The higher you go the cooler it becomes, Geopolitics News /FOOTBALL/ Fan account

New York, USA
Joined July 2024
Pinned Tweet
Hongera shujaa wetu, Benjamin Netanyahu mkuu, kwa ushindi wako muhimu katika uchaguzi wa Israeli usiku wa leo. Sijawahi kupoteza imani kwa mtu huyu mwerevu. Sasa ataongoza Israeli na Mashariki ya Kati, na Iran itakapokuwa huru, katika enzi mpya ya dhahabu. BIBI NETANYAHU
18
17
3
91
4,913
Won again ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
2
5
576
Hii tuzo Mbuzi kachukua lini tena ?? Wachambuzi
6
8
161
๐Ÿ˜๐Ÿ˜
ืžืกื™ื™ื ื™ื•ื ืืจื•ืš ืฉืœ ืคื’ื™ืฉื•ืช, ืฉื™ื—ื•ืช ื•ื”ื™ืขืจื›ื•ืช ืœืžืขืŸ ืžื™ืžื•ืฉ ืจืฆื•ืŸ ื”ื‘ื•ื—ืจ. ืžืฆืคื™ื ืœื ื• ืขื•ื“ ื™ืžื™ ืขื‘ื•ื“ื” ืืจื•ื›ื™ื, ืืš ืื ื• ืžืžื•ืงื“ื™ื ื‘ืžืฉื™ืžื” ื”ื›ื‘ื“ื” ืฉื”ื•ื˜ืœื” ืขืœื™ื ื• - ื”ื‘ืืช ืฉื™ื ื•ื™ ืœื™ืฉืจืืœ ื•ื”ืงืžืช ืžืžืฉืœืช ื’ื™ื•ืก ืฆื™ื•ื ื™ืช. ื–ื”ื• ืจืฆื•ืŸ ื”ืขื ืฉื”ื‘ื™ืข ืื™-ืืžื•ืŸ ื‘ืžืžืฉืœืช ื”ืฉื‘ืขื” ื‘ืื•ืงื˜ื•ื‘ืจ ื•ื”ื”ืฉืชืžื˜ื•ืช ื•ื‘ื’ื•ืฉ ื”ืžืฉืชืžื˜ื™ื ื‘ื›ืœืœ. ื’ื•ืฉ ืฉื ืžืฆื ื‘ืฉืคืœ ืฉืœ ืฉื ื™ ืขืฉื•ืจื™ื. ืื ื™ ื—ืฉ ืืช ื›ื•ื‘ื“ ื”ืื—ืจื™ื•ืช ื•ื”ืืžื•ืŸ ืฉื”ืขื ื™ืงื• ืœื™ ืžืื•ืช ืืœืคื™ ืื–ืจื—ื™ื ื•ืื–ืจื—ื™ื•ืช ืฉืžืืžื™ื ื™ื ื‘ืžื“ื™ื ืช ื™ืฉืจืืœ ื•ื‘ืฆื™ื•ื ื•ืช. ืชื•ื“ื” ืœื›ื ืขืœ ื”ืืžื•ืŸ! ื‘ื–ื›ื•ืชื›ื ืขืฉื™ื ื• ื”ื™ืกื˜ื•ืจื™ื” - ืชื•ืš ืฉื ื” ื‘ืœื‘ื“ ื™ื™ืกื“ื ื• ื‘ื™ืฉืจืืœ ืžืคืœื’ื” ื›ืœืœ ื™ืฉืจืืœื™ืช ื—ื“ืฉื” ืฉืžื”ื•ื•ื” ืืœื˜ืจื ื˜ื™ื‘ื” ืฉืœื˜ื•ื ื™ืช ืจืื•ื™ื” ื•ืžืžืœื›ืชื™ืช. ืชื•ื“ื” ืžืขื•ืžืง ืœื™ื‘ื™ ืœื›ืœ ื”ืžืฆื‘ื™ืขื™ื, ืœื›ืœ ื”ืชื•ืžื›ื™ื ื•ืœื›ืœ ื”ืคืขื™ืœื™ื ืฉืฉื˜ืคื• ืืชืžื•ืœ ืืช ื”ืืจืฅ. ืœืžืขื ื›ื ื•ืขื‘ื•ืจื›ื, ื ืขืžื•ื“ ื‘ืžืฉื™ืžื” ื”ื’ื“ื•ืœื” ืฉืœืคื ื™ื ื•. ื ืขืฉื” ื•ื ืฆืœื™ื—. ืื ื™ ืžืชื—ื™ื™ื‘๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
1
3
418
Huyu Bro apewe heshima yake kwenye Bike, Hawa Police wameenda kukuta chuma mtu hayupo
6
9
69
7,790
Kiwake tyu
6
7
136
Binadamu Wa Kawaida Inabidi Uzito Wako Usizidi Kilo Ngapi!? ๐Ÿ˜Ž๐Ÿค”๐Ÿ˜‚
4
8
12
233
Netanyahu officially Won the elections๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ TAKBEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER!
