Fred Michael Masele (@Fred_Masele) header
Fred Michael Masele (@Fred_Masele) profile picture

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA_BAVICHA kanda ya Victoria (Mwanza_Geita & Kagera)_2024_2029.

Mwanza, Tanzania
Joined October 2017
Photo by Fred Michael Masele (@Fred_Masele)Photo by Fred Michael Masele (@Fred_Masele)Photo by Fred Michael Masele (@Fred_Masele)Photo by Fred Michael Masele (@Fred_Masele)Photo by Fred Michael Masele (@Fred_Masele)Photo by Fred Michael Masele (@Fred_Masele)Photo by Fred Michael Masele (@Fred_Masele)Photo by Fred Michael Masele (@Fred_Masele)Photo by Fred Michael Masele (@Fred_Masele)Photo by Fred Michael Masele (@Fred_Masele)
Hii nchi, ukatili unaonekana kuwa sifa ya kuaminiwa na kupata teuzi, huku haki na utu vikipewa kisogo. Kauli hii sio ilichochea bali Imeumiza na Kuweka makovu ya kudumu kwenye mioyo ya watu waliopoteza ndugu zao & Watanzania wenzetu. – at Mwanza, Tanzania
1
75
Kizazi chetu hakihitaji kelele nyingi; kinahitaji maarifa, nidhamu, umoja na ujasiri wa kuchukua hatua.
1
44
Fred Michael Masele retweeted
Makamu Mwenyekiti Bara, Mhe. @HecheJohn, akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya DSM, ambako ni mmoja wa mashahidi wa upande wa utetezi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. @TunduALissu. Leo, shahidi wa 3 wa upande wa utetezi, Mhe. Amani Golugwa, anamalizia kutoa ushahidi wake.
2
32
210
2,667
Fred Michael Masele retweeted
Nikiwa nimeambatana na Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Kamanda Felius Festo, Leo tumefanya kikao na Uongozi wa CHASO kwaajili ya Maandalizi ni Kongamano la CHASO Mwanza. #FreeLissuOparesheniKatibaMpya
2
23
108
1,861
Boti haiwezi kwenda mbele ikiwa nahodha anatumia muda mwingi kupaka rangi mpya kwenye ubao uliotoboka badala ya kuziba ufa unaoingiza maji.
3
37
Fred Michael Masele retweeted
MWENYEKITI KWEMA? Tunaomba utupazie SAUTI sisi watu wa MWANZA(wa hali ya chini) maana CHADEMA ndo imebaki kua sauti yetu, MWENYEKITI huku mwanza ni mwezi na nusu sasa MACHINGA wananyanyaswa sana, hata ukiwa unatembeza hata kijiko unakamatwa unapelekwa jiji unapigwa UNAPIGWA unaumizwa ad unashindwa kutembea, af unawekwa ndan(wana kalokapu) pale jiji af unaambiwa ili utoke hpo unatakiwa ulipe faini ya laki3 kama huna ikifika jioni unapelekwa CENTRO asubuhi unatolewa centro unarudishwa jiji ukikosa iyo hela kazi inakua iyo iyo jiji to centro hawataki kukupeleka mahakamani, af huku mtaani mgambo wanaingia asubuhi wanatoka usiku saa tatu ad saa nne, inamaana hawataki upate hata mia, TUNAKUFA NJAA MWENYEKITI, tunaomba utupazie SAUTI!!! Banana republic.
31
191
2
922
48,562
Fred Michael Masele retweeted
"Mahali kokote ukikuta Vijana wana resist (wanaleta fujo au kuvunja amani) ujue kuna mtu mzima mjinga ameshindwa kutimiza wajibu wake" Rais Wa TLS, Boniface Mwabukusi katika Kongamano la Siku ya Vijana Duniani lililoandaliwa na BAVICHA, Dodoma leo Tar. 12/08/2026. – at Dodoma, Tanzania
6
6
109
"Mahali kokote ukikuta Vijana wana resist (wanaleta fujo au kuvunja amani) ujue kuna mtu mzima mjinga ameshindwa kutimiza wajibu wake" Rais Wa TLS, Boniface Mwabukusi katika Kongamano la Siku ya Vijana Duniani lililoandaliwa na BAVICHA, Dodoma leo Tar. 12/08/2026. – at Dodoma, Tanzania
6
6
109
Huu ni mwendelezo wa Kupitishwa Katika tanuru la Moto kama CHADEMA. Sioni nia wala dhamira ya Kuliponya Taifa. Siku Moja Haki Itashinda na Ukweli Utajulikana.
2
61
Fred Michael Masele retweeted
1
20
63
942
Jana nilishiriki Kikao Cha Kamati Tendaji Kanda ya Victoria_Mjini GeitaGei – at Tanzania
2
348
Ni aibu na Fedhea kwa Taifa letu, Nalaani kitendo hiki Cha kinyama.
1
2
44
Fred Michael Masele retweeted
Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this! Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29. Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili. Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all. Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao. Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa. Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?
135
414
25
1,497
52,129
Nikiwa nimeambatana na Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Kamanda Felius Festo, Leo tumefanya kikao na Uongozi wa CHASO kwaajili ya Maandalizi ni Kongamano la CHASO Mwanza. #FreeLissuOparesheniKatibaMpya
2
23
108
1,861
Uhuru wetu ni wa msingi. Kumshikilia mwandishi wa habari zaidi ya saa 48 bila kumfikisha mahakamani ni ukiukwaji wa Katiba na sheria. #FreeAloyceNyandaMtozi
15
56
1,870
Hii Bei ya Mafuta Leo ni Pasua kichwa. Kila bidhaa inaenda kupanda & Kwasababu haduma za Usafirishaji zinaenda Kuongeza Bei. Hii April 1,2026 Imeingia na Maumivu kwa Taifa.
2
43
Hii siku imenikuta Mashambani! Asante Mungu kwa Kunipa Mwaka Mwingine wa Kibali & Ushindi. Bado Nitaamini. Happy birthday to me.
1
2
97
Fred Michael Masele retweeted
Mhe. Waziri @Dr_DGwajima Leo ni siku ya wanawake Duniani, lakini jumatano ya week hii Kuna allegations za Diwani wa kata ya Makiungu ya kubaka mtoto wa umri wa miaka 16 na kumuumiza mno; Mhe Naomba ufuatilie hilo suala vinginevyo juhudi za kukomesha ukatili hazitakuwa na maana.
12
25
4
213
32,281
Happy Women’s Day. Nimetafakari namna nguvu ya dola ilivyotumika dhidi ya BAWACHA leo Musoma, inadhihirisha hali inayotia huzuni kwa mustakabali wa haki na Uhuru katika Taifa. Jamii inapojenga kumbukumbu za maumivu kwa kundi fulani, Uponyaji huwa mgumu. Kila jambo lina mwisho.
1
90
Fred Michael Masele retweeted
9 Powerful lessons from the book "Believe in Yourself"
1
84
4
493
26,705