Deoxz Keezy (@Deoxz) header
Deoxz Keezy (@Deoxz) profile picture

Samani za Kisasa | Tunauza & Kutengeneza โœจ | Tabata Barakuda ๐Ÿ’Ž Where Quality Meets Style | ๐Ÿ“ž 0656177195 / 0793177195

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2011
Photo by Deoxz Keezy (@Deoxz)Photo by Deoxz Keezy (@Deoxz)Photo by Deoxz Keezy (@Deoxz)Photo by Deoxz Keezy (@Deoxz)Photo by Deoxz Keezy (@Deoxz)Photo by Deoxz Keezy (@Deoxz)Photo by Deoxz Keezy (@Deoxz)Photo by Deoxz Keezy (@Deoxz)Photo by Deoxz Keezy (@Deoxz)Photo by Deoxz Keezy (@Deoxz)
Shukurani Sana ndugu zangu! Niwashukuruni wote familia hii ya twita na nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano...., Naomba niwatambulishe Kama ifutavyo:- Gide's Quality Furniture Ni Watengenezaji na Wauzaji wa furniture za majumbani, mashuleni na maofisini Kama:-๐Ÿ‘‡
63
439
17
1,042
Nasisitiza kumpuuza Samia Suluhu na maridhiano yake ya mchongoโ€ฆ.. Si nikajisahau nimepaki kwenye red zone alafu nikaaa hapo zaidi ya 30 mins, Ila kanielewa kuwa nimechanganyikiwa na kupigania haki za Watanzania waliouwa October 29 mpaka sikuona nimepaki kwenye red zone, akanipa badala ya ticket ya fine ya $70. Tunapigania haki popote pale.
33
195
3
1,329
71,960
Pesa zote za nchi wanazo familia 5 wananchi wataacha kuishi kwenye umaskini uliokithiri? Mifumo yote inayozuia haki kupatikana Tz imeshikiliwa na hizi familia 5 piaโ€ฆโ€ฆ 1. Samia Suluhu - Ikulu 2. Mombo - Usalama Wa taifa 3. Wambura - Jeshi la polisi 4. Othman - Jeshi La Wananchi 5. Jakaya Kikwete - Strategist anae coordinate mifumo yote hii kuendelea kuzuia haki kupatikana na anae mhalalisha Samia kimataifa.
Benki ya Dunia inasema Nigeria, DRC, Ethiopia na Tanzania ni miongoni mwa vituo vikubwa zaidi vya umaskini uliokithiri Duniani. openknowledge.worldbank.org/โ€ฆ
20
159
1,052
98,437
Kwenu ICC na ICJ Samia Suluhu na wenzie lazma wawajibishwe kwa damu hiziโ€ฆโ€ฆ Nchi ya Tanzania haitokaa ipone wala itulie bila uwajibishwaji wa damu hiziโ€ฆ..
20
211
4
976
41,052
Watanzania wote tumemwangusha mtoto Angel. Wanaharakati pia tumemwangusha mtoto Angelโ€ฆโ€ฆ. KIFO CHA MTOTO ANGEL KIPO JUU YETU SISI WANANCHiโ€ฆ.. Tuanze kampeni ya kuwaomba Wa Africa wenzetu wasusie Afcon upande wa Tanzania ili kutuunga mkono kwenyw kudai hakiโ€ฆ.. Lazma tuwe na Plan A, Plan B na Plan C juu ya AFCON. Tusiweke mategemeo yetu yote kwenye maandamano tu, lazma tuwe na strategies tofauti ili kuhakikisha Watanzania wanafanikiwa kuitumia Afcon ili kuwaanika Samia Suluhu, Jakaya Kikwete na ushetani waliowafanyia Watanzania. Na pia tuanze kuelemishana mitaani kuwa tunasusia Afcon na kujipanga na maandamano. Afcon lazma itumike kuonyesha dunia mauaji ya October 29โ€ฆโ€ฆ
26
197
4
1,141
125,175
Wasanii wenu wanakuja na bonge la kampeni la Afcon. Na wimbo wamefanya kwa kutumia pesa za walipa kodi. Wasanii wenu na influencers ndio wanaenda kutumia kuitoa nchi nzima kwenye reli kwa kuitumia Afcon ili huku nyuma wauwaji waendelee kujimilikisha nchiโ€ฆ. Tusikubali kufanywa wajinga na wasanii kwenye hii AFCON.
