hivi FAM huwa anawapa nini? 😅😅😅this level of loyality is crazy
Karibu ,mimi nimeshafunga Mkanda ,niko tayari.
Wewe ndio umenielekeza upande huo ,niko tayari .
Ila umezidi UNAFIKI,unatoka Misa unaomba radhi,kabla jogoo hajawika unakana maandishi yako tena uliyoandika hadharani .
Acha CHUKI,UNAFIKI NA HUSDA KWA MHE.MBOWE .
Nasubiri utakavyokuja ndivyo nitakavyokujibu .
AM NOT A FUN BUT ENGLAND IS WINNING THIS.
Only 150 days to go until the greatest show in the world. ⏳
#FIFAWorldCup
ifike hatua Mvua ipewe nafasi ya kujitetea, inasingiziwa kila kitu – at Tanzania
Wizara ya Uchukuzi imetoa tahadhari kwa Wananchi wanaotarajia kusafiri kutumia usafiri wa reli ambazo ni Reli ya SGR na MGR ambapo imesema kuwa kufuatia kuwepo kwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zimesababisha uharibifu wa miundombinu ya reli katika njia zake katika maeneo mbalimbali.
Kupitia taarifa iliyotolewa na Wizara hiyo hii leo Disemba 28, 2025 imeeleza kuwa mvua zilizonyesha zimeanza kusababisha uharibifu katika madaraja ya reli ya zamani (MGR), hususa ni katika eneo la Kidete, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, pamoja na eneo la Gulwe, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma na kwa upande wa miundombunu ya SGR kumeshuhudiwa hitilafu za umeme wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) pamoja na umeme wa reli ya kisasa (SGR), hali iliyoathiri uendeshaji wa huduma za reli katika baadhi ya maeneo.
Kutokana na hali hiyo, Wizara imewataka wananchi “kuepuka kusafiri katika maeneo yaliyoathiriwa pale inapowezekana, kufuatilia taarifa rasmi kutoka Serikalini na vyombo husika, pamoja na kuzingatia maelekezo yanayotolewa na vyombo vya ulinzi na usalama na mamlaka za usafiri na pia kuepuka kusogea karibu na miundombinu ya reli na barabara zilizoathiriwa ili kujikinga na ajali.”
#MillardAyoUPDATES
bila kusahau ENERGY DRINKS – at Tanzania
za hivi huwa haziendi popote, U need that strict regime. someone who can say NO.
England will win the World Cup 2026 and Harry Kane will be considered the Greatest English footballer of All time. 😊 – at Tanzania
sema mwamba umejua kujidhalilisha na kiingereza chako kiiingi – at Tanzania
This quoted post is unavailable.























