
To explain my self is alot of work plz judge me 😃 . #Godsavedme❤️ #Jesusgirl❤️
Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2018
- Tweets23.3K
- Following1.9K
- Followers8.3K
- Likes30.2K
iamGee💕 retweeted
Zaburi 142:1,3-7
[1]Kwa sauti yetu tunakulilia BWANA,
Kwa sauti wote tunakuomba BWANA dua.
[3]Tumezimia roho unayajua mapito yetu;
Katika njia tuendayo wametufichia mitego.
[4]Utazame mkono wa kuume ukaone,
Kwa maana sisi hatuna mtu atujuaye.
Makimbilio yametupotea,
Hakuna wa kututunza roho.
[5]BWANA, tunakuita tunasema, Ndiwe kimbilio letu,
Fungu letu katika nchi yetu.
[6]Ukisikilize kilio chetu,
Kwa maana tumedhilika sana.
Uwaponye wote wanaofuatiliwa,
Kwa maana wao ni hodari kuliko sisi.
[7]Uzitoe nafsi zao kifungoni.
Tupate kulishukuru jina lako.
Wenye haki watatuzunguka,
Kwa kuwa Wewe unatukirimu.
Siku niliyoacha kuwa mnyonge , kutomnyenyekea binadamu yoyote , kuishi ndoto zangu na kutojali ya wengine na kusimama na Mungu ndio nilipoona hata ndugu zangu ni maadui zangu.
iamGee💕 retweeted
Taarifa ya awali ya Ndg, Edgar Edson Mwakabela, @Sativa255
Baada ya @Sativa255 akiwa Dar es Salaam kutekwa, kuteswa na kutupwa pori la Katavi, waliomuokota walimfikisha Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe (Tupindo),
Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe (Tupindo), ipo katika kata ya Mbede, Wilaya ya Mlele, mkoa wa Katavi. SATIVA amefikishwa hapo akiwa na maumivu makali.
Baada ya kufikishwa Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe (Tupindo), huduma zilikuwa hafifu kutokana na kukosa mtu ambaye anamfahamu. Hakuwa na ndugu Mlele.
Kwa msaada wa haraka wa madaktari eneo hilo na tukampata Mganga Mkuu Halmashauri ya Wilaya Mlele ambaye alimjuza Mkurugenzi Halmshauri ya Mpimbwe
Mganga Mkuu wa Halmashauri Mpimbwe alimjuza Mkurugenzi kuna mtu ameokotwa katika moja ya mapori la Katavi na anahitaji msaada wa kitabibu kwa haraka.
SATIVA akaendelea kupatiwa matibabu hospitali ya halmshauri ya Wilaya ya Mpimbwe (Tupindo). Wakati huo tukiomba apatiwe rufaa kwenda DAR au MBEYA
Mganga Mkuu wa Halmashauri Mpimbwe akasema kwa utaratibu, hawana mamlaka ya kutoa rufaa kwenda nje ya mkoa. Wenye mamlaka ni hospitali ya Rufaa Mkoa.
Wakati hayo yakiendelea, tukawatafuta mawakala wa kukata tiketi, wakatueleza kwamba, ndege ya Air Tanzania imeondoka leo Katavi, route nyingine ni hadi Jumamosi.
Hivyo basi, SATIVA anaendelea na matibabu hospitali ya Mpimbwe, ukifanyika utaratibu apelekwe Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi kuendelea na matibabu ya juu.
Tumezungumza na Mganga Mkuu, apelekwe Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi (huko kuna watu watampokea), na kuanzia hapo rufaa kwenda nje ya Katavi itawezekana.
Kulikuwa na concerns tofauti kutoka kwa ndugu, jamaa na rafiki zake Edgar, hususani mama yake mzazi, zote zikiwa kwa manufaa ya SATIVA. #JusticeForSativa
Martin Maranja Masese, MMM.
iamGee💕 retweeted
Siku nyengine tena bila ndugu yetu SATIVA
Mama nyumbani analia, ndugu wanalia na marafiki zake wana huzunuka hawamuoni mpendwa wao.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akulinde ndugu yetu huko alipo!
iamGee💕 retweeted
Mungu akuondolee miba katika uchumi wako inayokuzia usifanikiwe katika jina la Yesu
I think all
Church leaders should stand on their feet and preach the word of God and leave these political dramas to kaisari’s 🙌🙌🥺
Yoo the rate of unemployment in this country is worse enough to say the top leaders are doing absolutely nothing .
iamGee💕 retweeted
Tuko kwenye siku za mwisho Mwl Mwakasege anasema weka akiba (1)
Cc @fredymboya @GladnesG