25
222
4
1,202
48,137
Mwanaharakati ninamuengelea ni huyu. Huyu ndio mwanaharakati alieona kifo cha Angel. @UHURU12345
Watanzania wote tumemwangusha mtoto Angel. Wanaharakati pia tumemwangusha mtoto Angelโ€ฆโ€ฆ. KIFO CHA MTOTO ANGEL KIPO JUU YETU SISI WANANCHiโ€ฆ.. Tuanze kampeni ya kuwaomba Wa Africa wenzetu wasusie Afcon upande wa Tanzania ili kutuunga mkono kwenyw kudai hakiโ€ฆ.. Lazma tuwe na Plan A, Plan B na Plan C juu ya AFCON. Tusiweke mategemeo yetu yote kwenye maandamano tu, lazma tuwe na strategies tofauti ili kuhakikisha Watanzania wanafanikiwa kuitumia Afcon ili kuwaanika Samia Suluhu, Jakaya Kikwete na ushetani waliowafanyia Watanzania. Na pia tuanze kuelemishana mitaani kuwa tunasusia Afcon na kujipanga na maandamano. Afcon lazma itumike kuonyesha dunia mauaji ya October 29โ€ฆโ€ฆ
25
226
3
1,576
125,140
DEO NDEJEBI ndio Plan B ya Samia Suluhu na Jakaya Kikweteโ€ฆโ€ฆ Tusiite Afcon, tuiite AFCON YA WAUWAJI na wa Africa wenzetu wanaopanga kuja Tz tuwaambie wanakuja kusapoti mauaji ya Waafrica wenzao kupitia sports washing
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpyaโ€ฆโ€ฆ. Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
30
278
6
1,506
91,805
How I wish hapa Marekani Wakenya na Watanzania tungeweza kuji organize tukaandamana kwenye ofisi za Meta. Hii ingeamsha media za Marekani juu ya tatizo hili la meta kufuta accounts za wanaharakati na wapinzani wa serikali ya Tanzania. @Liberatus80 @tausilikokola Please tuangalie jinsi gani kufanya hili jambo. We have to bring awareness hapa Marekani ya jinsi Meta wana by operate nje ya Marekani when it comes to political opposition on social media.
INDIA: Umoja wa vijana wa chama kikuu cha upinzani cha Congress umeshiriki katika maandamano yaliyofanyika nje ya ofisi za Meta Novemba 20, 2026, wakiituhumu kufungia baadhi ya akaunti za Instagram za wanachama wa Upinzani kwa niaba ya serikali ya chama tawala cha BJP. Mdau, una maoni gani? Zaidi jamii.app/InstagramVsUpinzanโ€ฆ #JamiiForums #Governance #FreedomOfExpression #DigitaRights
22
135
1
870
52,905
Katiba yao ya mchongo ikishindikana , Kikwete na Samia Suluhu wanataka kumrithisha Deo Ndejebi Urais ili kuepuka uchaguzi wa mgombea ndani ya CCM then waibe tena uchaguzi mkuuโ€ฆ.. Kikwete na Samia wanataka kuendelea kuishikilia Ikulu kwa njia yoyote ile hata kama italeta tena maafa kwenye nchi. Hawa watu hawakujifunza kitu October 29. Watanzania tuendelee kudai haki, uhuni wa Kikwete kutuwekea marais umefika mwisho. Sasa ni muda wa Watanzania woote kuanzia ndani ya CCM mpaka nje ya CCM kuwa na haki ya kuchagua Rais wao na wabunge. HAKI LAZMA IPATIKANE, NCHI LAZMA IRUDI KWENYE MIKONO YA WANANCHI!!!!
28
220
3
1,551
79,529
Wauwaji watajitoa akili ila huu ndio ukweli.
Take a moment na tumsikilize bongo zozo! Kuna madini matupu
3
137
1,051
52,275
Mariadhiano bila chama kinachoungwa mkono na Watanzania walio wengi ni kutafuta kuiingiza nchi kwenye matatizo makubwa zaidiโ€ฆ.
