Harry (@HarryGodfirst) header
Harry (@HarryGodfirst) profile picture

A believer✝️. John17:3, Romans 1:16-17 Athlete. Football.Swimming.Marathon.Cycling

🌍
Joined April 2021
Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)
Dont like ? Dont be a terrorist Dont support terrorism. Thanks.
unavailable
23
FAFO 👏👏👏
Serbian police shot dead a young man outside the Israeli embassy in Belgrade in the early hours of Wednesday after what authorities called a "terrorist attack". Read more: bbc.in/3VZ9ykJ
18
Mzee leo katembeza spoku ile mbaya, Mambogamboga yanapita kama yanaaga maiti😂
5
22
1
86
3,859
Mwaka mmoja sasa (Oktoba,29 ) umetimia tangu @SuluhuSamia apoteze maisha ya raia wema ili apate madaraka. Upanga na usiondoke nyumbani kwako kamwe. #NeverForget29october 💔🕯️ #MO29
2
2
91
Samia Aliua Maelfu ili Apate Madaraka kwa njia ya kumwaga Damu. #NeverForget29october 💔🕯️ #MO29
1
7
22
403
#NeverForget29october 💔🕯️ #MO29 "Mama...mama Amka ..." 🥹
26
A year has gone without our beloved ones. #NeverForget29october
19
Harry retweeted
#TANZANIA: 'SAMIA'S REFUSAL TO RELEASE COMMISSION OF INQUIRY REPORT PERPETUATES IMPUNITY'- AMNESTY "President Samia Suluhu’s continued refusal to release the Commission of Inquiry report not only entrenches a culture of secrecy, but it also perpetuates impunity." Tigere Chagutah, Amnesty International’s Regional Director for East and Southern Africa Read MORE: mwanzotv.com/amnesty-yaishut…
2
25
1
39
866
Bado kidogoooo! Soon #TutaelewanaTu Hii vita tumepigana hadi sasa na tumepoteza wenzetu 😓 ila tumeshashinda Mungu atasimama! #FreeTwahaMwaipaya
10
182
3
445
6,779
Enter a high-stakes PvE-first open-world tactical shooter in Gray Zone Warfare. Deploy solo or with your squad to complete contracts, earn PMC reputation, and survive against hostile factions in a dynamic tactical FPS. Get 35% off on Steam today!

4
4
1
71
377,532
Jamani ehh! Kesho #TukutaneParokiani Askofu Rweyongeza amesema hata ukutane na bomu ya machozi au risasi ya moto - twenzetuni! Sala muhimu katika harakati hizi! Asanteni Kanisa Katoliki! Tusisahau kupiga picha na kupost! #MO29 #Hatutasahau #WeShallNeverForget #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
12
174
3
688
15,584
CEM ina grounds za kutaka MAZUNGUMZO,Miongoni mwa mambo hayo ni 1. Lissu kuachiwa bila Masharti 2. Wana CDM wote wanaotuhumiwa kwa kesi za Uongo waachiwe 3. Wauaji wa Okt.29 WAWAJIBIKE. 4. Hawaitambui hii Serikali ya SAMIA, so its obvious Uchaguzi urudiwe Je,Samia yuko tayari?
Replying to @cw_pedro
CHADEMA tuna kazi ya kuhakikisha tunafanya Maridhiano ili tupate Katiba mpya na Kisha tupambane kutwaa dola 2030 au kuwa sehemu ya Serikali 2030 .Siasa ni mikakati na akili na sio u babe na kifua
50
Harry retweeted
Askofu kashasema...
8
1
12
310
Aisee😂
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Angeline Mabula kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora akichukua nafasi ya Beno Malisa ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
30
Harry retweeted
Siku ya kesho nitakuwa naomboleza MAUWAJI ya #MO29 hivyo shughuli zote za Sports na betting zitasimama siku nzima. #sirtiva #football #MO29 #tutakuwepo🫵🏾😎
12
74
1
427
6,677
"....CHADEMA hana Effect ..." Mnahangaika kumpa Lissu kesi ya nini Kuwawinda kina Pambalu, Heche, Twaha, Deus hao still hawana EFFECT ? CHADEMA haina effect wakati kila siku mnawazungukia kuwarubuni Wanachadema na Influencers ili CHADEMA wakubali maridhiano !?😂😂
Kwanza CHADEMA hana effect yoyote kwa umma tuweke mpira kati na vyama vingine 17 tufanye MARIDHIANO maisha yasonge... Kwani CHADEMA ni nani nchi hii?
1
6
255
IGP,CAMILUS WAMBURA anatiririsha na Machozi kufiwa na Mzee wake..... Huenda Mzee Wake Aliugua Akamuuguza na Sasa Amefariki lakini Pia Amepata Nafasi Ya Kwenda kumzika kwa Heshima. Oktoba 29 Mliua raia Wema na Kuwafukia Kama Mbwa Mkidhani MUNGU wa Mbinguni amelala na atasahau.
4
35
1
114
7,826
MaPotiii kifo kinauma eeh ? @tanpol Sasa Amri uliyotoa Oktoba 29, tukae ndani ili muue watanzania ndio mnavuna sasa.MUNGU ADHIHAKIWI bwana CAMILIUS WAMBURA. Wewe huenda umemuuguza mzee ila mauaji mliyofanya 10/29 mliua hata watoto wadogo,Waliwakosea nini ? KARMA man, KARMA !!
8
41
2
95
3,479
MWAKA MMOJA BAADA YA MAANDAMANO YA TANZANIA: KUWAKUMBUKA MASHUJAA WALIOACHA ALAMA MIOYONI MWETU 29 Oktoba 2025 – 29 Oktoba 2026 Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania ilishuhudia maandamano yaliyoacha kumbukumbu nzito katika historia ya taifa. Mwaka mmoja baadaye, tunakumbuka si tarehe pekee, bali pia maisha yaliyoguswa, familia zilizobeba huzuni na ndoto zilizokatizwa na matukio ya siku hizo. Kwa waliopoteza wapendwa wao, mwaka huu haukuwa rahisi. Kuna viti vilivyobaki wazi, sauti ambazo hazisikiki tena na mioyo ambayo bado inatafuta majibu. Lakini katika huzuni hiyo, kuna kumbukumbu zisizofutika. Kumbukumbu za watu ambao maisha yao yanaendelea kuwa sehemu ya historia yetu. Kuwakumbuka ni zaidi ya kuomboleza. Ni kutambua thamani ya uhai, kuheshimu utu na kujifunza kwamba tofauti zetu hazipaswi kutufanya tusahau ubinadamu wetu. 29 Oktoba 2026, tunainamisha vichwa vyetu kwa heshima kwa waliopoteza maisha, waliojeruhiwa na familia ambazo bado zinaishi na maumivu. Mwaka mmoja umepita, lakini kwa baadhi ya mioyo, maumivu bado ni ya jana. Mwenyezi Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi, awape faraja familia zao na atupe hekima ya kujenga Tanzania yenye amani, haki na heshima kwa uhai wa kila mmoja. Tutawakumbuka. Tutawaombea. Na hatutasahau.
9
27
421