Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
High Court of Tanzania Orders Immediate Lifting of X Restrictions
thechanzo.com/2026/11/27/hig…
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
MISA STATEMENT REGARDING ARBITRARY ARRESTS AND TORTURE OF MAASAI INDIGENOUS PEOPLES IN NGORONGORO, TANZANIA @MaasaiMisa2022
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
Uchaguzi wa ndani wa CHADEMA uliofanyika Januari 21, 2025, ni kielelezo halisi cha uchaguzi huru na wa haki. Hakika, tulifanikiwa kuweka msingi na mfano mzuri wa kuigwa katika uendeshaji wa chaguzi za kidemokrasia. Hili linadhihirishwa na kauli za baadhi ya wanachama wa Simba ambao wameutaja uchaguzi wetu kama kipimo sahihi cha uhuru na haki, wakipendekeza utaratibu huo utumike pia katika uchaguzi wao.
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
Wakili wangu msomi @TitoMagoti pamoja na wakili @KumbushoDawson wameshinda kesi yao ya kikatiba dhidi ya Serikali na sasa Serikali imeamriwa kuufungulia mtandao huu wa X (zamani Twitter) uliokuwa umezuiwa tangu Mei 20, 2025
Hongereni sana kwa ushindi huu mkubwa. Mmeonesha weledi, ujasiri na dhamira ya dhati katika kutetea haki na uhuru wa wananchi. Hakika mmeitendea haki taaluma ya uwakili 💪
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
Nimepita barabara kutoka Ubungo to Kibaha.
Maeneo ambayo juzi watu walibomolewa nyumba na serikali ya ccm kwamba ni hifadhi ya Barabara.
Watu wengi walipoteza maisha, wengi walipata magonjwa makubwa na kupoteza kila kitu walichopigania maisha yao yote.
Miaka mitatu baadae haya haya maeneo viongozi wa serikali ya ccm na majambazi wenzao wamejigawia wanajenga vituo vya mafuta kushoto na kulia!!!
Nyie Watanzania mpo mnaona uonevu mnasema Mungu atasimamia.
Cartels wamepoka nchi yetu, kila mtu ataumizwa kwa njia zake.
Lazima tukatae, maana leo watachukua nyumba yako waseme ni barabara Kesho utakuta anaishi mtoto wa Waziri hapo.
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
Ni mwezi mmoja sasa tangu Twaha Mwaipaya atekwe na vikosi vya Nduli Idd Amin Mama mpaka sasa hatujui wamempeleka wapi? Hatujui anapitia nini? Tunaendelea kumuomba Mungu amlinde na kumtetea huko aliko.
#FreeTwahaMwaipaya
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
TAMKO LA TLS KUHUSU HUKUMU YA TUNDU LISSU
TLS imetoa tamko rasmi kuhusu hukumu ya Mhe. Tundu Lissu
Kusoma tamko lote, tembelea: tls.or.tz/uploads/1795760938…
#tls #UtawalaWaSheria #Tanzania
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
A Christian in Egypt is currently facing the death penalty for converting to Christianity.
The news broke over a week ago, yet there's been zero coverage or outrage about it.
Weird.
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
HII MOVIE NI KALI SANA,
INAPASWA KILA RAIA WA NCHI HII AIANGALIE NA AIWEKE KWENYE KABATI KWAAJILI YA VIZAZI.
NI MOVIE YA KUTISHA KULIKO ILE YA SOBIBOR ZA A. HITLER.
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
Kujifanya unakemea mauaji wakati ulisapoti waandamanaji kuuawa kikatili Oct 29 na November ni maigizo,
Mambo ni ma✌️
1. Haki
2. Uwajibikaji
Hatupokei speech za kujikosha, you wanna come clean?
Fanya kama polepole, kiri,tubu, wajibika!!ikibidi nyongwa!!!
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
Hey @Meta
I never posted any incitement or violence
@OversightBoard
It is clear @finkd is collaborating with the murderous regime of Samia Suluhu to not only restrict my account but to remove content that are perfectly harmless!
As I said we need a class action suit!
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
Nobody comes back from a near death experience and says they saw Allah. It's ALWAYS JESUS CHRIST.
Fight me on this.
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
HAPPY THANKSGIVING, AMERICA! 🇺🇸❤️
Today, I am thankful for the health of my children and my own health.
I am grateful for this beautiful country that welcomed me as a Tanzanian immigrant and gave me a permanent place to call home.