4
1
1
25
1,365
Mtu Katoa Ngoma Moja Au Mbili Tu Alafu Anaitwa Storyteller. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜Ž Hapa Ni Vina Au Rapcha Tu Naweza Sema Ndio Best Storyteller Hapa Tz
13
12
1
63
2,691
Iran na Ibrahim Rahby wamezima TV, awataki kuangalia matokeo ya uchaguzi wa Israel. Chuma Mh @netanyahu anaongoza kura Israel. Kudadeki kufuatacho ni Iran kukabiliana na akili kubwa.
3
4
204
Muda mrefu kabla ya kujulikana kwa jina la utani la โ€œMbweha wa Jangwaniโ€ wakati wa Vita ya Pili ya Dunia, Erwin Rommel alikuwa afisa kijana zaidi katika Jeshi la Ujerumani wakati wa Vita ya Kwanza ya Dunia. Alipigana katika medani mbalimbali za vita na kujijengea umaarufu kutokana na umakini wake kijeshi, hasa wakati wa mapigano katika Milima ya Alps nchini Italia mwaka 1917. Najua Utaniuliza alifanya nini huko Katika Milima ya Alps nchini Italia mwaka 1917. Ngoja nikwambie, Mwaka 1917, juu ya Milima ya Alps na maeneo mengine ya milimani kaskazini mwa Italia, kulitokea mapigano makubwa wakati wa Vita ya Kwanza ya Dunia, yaliyohusisha jeshi la Ujerumani na Taifa la Austria-Hungary yakipigana dhidi ya jeshi la Italia. Tarehe 24 Oktoba 1917, majeshi ya Ujerumani na Austria-Hungary yalianzisha mashambulizi makubwa dhidi ya Waitaliano katika eneo lililoitwa Caporetto, ambalo leo hii linaitwa Kobarid na lipo nchini Slovenia. Mashambulizi hayo yalivunja safu za ulinzi za Jeshi la Italia na kulazimisha jeshi kuanza kurudi nyuma. Wakati huo, Erwin Rommel alikuwa afisa kijana zaidi wa jeshi la Ujerumani. Aliongoza kikosi kidogo cha askari waliopigana milimani na kushiriki katika mashambulizi yaliyolenga kuteka maeneo yaliyokuwa yakilindwa na Waitaliano ambayo sasa ni nchi ya Slovenia. Katika mapigano mengine yaliyotokea katika Mlima Matajur, Oktoba 1917, kikosi chake kilifanikiwa kuwakamata maelfu ya wanajeshi wa Italia kama mateka na kuteka silaha nyingi. Sana Baada ya ushindi wa Caporetto, Rommel na askari wenzake waliendelea kuwafuatilia Waitaliano waliokuwa wakirudi nyuma. Mpaka kufika Novemba 1917, vikosi vya Ujerumani na Austria-Hungary vilifanikiwa kuwakamata wanajeshi wengi wa Italia. Ushujaa wake na Umakini wake katika mapigano hayo yalimletea sifa jeshini huyu Bwana mdogo wa Enzi hizo na kuchangia kushinda tuzo ya kijeshi ya Ujerumani iliyoitwa Pour le Mรฉrite. Baadaye, wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, alijulikana kama โ€œMbweha wa Jangwaniโ€ (Desert Fox) kutokana na nafasi yake kama kamanda wa majeshi ya Ujerumani ndani ya Afrika Kaskazini. Ni muhimu kutofautisha vipindi hivyo viwili mwaka 1917 Rommel alikuwa afisa kijana zaidi katika Vita ya Kwanza ya Dunia, Pia jina la โ€œMbweha wa Jangwaniโ€ alilipata kutokana na shughuli zake za kijeshi katika Vita ya Pili ya Dunia. Hivyo jamaa ni Moja ya Wanajeshi Muhimu na Maarufu sana Katika historia ya Nchi ya Ujerumani.
