Chambilo Henricko retweeted
Jana Aigle Noir walipiga mpira mwingi mpaka nikawa najiuliza hii timu imekaa pamoja muda gani? Ikanilazimu nitazame msimamo wa Ligi Ya Burundi na kugundua wamemaliza nafasi ya 3.
Chambilo Henricko retweeted
Questions Thread ....
1. Uchaguzi Huu upo Upande Upi?
Retweet Upinzani
Like Chama tawala
Chambilo Henricko retweeted
Replying to @swahilitimes
Kenya walizoea sana kuionea Tanzania na kujiona kuwa wao ni mabeberu wa Afrika mashariki, sasa zama zimebadilika Tanzania, Wakenya wakimwaga mboga sisi tunamwaga ugali na maji ya kunawa. Jino kwa jino. We mean business
Chambilo Henricko retweeted
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetupilia mbali pingamizi dhidi ya mgombea Urais wa Tanzania kupitia CUF lililowekwa na mgombea wa CHADEMA. Katika pingamizi hilo Tundu Lissu ameeleza kuwa Prof. Ibrahim Lipumba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliyowekwa na sheria.
Chambilo Henricko retweeted
Bashiru tumekurahisishia kazi kabisa.
👉Mtume sasa Lipumba na Shibuda kuwa tuko NEC tunawasubiri..
👉Yaani safari hii ni jino kwa jino yaani..Hakuna mambo ya tunamuachia Mungu hapa. Yaani kazi kazi
Andaeni mgombea wenu maana MDAHALO uko pale pale tena kwa KIINGEREZA 🤣😂
Chambilo Henricko retweeted
Replying to @kigogo2014
JPM hakutumia akili. Kupambana na mtu anayejua udhaifu wake ni jambo ambalo hakulijua lita mcost kiasi kwamba mpinzani ndio anazidi kuwa maarufu. Maana kila mtu atataka kujua ni nini kinachoendelea dhidi ya Lissu. Wanachi tunakuwa kama tunafwatilia tamthilia ya Lissu na JPM😂😂
Chambilo Henricko retweeted
Mgombea Urais wa Chadema Mhe. @TunduALissu, muda huu anaelekea Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma kuwasilisha fomu zake za mapingamizi dhidi ya wagombea wengine katika nafasi ya Urai, baada ya hapo atazungumza na Waandishi wa Habari Ofisi za Chadema.
Chambilo Henricko retweeted
👉Sisi kama sisi tumewekea mapingamizi wagombea wawili ..Meko inclusive.. Narudia MEKO INCLUSIVE yaani..Hakuna mteremko hapa.
👉Bado MDAHALO yaani 😀🤣🤣🤣
Chambilo Henricko retweeted
Replying to @BabaMwita @kigogo2014
Wameingia Madarakani tu wameanza ununuzi wa ndege ambazo hazina msaada wowote katika Uchumi wetu. Baada ya kuona WAMEKULUPUKA, wakaanza kukopa fedha kutoka nje, ili waendeleze miradi, ndiyo maana Deni letu la Taifa limepanda kwa asilimia kubwa.
Mishara haipandi, ajira hakuna.
Chambilo Henricko retweeted
Baadhi ya wagombea wapya walinifata kwa ushauri. Nilichosema: kama umesukumwa na utumishi, wananchi watakukimbilia. Kama umesukumwa na mengine, wananchi utawakimbia. Kupata Ubunge sio uhodari, watu kuendelea kukuamini wakati unashughulikia shida zao ndio uhodari. Nawatakia heri.
Chambilo Henricko retweeted
Mgombea Urais wa Chadema Mhe. @TunduALissu akiongea na wananchi wa jimbo la Mafinga.#SasaBasi
Chambilo Henricko retweeted
•Mkasa Wa Zitto Kutimuliwa CHADEMA• muungano wa @ACTwazalendo na @ChademaTz utadumu kweli?
Chambilo Henricko retweeted
Happy birthday Mhe. @LazaroNyalandu Mwenyezi Mungu akujalie uishi maisha marefu yenye baraka tele.
Chambilo Henricko retweeted
Kuna ndoto yako na ndoto ambayo Mungu amekupangia. Pambana kufanikisha ndoto yako, lakini uwe tayari kwa kile ambacho Mungu amekupangia. – at Dar es Salaam, Tanzania
Chambilo Henricko retweeted
Adam Mchomvu..leo ndio amekuwa certified gangsta kwakweli 😄 – at Dar es Salaam, Tanzania
Chambilo Henricko retweeted
Kwanza maneno ya ukali ni yapi?, sheria gani inakataza kutumia maneno ya ukali?, @TunduALissu @zittokabwe @HecheJohn @IsmailJussa msitumie maneno ya ukali, tumieni maneno ya upole


























