Hectaz_fj (@HectazFj) header
Hectaz_fj (@HectazFj) profile picture

Tanzanian Citizen ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ , Bachelor of Business Administration in Accounting BBA. Public Figure.

Morogoro Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น.
Joined February 2013
Photo by Hectaz_fj (@HectazFj)Photo by Hectaz_fj (@HectazFj)Photo by Hectaz_fj (@HectazFj)Photo by Hectaz_fj (@HectazFj)Photo by Hectaz_fj (@HectazFj)Photo by Hectaz_fj (@HectazFj)Photo by Hectaz_fj (@HectazFj)Photo by Hectaz_fj (@HectazFj)Photo by Hectaz_fj (@HectazFj)Photo by Hectaz_fj (@HectazFj)
Hectaz_fj retweeted
(Possible) sababu ICC kumpiku Lissu tuzo ya Bunge la Ulaya.
7
75
2
510
19,608
Mnataka kusema Balua hapati namba first eleven ya Yanga?
99
32
1
1,459
36,225
Elie Mpanzu signs in as a new player for Simba SC. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉโœจ He penned a three-year deal. โœ๏ธ #Transfers #AfricanFootball #nguvumoja
123
270
13
4,597
90,794
Ateba mmoja ni sawa Mzize, Dube, feisal, Azizi Ki na Baleke kama Kifungashio.
156
68
1
2,347
54,817
โœ… @SimbaSCTanzania are ready to take part in the 2024/25 #TotalEnergiesCAFCC group stage. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
126
363
4
3,809
73,182
Kwasasa Huyu ndio Kipaaaa Bora Africa.
69
84
1
2,541
35,990
Yupi ni kipa bora Kwasasa hapa TANZANIA?
199
35
2
1,234
55,850
Kama unajua UNATEGEMEWA KWAKO/KWENU nakusii usiandamane!๐Ÿ”ด Mwenyekiti Mbowe ameamua kwa dhati kuwatoa sadaka wanachama wake. Na ufahamu tu ya kua mbowe anazo pesa za kugharamia Matibabu yake, amewekeza vya kutosha katika biashara yake kiasi ya kua ata akaendani miaka mitatu familia yake haitatikisika kiuchumi. Fahamu ya kua viongozi wa chadema wamepewa pesa za kutosha kutoka nje ili walete uchochezi, je wewe umepata ata shilingi moja kujiunga nao? Fahamu ya kua amri za jeshi zikitoka piga, sambaratisha HAWARUDI NYUMA katika utekelezaji wa Amri hiyo!๐Ÿ”ด Fahamu ya kua kuna maisha baada ya hayo maandamano ambayo unasukumwa kwenda kuyafanya, Angalia nyuma...angalia familia yako ndugu zako usiwape mzigo wa lawama la kutokukuuguza na kukuhudumia kwa Madhara utakayopata kwenye maandamano yaliyopigwa Marufuku na Serikali kupitia Jeshi la Polisi!! Usihatarishe maisha yako kwa msukumo wa watu walioshibisha matumbo yao!! Ukavunjwe miguu kwa ajili ya mbowe ahahahahahaha.
229
20
23
188
40,877
16 teams. 1 title. The 2024/25 #TotalEnergiesCAFCL is here. ๐Ÿ† Raise a hand if you can see your clubโ€™s logo. ๐Ÿ™‹โ€โ™‚๏ธ
374
603
88
5,574
207,397
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa zikiambatana na picha pamoja na video asubuhi hii kuwa Nyumba wanazoishi Viongozi wake ambao ni Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu zimezingirwa na Askari Polisi tangu jana usiku ikiwa leo ndio siku iliyopangwa kufanyika maandamano ya amani ya maombolezo ya haki. Taarifa iliyotolewa na Chama hicho kuhusu nyumbani kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe imesomeka kama ifuatavyo โ€”โ€”โ€”> โ€œTangu jana usiku mpaka asubuhi ya leo Septemba 23, 2024 Jeshi la Polisi limefunga barabara zote zinazoelekea nyumbani kwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe, Watumiaji wote wa barabara hiyo wanasimamishwa na kukaguliwa, wakiulizwa kama wanakwenda kwenye maandamano #maombolezoyahaki" Taarifa kuhusu nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu imeeleza yafuatayo โ€”โ€”โ€”> "Asubuhi hii Jeshi la Polisi limezingira nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Lissu, #MaombolezoyaHaki" Taarifa nyingine imeuonesha ujumbe wa Katibu Mkuu John Mnyika akiwa ameuandika kwenye karatasi kwa mkono ukisomeka โ€”โ€”โ€”> "Naamini kwa nguvu ya Mungu mmeamka salama na ujasiri wa kufanya maombolezo ya haki kupitia maandamano ya amani, ni maombi yangu wote mfike kwa wakati saa 3 kamili Magomeni Mapipa na Ilala Boma Sokoni kuelekea Viwanja vya Mnazi Mmoja, nimepata taarifa wachache watakaovalishwa sare za CHADEMA waanzishe fujo kuhalalisha Polisi kufanya udhalimu, wadhibitini mapema kwa maadili na amani ya nguvu ya umma" #MillardAyoUPDATES
183
185
13
2,119
163,068
Congratulations lion ๐Ÿฆ ๐Ÿ‘ โค๏ธ
120
312
9
6,927
123,617
Kama upo nyuma ya Nay wa Mitego like na Retweet
98
895
6
5,671
144,804
To their amazing performance in matchday 5 ๐Ÿฅฐ 4x @SimbaSCTanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 2x @AlAhly ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ 2x @Crbelouizdadoff ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ 1x AS Vita Club ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ 1x @Masandawana ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ 1x @WACofficiel ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Our #TeamOfTheWeek boys definitely nailed it! ๐Ÿ‘
721
1,115
125
11,964
731,039
Kila hali kwako ifanye kuwa nia ya kujifunza , ukishinda jifunze , ukishindwa pia jifunze kwa walioshinda. ๐Ÿค๐Ÿ–ค
27
15
2
773
24,588
Nipe location โ€“ at Mwanza, Tanzania
22
27
10
116
ู‚ุจู„ ู…ุจุงุฑุงุฉ ุงู„ู…ุบุฑุจ ูˆุจู„ุฌูŠูƒุง ๐Ÿคฉ #ูƒุฃุณ_ุงู„ุนุงู„ู…_ู‚ุทุฑ2022 #Qatar2022 #Qatar #WorldcupQatar2022 #roadto2022
3
1
85
Hectaz_fj retweeted
Replying to @HectazFj
Good morning ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ‘๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
1
1
CCM imetangaza kuwa kuanzia sasa umri wa kugombea ndani ya UVCCM kwa chaguzi zijazo utakuwa mwisho ni miaka 35 badala ya 30, kauli hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo wakati akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa 10 wa UVCCM, Dodoma. #MillardAyoUPDATES
25
15
1
369
Hectaz_fj retweeted
No me acordaba que tenรญa un billete de Tanzania. Son 5000 chelines tanzanos, que equivalen a 2,06 โ‚ฌ. La verdad es que son bonitos.
5
3
13