6
19
979
Vunga retweeted
Mtu anajifanya nabii kumbe taarifa anazinyonya kutoka ndani fuck siasa unapata faida gani vijana wanavyopotezwa kwa tamaa zenu. I feel sorry aki kwa mnaoamini siasa vya vyama vingi kijana unajipenda achana na wenge tulia lea famlia tanzania hamna upinzani kuna wachumia tumbo.
18
28
1
144
6,564
The Lion's ๐Ÿฆ big congratulations to Israel people and PM @netanyahu
1
1
106
Hivi CAF wana mpango gani na YANGA? kapewa waarabu Tupu! Ukweli ni kwamba, Kila mwarabu hesabu zake anazipigia kwa YANGA -Zamalek ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ -Young Africans ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ -Mc Alger ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ -Club Africain ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ
10
10
29
2,201
Ni leo saa 09:00 hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Afrika inachekechewa wanangu! Chungu cha 01 wapo: Esperance, Pyramids, RS Berkane na Zamalek. Chungu cha 02 wapo: SIMBA, Al Hilal, Petro de Luanda na YANGA. Chungu cha 03 wapo: Orlando Pirates, MC Alger, FC Nouadhibou na Horoya. Chungu cha 04 wapo: Willemse, MAS Fรจs, Colombe Sportive na Club Africain. Kila chungu kitatoa timu moja na kutengeneza kundi lenye jumla ya timu 4. TUPE UTABIRI WAKO, KUNDI LA SIMBA LITAKUWAJE? Sisi Simba tunatamani tupangiwe hivi: Pyramids, SIMBA wenyewe, Orlando Pirates, halafu mwisho wa kundi wawepo Willemse. WANASIMBA! ๐Ÿซก
4
17
794
Replying to @Sativa255
Sijasema mnamuonea, kama kweli anafanya udalali chama halitakiwi kumlinda wamuweke wazi na awajibishwe. Hatuwezi kumlea mtu ambae anahatarisha usalama wa wengine
2
2
5
541
Sitoshangaa YANGA akitetea taji lake la ligi msimu huu Licha ya timu yake kua nyuma kwa alama 5 bado haizuii yanga kushinda taji hilo Bado kikosi chao kwa mchezaji m1 m1ni imara kuliko simba Doumbia-Shalulile Mligo-Boka Chilambo-Yao Mfano wa wachezaji apo bado yanga ni imara
19
15
86
5,550
Noma Sana Nchi 3 Rimbi Traver & Tours Zimbabwe- Malawi -Tanzania Tajir Wa 50 Bilioni Jamaa Anacare Wateja wake sana
1
4
246
Mimi kila nikiamka nikakimbie Ile asubuhi baada ya dakika mbili nasikia kabisa moyo unasema simama kama hautaki kusimama nasimama mimi.
10
41
1
66
1,117
HARRY EDWARD KANE akiwa na miaka minane tu alienda accademy ya arsenal Legend wa club hio Liam brady akiwa ndio accademy director alimkataa harry edward kane kwan alikua MNENE sana Hakukata tamaa, Akaenda spurs akiamin anaweza Spurs wakamkataa Ikabidi...๐Ÿ‘‡
3
15
43
3,031