Pinned Tweet
๐จ JUST IN
Jina la Prince Dube ni moja kati ya majina yanayotajwa kuongeza nguvu kwenye Safu ya ushambuliaji ya Simba sc, kwenye Dirisha dogo la usajiliโฆ kama mbadala wa Doumbia.
Japo bado hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yanayoendelea
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
MPIRA UMEMALIZIKA, Asanteni kwa kufuatilia matangazo haya tukutane wakati mwingine mimi ni @GilbertPaul095 MTANZANIA๐น๐ฟ
Dk 90
74
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Ibrahim Bacca yuko chini pale amepata maumivu na madaktari wamo ndani ya uwanja
Dk 85
133
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Nigeria wanapelekewa pumzi ya Motooooooo๐๐๐๐
Dk 81
176
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Ni kona inapigwa pale lakini mpira unapaa lango la Nigeriaaaa
Dk 80
2
194
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Nigeria wanakosa goli ambalo nimeshindwa hadi kuandika natamani kama mngeona๐๐๐
Dk 76
159
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Anaingia Selemani Mwalimu Gomez nafasi ya Iddi Nado
Dk 72
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Mabula anaonekana kupata maumivu na ameshindwa kuendelea na mchezo
Dk 70
133
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Adaaaaamsโฆ. Shuti la ndani ya box Aishi manula anaificha kwa uzuri
Dk 67
1
180
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Sopuuuuuuuuuuuuu anapaisha juu ya lango pale, shambulizi la maana kweli kweli
Dk 65
1
220
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Nadooooooo, shuti lina babatiza ni Kona.
Anaingia ALEX IWOBI
Dk 45
2
184
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Msuvaaaaaaaaa, aah namna gani pale mduva anakosa Goli yeye na kipa tu
Dk 58
148
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Kamungooooooo, daah mpira unagonga mwamba pale kidoogo tu Tanzania waandike bao
Dk 54
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Nadooooooooooooo, shiti kali pale lakini inafichwa kwa uzuri na Goalkeeper wa Nigeria
Dk 53
188
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Ouechi yupo chini pale akiendelea kupatiwa matibabu
Dk 52
139
UPDATES ๐ดLive
Tanzania vs Nigeria (0:0)
Tanzania wanatengeneza nafasi nzuri lakini shuti la Kibu D linatulizwa kwa umakini kabisa
Dk 48
145



