda unajikuta una mzigo wa stress kule unakotoka hasa kwenye utafutaji wa riziki ila ukirudi nyumbani na kuwakuta watoto wanafuraha juu ya uwepo wako, basi stress zinapungua taratibu.
Bwaji Deo retweeted
"Akina sisi bado tunaamini Mungu wetu anagawa riziki sawa kwa wote ila mazingira ya utafutaji na bidii zetu ndio yanatofautiana "
Bwaji Deo retweeted
Usimsahau Ndugu Yako Kwenye Maombi Wakati Unaomba Kwa Ajili Yako Ili Mungu Akufungulie Milango Ya Baraka Kwenye Utafutaji Wako Na Wake
Hii Inapelekea Kuvua Minyororo Ya Umasikini Na Kuepusha Vizinga Vya Hapa Na Pale Ila Zaidi Muombee Yule Unaemuona Ana Juhudi Katika Utafutaji.
Bwaji Deo retweeted
Hujasoma Means Huna Elimu Ila Unalalamika Na Kumkufuru Mungu Kwamba Kwanini Huna Kazi.
Hebu Waza Yale Maumivu Ya Yule Mtu Kakaa Darasani, Na Vyuoni Miaka Kadhaa Na Ana Elimu Nzuri Tu Lakini Mpaka Leo Yupo Mtaani Miaka Kadhaa Pamoja Na Vyeti Vyake Vyote Na Kazi Hajapata.
Bwaji Deo retweeted
Utatumia Nguvu Gani? Kumshawishi Mtu Asiye Na Elimu Yoyote Ila Ana Pesa Kuwa Elimu Ni Msingi Mkubwa Katika Maisha Ikiwa Wewe Mwenye Elimu lakini Huna Pesa Na Maisha Yako Hayaeleweki.
Bwaji Deo retweeted
Mjomba Ana Hela Ila Hana Elimu Kubwa Sana, Yupo Mdogo Ake Ana Elimu Ila Hana Pesa Tupo Kwa Kikao Cha Ndugu Tunaambiwa Tumsubiri Mjomba Aje Yeye Ndio Msemaji Wa Mwisho Wa Kikao Maana Asipokuwepo Yeye Mambo Hayawezi Kwenda!. Ukiwa Mkubwa Na Huna Pesa Basi Jua Utadharaulika Sana.
Bwaji Deo retweeted
Sio kwamba hatuna elimu ndio maana tunafanya hizi kazi mnazo tudharau nazo, Ni vile tu Elimu ambayo mnasema ni ufunguo kwenu, Ila kwetu imegoma kabisa Kuwa Funguo ya Maisha Yetu.
Bwaji Deo retweeted
"Wengine Hatuna Elimu Ya Kutosha Ndio Maana Tukipata Kazi Inatubidi Tuvumilie Mengi Hasa Manyanyaso Muda Mwingine Muda Wa Kuingia Kazini Unajulikana Lakini Wa Kutoka Ndio Tatizo Kubwa Kwetu "
Sauti Ya Mtaani. #bizhumanrights









