Umeupiga mwingi sana @SimbaSCTanzania direct kwenye Makundi
#CAFConfederationCup #TotalEnergiesCAFCL
11
Hupitwi kirahisi boy , hongera sana @SimbaSCTanzania kwenye makundi.
13
New player January @ElieMpanzu7 mwamba kabisa welcome @SimbaSCTanzania
10
Hectaz_fj retweeted
Elie Mpanzu signs in as a new player for Simba SC. 🇨🇩✨
He penned a three-year deal. ✍️
#Transfers
#AfricanFootball
#nguvumoja
Hectaz_fj retweeted
✅ @SimbaSCTanzania are ready to take part in the 2024/25 #TotalEnergiesCAFCC group stage. 🇹🇿
Hectaz_fj retweeted
Kama unajua UNATEGEMEWA KWAKO/KWENU nakusii usiandamane!🔴
Mwenyekiti Mbowe ameamua kwa dhati kuwatoa sadaka wanachama wake. Na ufahamu tu ya kua mbowe anazo pesa za kugharamia Matibabu yake, amewekeza vya kutosha katika biashara yake kiasi ya kua ata akaendani miaka mitatu familia yake haitatikisika kiuchumi.
Fahamu ya kua viongozi wa chadema wamepewa pesa za kutosha kutoka nje ili walete uchochezi, je wewe umepata ata shilingi moja kujiunga nao?
Fahamu ya kua amri za jeshi zikitoka piga, sambaratisha HAWARUDI NYUMA katika utekelezaji wa Amri hiyo!🔴
Fahamu ya kua kuna maisha baada ya hayo maandamano ambayo unasukumwa kwenda kuyafanya,
Angalia nyuma...angalia familia yako ndugu zako usiwape mzigo wa lawama la kutokukuuguza na kukuhudumia kwa Madhara utakayopata kwenye maandamano yaliyopigwa Marufuku na Serikali kupitia Jeshi la Polisi!!
Usihatarishe maisha yako kwa msukumo wa watu walioshibisha matumbo yao!!
Ukavunjwe miguu kwa ajili ya mbowe ahahahahahaha.
Hectaz_fj retweeted
16 teams. 1 title. The 2024/25 #TotalEnergiesCAFCL is here. 🏆
Raise a hand if you can see your club’s logo. 🙋♂️

























