
| Insurance officer | Risk manager | Man from mount Meru slope | UzaoWaKifalme | #FutureLeader. #StoryTeller.
.
Joined February 2020
- Tweets8.1K
- Following712
- Followers1.3K
- Likes164K
Pinned Tweet
Kuhusiana ushauri.
Ukimshauri mtu mwache aamue mwenyewe, usilazimishe achukue ushauri wako.
Pia jitahidi kufahamu wakati sahihi wa ushauri, siyo mara zote watu wanahitaji kushauriwa. Wana maamuzi yao tayari.
✍️
Kitendo cha kuamka asubuhi ni ushuhuda tosha kuwa lipo tumaini jipya. Ambayo hayakuwezekana jana tuyapambanie leo. Ni siku nyingine tena.✍️
Hamna uhusiano wa Mkopo na taasisi kuanguka. Kama mkopo ukitolewa kwa vigezo na ukatumika kwa ombi kusudiwa basi ni rahisi sana mambo kwenda vizuri na mkopaji akulipa. Kwenye mkopo hata ukiwa overfinanced unaweza kuanguka.
Siku hizi ikifika Ijumaa ujue Jumatatu inakuja kwa kasi sana. Ni kama vimeungana aisee. Weekend inapotea kama kivuli kwenye giza nene.
48
Tumbo dogo lakini ukimtoa out utashangaa. Mishikaki 20 ya Kware ni uhakika kabisa anaweza kuitafuna. Unaweza ukachanja kadi hadi itoe damu.
82
Kuna baadhi ya wasanii waliwahi kusikika kwenye kiwanda cha burudani sijui walipotelea wapi.
1. Galatoni
2. Nemo
3. Galaxy
4. Hisia.
Sijui waliishia wapi.
@chapo255 tusanue mkuu.
Kikao kilikuwa kifupi na cha amani sana baina ya huyu jamaa na ndugu wa mwanamke. Ni kijana amekubali kuwa mimba ni yake na atalea bila shida.
🤐
137
Sina research niliyofanya but kwa muonekano wa watu wengi maarufu ni kwenye tasnia ya burudani Tanzania wapo frustrated vibaya sana na it look like wengi ni waraibu. Very sad.
1
24
Kwenye #Kiwembe ya Joh Makini ft @JideJaydee mle kuna word play nyingi sana ambazo mwamba amezipiga. Over weekend nimeusikiliza sana ule wimbo.
🫡
1
33















