#Karibuni_Sana
Huduma za kizawa, bei za kifalme
Combo available ✅ @og_outfits
Denim shirt 45000
Size L ,Xl,Xxl,3Xl,4Xl✅
Tshirt white/black 20000
Size L,Xl,Xxl,3Xl,4Xl✅
Cape (Free size)✅
20000
Denim Jeans 40000
Size 30,31,32,33,34,36,38 (40)✅
Delivery ✅ (No free delivery)
📍External, Maziwa road
0763509705
1
3
108
UNAJENGA? USIKURUPUKE KUANZA UJENZI KABLA YA KUPIMA KIWANJA CHAKO!
Watu wengi hukimbilia kununua vifaa na kuanza ujenzi bila kujua mipaka na vipimo sahihi vya maeneo yao. Jambo ambalo linaweza kuwasababishia changamoto ambazo zingeweza kuepukika kwa kupata ushauri wa wataalamu mapema.
Kupima kiwanja si utaratibu wa kawaida tu, ni hatua muhimu katika kuhakikisha unafanya maamuzi sahihi kabla ya kuwekeza kwenye ujenzi.
Katika GEOTRAVERSE Group of Companies, tunakuunganisha na wataalamu wa Surveying, Architecture, Engineering na Construction ili kuhakikisha mradi wako unaanza kwenye msingi sahihi.
Jenga kwa maarifa. Wekeza kwa uhakika.
📍 Dodoma, Barabara ya Tisa
📞 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp)
@Geo_Traverse | @GeoConstructors
#GeoTraverse #LandSurveying #ConstructionTanzania #ArdhiNiMaisha
#VisitMbeya
5 Bwana asema hivi, Baba zenu waliona dhuluma gani kwangu, hata wakafarakana nami, wakafuata ubatili, nao wakawa ubatili?
Yeremia 2:5
3
120
BEI ZA KIZAWA, HUDUMA ZA KIFALME.
#karibuni_sana
🏡 USIKOSE FURSA YA KUWA MMILIKI WA KIwanja CHAKO!
@GeoConstructors @Geo_Traverse Group of Companies inakuletea fursa ya kuwekeza kwenye ardhi katika maeneo ya Buigiri na Mlimwa C, Daraja la Mavunde
📍 1. VIWANJA – BUIGIRI
✅ Viwanja Na. 45, 46 na 47
✅ Bei: TSh 8,000,000 kwa kila kiwanja
✅ Takribani mita 300 kutoka Lami Mpya ya Kikombo
📍 2. VIWANJA – MLIMWA C, DARAJA LA MAVUNDE
✅ Bei: TSh 28,000,000 kwa kiwanja kimoja
💰 WEKEZA KWA MPANGO RAHISI WA MALIPO!
Huna haja ya kulipa kiasi chote kwa mara moja. Unaweza kulipa kwa awamu mbili ndani ya kipindi cha miezi mitatu:
🔹 Awamu ya kwanza: TSh 4,000,000
🔹 Awamu ya pili: TSh 4,000,000 baada ya miezi 3.
Mpango huu wa malipo unahusu viwanja vya Buigiri vyenye bei ya TSh 8,000,000.
Ardhi ni mali yenye thamani inayoweza kuwa msingi wa maendeleo ya familia yako na uwekezaji wa baadaye. Chukua hatua leo kabla fursa haijapita!
📞 WASILIANA NASI LEO
0719 336 667
0763 782 274
🌐 geotraversegroup.com
📍 Barabara ya 9, Tisa, Dodoma
GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES
Tunajenga Maadili, Tunajenga Maisha!
#GeotraverseGroup #ViwanjaVinauzwa #Buigiri #MlimwaC #ArdhiTanzania #UwekezajiWaArdhi #Dodoma
#Repost hii iende Viral
🚨🔥 UNA TSH MILIONI 4? CHUKUA HATUA LEO, KIWANJA CHAKO BUGIRI KINAKUSUBIRI! 🏡
Usisubiri mpaka uwe na milioni 8 mkononi! Pata nafasi ya kumiliki kiwanja chako Bugiri kwa kulipa kwa awamu mbili tu.💰
@GeoConstructors @Geo_Traverse
✅ Tsh 4,000,000 — Malipo ya mwanzo
✅ Tsh 4,000,000 — Baada ya miezi 3
📍 Location: Bugiri
🏡 Plot No.: 45, 46 & 47
🛣️ Mita 300 kutoka lami mpya ya Kikombo.
📣 USISOME TU, CHUKUA HATUA! 🔥
📲 Piga simu sasa hivi kwa 0719 336 667 au 0763 782 274 ili kupata maelezo zaidi na kuanza mchakato wa kumiliki kiwanja chako.
Usiache fursa ikupite bila kuulizia!
GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES 🌍
Building Africa from the ground up.
#VisitMbeya
Heri ya siku ya Nyerere Day
GOOD MORNING NAOMBA REPOST YAKO☺️❤️🤲
On this day, @GeoConstructors @Geo_Traverse tunamkumbuka Mwl Nyerere kwa Falsafa yake ya kufanya kazi,
Mwl alisema "Kazi ni Heshima, Kazi ni utu, kazi si Adhabu, Tufanye kazi"Pia
@GeoConstructors @Geo_Traverse tunaamini katika kujitegemea.Kampuni yetu ina hakikisha Kila mfanyakazi anapata nafasi na kujengewa uwezo wa Kujetegemea mwenyewe.
Kumbukizi njema ya maisha ya Mwl Nyerere.
72
#Utamduni huo
#Karibuni_Ofisini_Kwetu.
Huduma za kifalme,bei za kizawa
#Karibuni_Ofisini_Kwetu
Tuna HUDUMA ZA KIFALME BEI ZA KIZAWA.
🔥
Multipurpose cabinet ni kabati ambayo wat wanaipenda sababu haina mambo mengi
Je wajua? Sio ukubwa wa furniture unaoifanya ionekane expensive; finishing nzuri ndiyo moja ya siri kubwa.”
Call/what's app 0710 398 946
Karibuni sana
Ubungo msewe
Delivery ipoo
1
3
140














































