CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
#VisitMbeya
Wao wanaita Mbeya sisi Tunaita Nyumbani
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
miongoni mwa 7bu nyingi za why uunge mkono harakati za ukombozi wa pili wa nchi hii ni kuondokana na 'viongozi' ambao, badala ya kuja kukusikiliza, wanakuja kukufokea. kukukaripia. kukutisha. kujimwambafai. trust me, you deserve more than these pricks! teapawt.net/Twaha_Mwaipaya/status/…
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
#VisitMbeya
Kila la kheri purple 💜🟣 National Hapo kesho
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
Mzee wangu Freeman Mbowe amejua kutupigisha Yowe la kisiasa. Imekuwa ghafla sana aisee!
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
Wanangu challenge ni kumaliza hii michango kabla ya siku 20 tangu tuanze michango.
Leo ni siku ya 14 na tuna 218.
Kiufupi tupo nje ya MUDA SANAAAA.
Changia sasa MPESA.
0744446969
Jina: CHADEMA HQ
Repost 200.
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
BREAKING: Lebanon President Aoun meets US Secretary of State Rubio in Washington, DC
🔴 LIVE updates: aje.news/zpl6ns?update=47861…
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
Replying to @CHEUUSII
Sahihi hii moment hawezi kuja kuisahau hasa hizo picha zinaishi milele kwaiyo kusahaurika ni ngumu mno
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
Pumzika kwa amani Mzee Akwino Pandisha. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yako yaliyojaa baraka, busara, na mafundisho mengi kwetu. Umeondoka ukiwa umetupa msingi imara wa kusimama. Nenda kwa amani, Mzee wetu. Eternal peace grant unto him, Lord.
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
#VisitMbeya
Wao huita Mbeya Sisi Tunaita Nyumbani.
Green city
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
#VisitMbeya
Wao huita Mbeya Sisi Tunaita Nyumbani
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
Replying to @prolific_88
NISAIDIENI KAZI WAKUU
Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
#VisitMbeya
📍 Ngenda Hotel Isyesye Mbeya
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
Kwa wapenzi wa Chadema Tanzania nzima , huu ni wakati wa kuonyesha umoja wetu
Hali tuliyokuww nayo wote tunaijua
Kama mfumo umekufanya uote hii twit Tafadhali ritwit ifike mbali
Repost 990
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
Ni sawa tu na vyoo vya bar za uswahilini na ushuani..
Uswahilini hata mfanya usafi awe hapo na fimbo, Kuna mswahili atachafua mazingira..
Ila huyu huyu mswahili, mpeleke ushuani uone kama atahribu mazingira..
Same person, ila perspective Yake inabadilika kulingana na mazingira aliyopo..
Replying to @DadaConso
Lakin sister hii sio kazi ni uzembe wa watenda kazi maana airport &sgr station kuna mtu mda wote yupo around na hizo sehemu yani pakitokea mistake ni haraka inafanyiwa kazi kuliko huko stand za daladala
CHEEUUUSIII🇮🇷 retweeted
Jana na Leo Asubuhi Tulipost Hapa kwamba Iran ilishindwa kufungua mlango bahari wa Hormuz sababu wameshindwa Kutegua Mabomu iliyoyatega Majini kwa asilimia 100, Kama kawaida ya Waajemi wa Masukanzi wakasema ni Propaganda.
Mchana wa Leo Iliripotiwa Meli za Kivita za Marekani zilipita Mlango wa Hormuz salama na haikujulikana zinaenda wapi.
Sahizi vyombo vya habari vinaripoti kwamba Meli hizo zimeanza kufanya "Mines Clearance" zinategua mabomu yaliyobakia katika mlango huo






