One of the things I love most about America is its ability to welcome immigrants and make them feel like they truly belong. All you have to do is come here legally and respect the laws. That is all America asks of you, and I don’t think that is too much to ask.
I am also deeply grateful to @SenatorShaheen and @SenTedCruz for standing up for my birth country, Tanzania, and helping push for accountability for the horrific October 29 killings. I am particularly grateful for the bill they have co-sponsored. As someone who was born and raised in Tanzania but has found a home in America, it means so much to see American leaders take an interest in the suffering of my fellow Tanzanians and stand with those demanding justice.
Today, I am grateful for America, for the opportunities this country has given me, for the future of my children, and for the freedom to use my voice to speak up for those who cannot.
Thank you, America, for giving me a home away from home. Happy Thanksgiving! 🇺🇸❤️
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
Dear ICC Committee
We Tanganyikans have no confidence in the reconciliation commission that is being formed by a person who is a suspect in killings and cruel acts. First, the judge of this commission has allegations of taking money from drug trafficking. Second, it is a commission that is working without terms of reference. Third, it is a commission that has been formed by a suspect in the ongoing killings in Tanganyika, and the main person responsible for the killings is Samia.
We request that the International Court should not agree to hear or receive any opinions or any information from this commission because it exists to protect Samia. Currently, this commission is using significant financial resources to pay individuals to provide false testimony. Furthermore, under the supervision of this commission, Samia's illegitimate government is allegedly pressuring Meta to remove evidence posted on the social media accounts of human rights activists who advocate for justice, including, for example, the recently removed of the massacre killings pictures that posted by one of the main activists in Tanzania known as Maria sarungi ,then reffered to the recent cases of Mange Kimambi sued meta in United States Court
@ICCT_TheHague
@ngos4justice
@IntlCrimCourt
@MariaSTsehai
@UN_HRC
@Meta
@amnestyusa
@Smith_JeffreyT
@EACJCourt
@court_afchpr
@lifeofmshaba
@Europarl_EN
@aliciakearns
@CPA_UK
@mangekimambi
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
It's @ChademaTZ2 the pride of Tanzanians, Tutashinda! 💪
Eng. Hilary☆REMEMBER 29 October 2025 retweeted
Where is the incitement @Meta
What is the @OversightBoard doing to stop Meta’s collusion with despots?
‼️🚨 Uharamu wa Tume BATILI ya Lila‼️
Tumepata ushahidi usiokuwa na shaka wa picha, sauti na maandishi toka kwenye vyanzo vilivyopo ndani ya tume BATILI ya uchunguzi inayoongozwa na Jaji Mstaafu Gaidi Shaban Ally Lila pamoja na VIKARAGOSI wenzake.
Taarifa hizo ambazo tumeshaziwasilisha kwa vyombo husika duniani, zinaonyesha mipango inayosukwa ya kuwatia hatiani wanaharakati, wanasiasa wa CCM na viongozi wa Chama Kikuu cha Siasa - Chadema ambao wamekataa kuwa sehemu ya ukatili wa dola kwa raia wa Tanganyika. Katika mashitaka yanayotengenezwa na Gaidi Lila ni kuonyesha uhusika wa raia wema wa Tanganyika kwenye kudhulumu uhai wa raia wenzao wa Tanganyika.
Vibaraka hawa pamoja na kutumia vibaya madaraka yao, kuruhusu ofisi zao kutumika kwa ajili ya uhalifu na kuyafumbia macho matendo ya kihaini yaliyofanyıka kinyume na katiba na Sheria za nchi, wamesababisha kupinduliwa na kunajisiwa kwa Katiba na Utawala wa Sheria, jambo ambalo kimsingi ni uhaini.
Tunasisitiza kwamba tume hii batili ya Gaidi Lila na vikaragosi wenzie imekosa
uhalali wa kikatiba kwani uundwaji wake umetokana na mapendekezo ya tume
HARAMU ya Gaidi Mohamed Chande Othman ambayo nayo ilikuwa tume feki
iliyokiuka Ibara ya 27(1)(2) ya Katiba ya Tanzania.
Ndugu Mtanganyika usiishi kinyonge kwenye nchi yako. Ni wakati sasa wa kusimama kutetea nchi yako na taifa la Tanganyika. Tafadhali toa taarifa popote pale utakapowaona WASALITI hawa au familia zao.
Tusiogope! Tutashinda!
A luta continua, vitória é certa!
Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika!
#FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo






































