Heri ya Siku ya Madaraka!
Leo tunaadhimisha hatua muhimu katika historia ya taifa letu, tukikumbuka juhudi, umoja na uzalendo uliotuletea uhuru wa kujitawala.
Radio Ashe
Mungu Ibariki Kenya.
#MadarakaDay2026 #RadioAshe #Kenya #UmojaNaMaendeleo
18
Jumla ya mataifa 11 kutoka upembe wa Afrika na Afrika Mashariki yamekongamana jiji Addis Ababa nchini Ethiopia kwenye kongamano la 73 la Ghacof. Kwenye kongamano hilo, wadau wanatathmini matukio ya msimu wa Masika . Mwandishi wetu @EmmanuelMatano4
@IGAD_CPAC #GHACOF73
38
Wazee wa Samburu na Gabbra wajadili studioni kuhusu njia za kukabiliana na visa vya ukeketaji wa wanawake na ndoa za mapema katika kaunti ya Samburu na Marsabit
@WorldVisionKE #EndFGM #EndChildMarriage
@Leseketetii
19
#Yanayojiri
Wakulima wahimizwa kukuza mimea inayokomaa haraka na ile iliyo na uwezo wa kustahimili kiangazi huku kaunti ya Marsabit ikitarajiwa kupokea mvua ya wastani kuelekea chini ya wastani katika msimu wa mvua za Masika @radio_ashe
@IGAD_CPAC
#MwengeWaAshe
@BreakingNews
1
29
#Yanayojiri
Jaji mkuu mstaafu David Maraga Ametangaza azma yake ya kuwania Urais mwaka 2027 kupitia chama Cha united green movement.
#NewsUpdate
#trend
#Breakingnews
#Tanzia
Mbunge wa zamani wa laikipia kaskazini Matthew Lempurkel ameaga Dunia.
Lempurkel alikuwa akiuguza majereha baada ya kupata ajali wiki iliyopita. Alikuwa mbunge wa laikipia kaskazini 2013-2017.
#Yanayojiri
#MwengeWaAshe
#NewsUpdate #newsupdate #newsupdate2025
1
98
BREAKING: President Ruto nominates 10 new cabinet secretaries, bringing opposition members into his government
BREAKING: Agriculture CS Mithika Linturi survives impeachment after seven out of 11 committee members probing the fake fertilizer scam voted to save him
#BreakingNews
#linturi
President Ruto promotes Lieutenant General Charles Muriu Kahariri to the rank of General; appoints him Chief of Defence Forces
@radio
#breakingnews
Mkuu wa Majeshi Generali Francis Ogolla ameaga dunia, taifa litaomboleza Kwa siku 3 kuanzia kesho. Rais @WilliamsRuto amesema Ogolla alihusika kwenye ajali ya ndege katika eneo la Sindar, kaunti ya Elgeyo Market
#BreakingNews
#mwengewaradioashe
Bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli na mafuta ya taa zimeshuka Kwa shilingi 5.31, 10, na 18.68 mtawalia. Petroli Lita 1 itauzwa Kwa shilingi 193.84 huku Dizeli ikiuzwa Kwa shilingi 180.38 Mafuta ya taa yatauzwa Kwa shilingi 170.06
#EPRA
Bei ya mafuta inatarajiwa kupunguza Kwa shilingi 10 kuanzia leo. Gharama ya maisha utaenda chini- Asema Rais @WilliamsRuto akiwa Nyeri
There is need to engage the Youth in the fight against FGM in Samburu County. #AntiFGMBoard today sensitised the Youth in Samburu on effects of FGM
@MenEndFGM
@Leseketetii
@radio_ashe
75% of women between the ages of 15-49 years in Samburu County have undergone FGM. There is need for concerted efforts in the fight against FGM.
#SasaNiSisi
@MenEndFGM
@UNICEFKenya
@_AfricanUnion
@TheGirlGen
The Youth are an essential component in the fight against Fgm and Teenage pregnancies in Samburu County
#SasaNiSisi
@MenEndFGM @UNICEFKenya @_AfricanUnion
