Makamu Mwenyekitiwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche amesema kuwa kwa namna mchakato unavyoendeshwa wa kuelekea kwenye mazungumzo hakuna namna yanaweza kufanikiwa bila kukihusisha CHADEMA kwa kuwa ndicho chama chenye watu wengi kuliko hata Chama Cha Mapinduzi(CCM). Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Novemba 24, 2026, katika Makao Makuu ya CHADEMA jijini Dar es SalaamHeche, amesema Zanzibar vilikaa CCM na ACT Wazalendo pekee kama vile hamna vyama vingine. Amesema ni kujidanganya kwenda kufanya mazungumzo bila CHADEMA kuwepo. #EastAfricaRadio #TogetherTunawakilisha
10
151
1
1,084
35,080
Watanzania Samia atatuletea matatizo makubwa mnoooo kwenye nchi kama tusipomuondoa madarakani. Hawa Taliban hawatambuliki kama serikali halali ya Afghanistan. Kwanza wanavyotesa wanawake na mabinti ni balaa. Mabinti hawaruhusu hata kwenda shule. Kweli leo Tanzania imekuwa katili kwa wananchi wake mpaka inatafuta ushirikiano na serikali katili pia. Nawaambia yuhu kimama atatuletea shida sana. Tanzania na Taliban wapi na wapi? Hii ni desperation, kimama anakatiliwa kila kona so anajenga ukaribu na wauwaji wengine
โ€ผ๏ธWHY IS SAMIA SULUHUโ€™S ILLEGITIMATE GOVT HOSTING THE TALIBAN??โ€ผ๏ธ๐Ÿšจ So basically in November 2026, the Taliban's Minister of Industry and Commerce, Nooruddin Azizi, met with Tanzania's Minister of Minerals, Anthony Mavunde, on the sidelines of the seventh Tanzania Mining and Investment Conference (TMIC 2026) in Dar es Salaam What trade? โ€œThe two sides discussed expanding trade ties, including exporting Afghanistan's agricultural products, carpets, and mineral resources to Tanzania.โ€ What kind of Afghanistan agricultural product are we talking about that Tanzania cannot produce? Opium poppy? Engaging this govt is dangerous! Cc @NorwayMFA @usembassytz @StateDeptARS @FCDOGovUK @SweAmbTZ Kwanza tujiulize Taliban haitambuliwi kama serikali halali ya Afghanistan - walialikwa na serikali haramu ya Samia Suluhu kuongea eti biashara? Afghanistam wana kilimo gani ambacho wanatupiku? Ni madawa wa kulevya yanayotokana na mmea wa poppy!? Ama? Na wameongeza uzalishaji tena in 2026! Hii serikali imealika Muslim extremists waliochukua madaraka kwa silaha alafu wanataka kutusingizia ugaidi wanaharakati tunaotumia vijisimu vyetu ku typetype!? Thubutu! Yaani hii serikali haramu ni ya kigaidi na wanatamani walete udini na uhafudhina tu hamna kingine! Ila acha twende hivi maana #TutaelewanaTu mapema!
33
127
2
639
55,501
Sisi Waislam tunao viongozi wanaojua haki na wanaoweka ukweli na uwazi mbele sio wale wa masheikh ubwabwa wa BAKWATAโ€ฆ:.
Angalau sasa kila mmoja ana machungu, nadhani wakati wa ukombozi umefika. Sikiliza hii...!
15
158
1,086
53,039
Dadekiiii, Nchi imevimbaโ€ฆโ€ฆ. Watanzania kila mmoja wetu akijitoa kutetea na kudai haki kama hivi basi TUTASHINDA HII VITA DHIDI YA WAUWAJI WANAOSHIKILIA NCHI KWA KUTUMIA JESHI LA POLISIโ€ฆโ€ฆ. Kama uko Tz na huwezi kujitoa kwa jina lako basi anzisha page anonymous ya kudai haki kwenye mitandao ya Instagram, tiktok na Facebook. Kama uko nje ya Tanzania tafadhali tumia jina lako na sura yako mwenyewe, account zenye mtu anaonyesha sura yake ndio zinashawishi wananchi kiurahisi zaidi kuliko account zisizo na mtu anaejulikana. Nawaomba haswa diaspora wote tuwe wanaharakati tunaoweka sura zetu kwenye page. Hii ndio njia effective tunaweza kuwasaidia wenzetu nyumbani wapate uhuru wao kutoka kwa WAKOLONI WEUSI!!!! WAKOLONI WEUSI NI WAKATILI KWA WATANZANIA KULIKO WAKOLONI WEUPE WALIVYOKUWA WAKATILI KWA KINA NYEREREโ€ฆ.
