Pinned Tweet
Habari ndugu Mwanamafanikio,
Naitwa Edwin Francis Memirieki (EFM).Naandika kuhusu vitu ninavyojifunza na kufanya kila siku:
• Business storytelling
• Subconscious mind
• Habits & systems for success
• Wealth building strategies
• Scholarship opportunities
• Communication skills
• Life philosophy
• Research & business tips
Kama unapenda kujifunza, kufikiri tofauti na kukua kila siku, karibu!
Follow @EdwinMjeru tuendelee kujinoa na kuwa bora katika maisha yetu.
Unlock and live your dream!
Kama hii ingekuwa ni huduma rasmi, ni ‘Route’ zipi zingefaa sana kupitisha watalii na kuhakikisha wanaona vivutio , na kujifunza historia ya jiji la DSM na Tanzania kwa ujumla?
Chuma ianzie wapi na kuishia wapi?
Haitoshi KUJUA.
Nani ANAJUA kuwa UNAJUA imata pia.
Hasa, kama akijua kama SULUHISHO la uhitaji wake. Ndipo THAMANI ya unachojua ilipolala.
Mojawapo ya dalili kwamba utapata mabadiliko au matokeo tofauti baadaye ni TABIA mpya chanya ambayo unaijenga sasa hivi juu ya hicho kitu.
Shule inakupa maarifa na ufahamu juu ya mambo. Industry inataka uwezo na ujuzi wa kutumia maarifa ili kuleta matokeo.
Edwin F.M retweeted
Kuwa unique sio lazima uvumbue kitu kipya.
Wakati mwingine ni kuangalia tatizo la zamani kwa mtazamo mpya.
Here’s my POV: 🧶👇🏾
Edwin F.M retweeted
Replying to @WeVineyard @EdwinMjeru @bwaya @Udadisi @SwahiliBible @mmwambanga @MarkMwandosya @AnnaTibaijuka
Vipaumbele na umakini. Huwezi kununua maelfu ya Mavii 8 na wakati huohuo kuboresha elimu
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
kwenye hilo battle wanatafutwa wajinga wajae kwenye mfumo wapigwe
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
CFEs watapoteza mapema sana, hao wengine ni wapambanaji mstari wa mbele na wanajua hali ilivyo na picha halisi
Edwin F.M retweeted
Hawa ni wajamaa wenzetu kabisa? Socialists? Communists? Au kuna namna 😕 😞
@EdwinMjeru @bwaya @Udadisi @MabalaMakengeza @SwahiliBible @mmwambanga @MarkMwandosya @AnnaTibaijuka
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Kila mtu anatetea ulaji kwa kuwapiga wenzake kuwafundisha jinsi ya kutengeneza pesa
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Wengi siyo wafanyabiashara. Ni matapeli, wanaotafuta wafuasi wa kuwapiga.
Ukoshaona mtu anapinga mfumo mmoja au anaonesha kuwa anachofanya kinahitaji elements za uahujaa kwa umma ujue ni utapeli.
Na kwakuwa hesabu ni janga watu wanatafuta na kutapeliwa kwa kutafuniwa kila kitu.
Edwin F.M retweeted
Jukwaa bora la vijana #ElimikaWikiendi
Jumamosi hii linarindima, ni fursa kwako kulitumia kutoa elimu, ujuzi na maarifa kubwa zaidi kutakuwa na mjadala mbashara.
Edwin F.M retweeted
Replying to @EdwinMjeru
Mtu anaanza waza negativity, what if it doesn't work out? Damn
















