ASANTE KAKA MASHUKURU KWA KUNIREKEBISHA , NAKUOMBA UNIWIE RADHI NEXT TIME NITAZINGATIA MAELEKEZO HAYA ENDAPO KUTAKUA NA TAARIFA ZA HIVI ππ SHUKRAN
Replying to @CuteMaria26
Asante sana kwa taarifa LAKINI ni vyema ukitumia neno la NASIKITIKA KWAARIFU KIFO CHA.....badala ya napenda kuwaarifu neno napenda hutumika kwa mambo ya furaha samahani nikikukwaza
Cute Maria retweeted

Leo #MariaSpaces tunajadili: #MO29 - Maamuzi Mazito
Mwaka jana wameua sana na hata miili ya ndugu zetu hawajaturudishia! Wameendelea mwaka mzima na utekaji, mauaji na dhulma! Wamegoma kusikiliza sauti za hekima hata miongoni mwao
Siku 3 zimebaki - tufanye maamuzi ! Leo saa 2 uck
Cute Maria retweeted
Vijana Serbia wanefyekelea mbali serikali yao kandamizi!