Events By Slide Visuals (@EventsBySlide) header
Events By Slide Visuals (@EventsBySlide) profile picture
Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2016
Photo by Events By Slide Visuals (@EventsBySlide)Photo by Events By Slide Visuals (@EventsBySlide)Photo by Events By Slide Visuals (@EventsBySlide)Photo by Events By Slide Visuals (@EventsBySlide)Photo by Events By Slide Visuals (@EventsBySlide)Photo by Events By Slide Visuals (@EventsBySlide)Photo by Events By Slide Visuals (@EventsBySlide)Photo by Events By Slide Visuals (@EventsBySlide)Photo by Events By Slide Visuals (@EventsBySlide)Photo by Events By Slide Visuals (@EventsBySlide)
⚡️ “Episode 37 Season Finale...” by @NgazKwaNgaz teapawt.net/i/moments/857867495453…
6
14
1
126
Asante sana kwa kuwa nasi kwenye msimu wa kwanza wa kipindi cha #NgazKwaNgaz kupitia @eastafricatv . Tukutane msimu ujao panapo majaliwa
3
12
2
89
Nafasi ya #1 wiki hii imekamatwa na @JKanyomozi toka Uganda na wimbo wake I’m Still Here #NgazKwaNgaz
1
10
3
54
Mtonyo mwingine ni akaunti ya polisi ya Twitter @TanPol na @TanescoYetu #NgazKwaNgaz
7
35
Mtonyo wa wiki hii ni akaunti ya Twitter ya HealthHacks inayotoa dondoo mbalimbali za kiafya #NgazKwaNgaz
5
29
Events By Slide Visuals retweeted
Toka Saa 3 nimeiangalia Season ya mwisho ya @NgazKwaNgaz @EceJay @AyTanzania lets wait a new season itakuaje. – at Dar es Salaam, Tanzania
1
5
30
Kassim anasema mambo matatu mazuri kuhusu yeye ni Muungwana, Msikivu na mwenye huruma #NgazKwaNgaz
1
4
32
Baadaye waliurudia wimbo tena na The Kilimanjaro Band huku Aby Dady akihusika kama injinia #NgazKwaNgaz
3
17
Kassim anasema Somo ni wimbo aliourekodi miaka mitatu iliyopita na Aby Dady #NgazKwaNgaz
1
2
13
Kassim Mganga: Somo ni mwalimu/mkufunzi anayemfunza mwanamke kwenda kuilea ndoa NgazKwaNgaz
1
7
1
46
Nafasi ya 2 wiki hii imekamatwa na Kassim Mganga akimshirikisha Nyota Waziri na The Kilimanjaro Band kwenye Somo #NgazKwaNgaz
1
5
34
Nafasi ya 3 imekamatwa na staa wa Nigeria, Tekno na wimbo wake Yawa #NgazKwaNgaz
4
1
29
Namba 4 wiki hii inamwendea Barakah The Prince na wimbo wake Acha Niende #NgazKwaNgaz
1
4
25
Nafasi ya 5 wiki hii imekamatwa na Shaggy akimshirikisha Omi kwenye Seasons #NgazKwaNgaz
1
7
19
Beat ya Pepeta imepigwa na producer Mmarekani Thomas Crager #NgazKwaNgaz
6
21
Chin Bees anasema mama ndiye mtu anayempa hamasa sana sababu wamepitia mambo mengi pamoja #NgazKwaNgaz
4
17
Chin anasema Wanene Entertaiment walimsainisha baada ya kupenda uwezo wake wa kuimba kila aina nyimbo #NgazKwaNgaz
5
19
Chin Bees anasema wimbo wake Pepeta umepokelewa na watu wa rika mbalimbali akiwemo mama yake #NgazKwaNgaz
4
28
Chin Bees anasema jina la Kidevu hakuweza kuliepuka kutokana na kuwa na kidevu kinachoonekana sana #NgazKwaNgaz
1
3
30
Katika nafasi ya 6 yupo Chin Bees na wimbo wake Pepeta #NgazKwaNgaz
2
5
22