Asante sana kwa kuwa nasi kwenye msimu wa kwanza wa kipindi cha #NgazKwaNgaz kupitia @eastafricatv . Tukutane msimu ujao panapo majaliwa
Nafasi ya #1 wiki hii imekamatwa na @JKanyomozi toka Uganda na wimbo wake I’m Still Here #NgazKwaNgaz
Mtonyo wa wiki hii ni akaunti ya Twitter ya HealthHacks inayotoa dondoo mbalimbali za kiafya #NgazKwaNgaz
Nafasi ya 2 wiki hii imekamatwa na Kassim Mganga akimshirikisha Nyota Waziri na The Kilimanjaro Band kwenye Somo #NgazKwaNgaz
Nafasi ya 3 imekamatwa na staa wa Nigeria, Tekno na wimbo wake Yawa #NgazKwaNgaz
Namba 4 wiki hii inamwendea Barakah The Prince na wimbo wake Acha Niende #NgazKwaNgaz
Nafasi ya 5 wiki hii imekamatwa na Shaggy akimshirikisha Omi kwenye Seasons #NgazKwaNgaz
Chin Bees anasema wimbo wake Pepeta umepokelewa na watu wa rika mbalimbali akiwemo mama yake #NgazKwaNgaz










