Everlyn 馃対 retweeted
Hakikisha umekula umeshiba ndo uje kubet
Na usitegemee Ela ya kubeti
Stake high 馃敟馃敟
Everlyn 馃対 retweeted
Good morning X family
@MaxGamingtz kauli ya mwisho ulinambia ni mtowe Barcelona na rangers na Mimi nika kwambia mtowe man city uyo tucije tukalala na njaaa
Hakikisha na leo Una kunywa chai ya kushiba ili ukienda ku bet usinziee
Everlyn 馃対 retweeted
Good morning wawekezajiii
Hakikisha Leo una kunywa chai nzito sana ili ukienda kubet usisinzieee
Everlyn 馃対 retweeted
Watu wanao tujua hawapendi kuona tuna fanikiwa wanapenda kuona watu wasio wajua wanafanikiwa
Na ikitokea tumefanikiwa wanakuja kutuomba msaada wakiamini watu wasiowajua hawawezi kuwasaidia
Sasa kwanin hawapendi tufanikiwe???
Everlyn 馃対 retweeted
Inauma sana unampo mpa mtu umuhimu kwenye maisha yako lakini yeye hata hajalii 馃ズ
Imagine Leo mama wa mihogo ajafungua 馃槶
Everlyn 馃対 retweeted
Life is funny, you come with nothing then you fight for everything & later leave everything & go with nothing 馃槙馃ズ
Good morning AFRICA
Everlyn 馃対 retweeted
Watu pekee ambao watakusaidia kila wakati
Na bado wata kupenda bila masharti ni wazazi wako pekee tu
Everlyn 馃対 retweeted
Hakuna mtu ambaye ajawai kupendwa I艂a kila mtu huwa anataka kupendwa na mtu anayemtaka yeye
na hapo Ndipo matatizo ya wengi yanapoanzaga
Everlyn 馃対 retweeted
Hakuna kitu kinacho umiza zaida katika maisha Kama kuona mama yako ana zidiii kuzeeka siku hadi siku
Wakati wewe mwenyew bado ujafanikiwa 馃槶
Everlyn 馃対 retweeted
Nasema je popote utakapo muona barcelona anacheza ata acheze na Man City
Mpe Barcelona ashinde na gori 4 zitokeeee
馃槀馃槀


