25
391
5
2,744
153,953
Kimama leo atakesha ananoa visuโ€ฆ.. Hatomuachaโ€ฆโ€ฆ Mwigulu anasema watu wasiuawe wakati bosi wake bado ana kiu ya damu za Watanzania? Njia pekee waliyobaki nayo Samia Suluhu na Jakaya Kikwete kuitawala Tanzania ni mauaji, utekaji na kesi za uhaini na ugaidi alafu Mwigulu anasema watu wasiuliwe, lazma wapite naeโ€ฆโ€ฆ
Dada @mangekimambi sasa tunaona ulichomaanisha kuhusu Mwigulu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ. Leo nakunywa mtori wakati wao wanatibuana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ THE CHANZO WAMEANDIKA โ€œWaziri Mkuu: Watanzania tusiende uelekeo wa kuona kuua mtu ni jambo la kawaida Akizungumza leo Novemba 25, 2026, katika mkutano wa hadhara Ifakara, Morogoro, Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amewatahadharisha Watanzania juu ya mauaji ya watu nchini, na kueleza jambo hilo linaweza kuvunja utaifa. "Nairudia hii naisisitiza kwa sababu tusifike kwenye mazoea ya kuona watu kuuana ni jambo la kawaida. Mambo haya huwa yanaalika visasi, yanaalika makovu, makovu yasiyopona," ameeleza Dk. Nchemba. "Na mimi niwaambieni Watanzania, hatujazoea maisha ya kuwindana, wala hatutaweza kuishi hivyo," alieleza zaidi kwenye hotuba yake huku akigusia matukio ya mauaji kutokana na migogoro ya wakulima na wafugaji. "Narudia tena Watanzania, tusiende uelekeo huo wa kuona kuua ua mtu ni jambo la kawaida tu.Tumerithi taifa lina heshima. Lazima tusiweke mzaha kwenye mambo ya msingi ambayo ni misingi iliyojenga taifa letu hili. Lazima tusiwe na mzaha kabisa kwenye nguzo zilizofanya taifa letu hili likasimama mpaka leo. Tukicheza cheza na misingi, tukacheza cheza na nguzo za taifa letu, tutaua utaifa wetu." Pamoja na kutoa maagizo ya moja kwa moja kwa Mamlaka mbalimbali kama TAKUKURU, Waziri Mkuu ameeleza kuwa ameitisha kikao na wakuu wote wa mikoa kuangalia mambo hayoโ€.
13
118
2
995
73,830
Nimeona mawachwa wa wauwaji wanamsema Heche kuhusu maridhiano ya South Africa yalivyofanyikaโ€ฆ.. Heche yuko sahihiโ€ฆ.
23
194
1
1,259
44,391
Nimeona ACT Wazalendo wanalalamika kuwa Heche anawadogosha vyama vingine vya upinzani. ACT mlijidogosha wenyewe mbele ya macho ya Watanzania, na hakuna come backโ€ฆ MSITAFUTE MCHAWI. Tamaa zenu za pesa ndio zimeimaliza chama.
34
253
5
1,461
55,197
Watanzania tumpuuze kimama na hizo sinema zake za maridhiano ya mchongoโ€ฆ Tupeleke nguvu kwenye kuandamana siku ya kwanza ya mechi ya AFCONโ€ฆโ€ฆ
30
224
5
1,328
54,904
๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค
Mtoto wa miaka 13. Ndoto zake alikua anataka kuwa daktari. Angel alipigwa risasi na watu wenye uchu wa madaraka na kiu ya damu za watu. Watu hawa wanaoendelea kuteka kila anaekosoa mfumo wao, wanaua, wanafunga jela kwa kesi za uongo. Familia nyingi kama ilivyo familia ya Angel wanabaki na majonzi na maumivu yasiyokwisha. Chuki inaongezeka, uhasama unajengeka wannabe wanafikiri wataua kila Mtanzania anaekemea huu uovu Mpaka wabaki ambao wataogopa kabisa na kukaa kimya wote.. Nafikiri wanajidanganya sana, kila uovu unaofanyika unaongeza chuki, unawapa watu ujasiri wa kupinga mabaya na wengi zaidi watazaliwa kukataa huu mfumo wa kidkteta wa sisi kuishi kama mateka. Tunakulilia Angela kama wengine wote ambao maisha yao yamekatishwa na yanaendelea kukatishwa bila sababu. Tunajua uovu wao huu wanataka kutubambikizia sisi, tunajua kesi wanaoandaa dhidi yetu ili kuficha wauaji halisi na kukamata watu wema. Vyovyote watakavyofanya, tutaendelea kupigania haki ya kila mtu na lazima itapatikana na waliohusika watawajibika. Pole sana familia ya Angel. Pumzika kwa Amani Malaika.
9
66
588
47,895
THE 2 DEVILS WHO ARE DESTROYING TANZANIA BECAUSE OF GREED!!!!!!!!
25
287
3
1,999
48,321