
All Day Full FPS (120FPS up to 144FPS) | GT Trigger - Console Level Control | Dimensity 8350 Ulitmet 5.5G | 1.5K 144Hz AMOLED Display #GT30Pro #OutPlayTheRest
Tanzania
Joined January 2018
- Tweets6.2K
- Following7
- Followers11.9K
- Likes2.9K
Hii ni kama Gridi ya Taifa, Unachomeka.. Inapeleka Moto.
#InfinixMobiletz #AIOT #Powerbank #earbuds #xpad30e
Tunajua Watoto wanahitaji kifaa chenye kuvumilia Kikidondoshwa, #XPAD30E inakupa uhuru hata watoto wakidondosha inakuwa salama.
Kioo chenye upana wa 11" FHD+ ikiwa na Eyes Care kulinda usalama wa macho ya mtoto.
Fungua Link shorturl.at/m0Jp8 Kununua sasa na Upate punguzo na Zawadi papo kwa hapo. Ofa hii ni kupitia link tu.
#InfinixMobiletz #XPAD30E #somakidigitali
96
Je, Wewe unatumia nini kubadilisha Picha zako nyingi kuwa Video?
Inakuchukua mda gani?
Ukiwa na NOTE 60Pro ni unagusa tu ndani ya dakika unakuwa umemaliza na kupata Video tayari kupost.
#infinixmobiletz #note60pro #CreatePro #weoutside
1
132
Simu kuisha chaji ni Moja ya vitu ambavyo vimesababisha hasara, Kupotezana na watu muhimu, Kuweka doa kwenye mahusiano na Kupelekea watu kushindwa kufanya Malipo Kwa wakati.
Ni tukio Gani umewahi kukutana nalo Kisa simu kuisha chaji na Hutokaa ulisahau..!
Weka kwenye comment section tukio Lako
#infinixmobiletz #note60pro #CreatePro #weoutside
101
Kuangalia Usalama wako ni jambo la muhimu kwenye Kila situation, NOTE 60Pro ni msaidizi wako kwenye kutunza afya Yako na kufahamu moyo wako unakwambia nini...
Furahia vacation na picha Kali, Rafiki wa kweli na Chanzo cha Vibes.
#infinixmobiletz #NOTE60Pro #infinixroartopia #createpro
106
Kariakoo Derby:
Simba Sc na Yanga Sc wanakutana kukipiga kwenye mchezo utakaochezwa Kesho tarehe 10/10/2026
Je, Nani ataibuka na Ushindi? Tabiri sasa na Ushinde Special Package.
Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo Kuanzia na Uwe wa Magoli mfano; Simba SC 00 - Yanga SC 00.
Kisha fuata vigezo vifuatavyo;
- Follow @InfinixMobileTZ
- Tag marafiki zako Watatu
- Re-tweet Hii Post
Washindi Watano wa Kwanza kuibuka na zawadi.
#InfinixMobiletz #Hot70 #RangiYakoVibeYako #PredictAndWin #SimbaSC #yangasc
89
Enjoyment on vacation inategemea camera yako!
Ukiwa na Note 60 Pro unauhakika wa kua na picha KALI na ubora mzuri sana!
Pita madukani ununue simu zetu na kupata zawadi KABAMBE
#InfinixMobiletz #NOTE60Pro #InfinixRoartopia #CreatePro
1
86
UNAONGEA LUGHA NGAPI??? 👀
Unakutana na Mzungu… unataka picha. Unasemaje? 😂📸
“NAOMBA TUPIGE PICHA!” 😭
94
UNAONGEA LUGHA NGAPI??? 👀
Unakutana na Mzungu… unataka picha. Unasemaje? 😂📸
“NAOMBA TUPIGE PICHA!” 😭
WE OUTSIDE…
Unatumia nini kupanga safari au vacation yako ya ndoto?
📸 Tumia Folax kutafuta getaway yako ya ndoto, screenshot kisha itupie kwenye comments!
Tuone unaenda kutorokea wapi! 💭👇
#InfinixMobiletz #Weoutside #NOTE60Pro #InfinixRoartopia
107
Raha ya BAECATION ni kua na mpanga safari.. kam ahuna anaekupangia karibu tukupe siri
NOTE 60 pro inaweza kukusaidia kupanga safari zako kwenda KOKOTE.. simply ask my friend!
Safiri nasi USHINDE ZAWADI ZAKO
#InfinixMobiletz #Weoutside #NOTE60Pro #InfinixRoartopia
101
HOLIDAY.....!
Hakuna kazi nzito kama kujiandaa kwenda kazini pale unapo choka..
INFINIX NOTE 60 inakuja na mambo maziri.. tunataka vacation soon
#InfinixMobiletz #Weoutside #NOTE60Pro #InfinixRoartopia
101
REQUEST APPROVED!!!
Kama mlivyoona title ya email. ni muda wa vacation... hatimae safari inanukiaaaa
Kaa ukijua tunasafiri pamoja! kukuhusisha fatilia ili uweze shinda zawadi KUBWAAAA
#InfinixMobiletz #Weoutside #NOTE60Pro #InfinixRoartopia
93
Haikai kawaida… na ndio maana inaangaliwa. 😮💨✨
NOTE 60 Pro x YUNA ⚡
Style, vibe na signal tofauti.
#InfinixMobiletz #NOTE60Pro #CreatePro
102
Kitu gani unaweza Kufanya Na kumaliza Ndani ya Dakika 16 tu?
Uhakika ni kuwa unaweza kuchaji NOTE 60Pro kutoka 1% - 50% kwa dakika 16 tu, Nguvu ya 90W Fast Charge.
#InfinixMobilletz #NOTE60Pro #CreatePro
154
Wengine wanabeba simu…
Wengine wanabeba vibe. ✨⚡
NOTE 60 Pro x YUNA 😮💨
Muonekano unaoongea kabla hujasema chochote.
#infinixmobiletz #NOTE60Pro #CreatePro
121
Unajua kwanini nacheka..., Kila Idara imesimama kuanzia Snapdragon 7s Gen 4 5G Performance Platform, Active Matrix Display & Premium Metal Design
Mpaka 144Hz 1.5K Ultra HDR Cinematic Display Ni Chuma Juu ya Chuma.
Inapatikana sasa madukani kwetu.
#InfinixMobiletz #NOTE60Pro #createpro
7s Snapdragon Gen 4 5G ni sababu kubwa ya kukupa ushindi kila mchezo.
Active Matrix Display na Rangi za Kupendeza.
Ipi Rangi yako Pendwa?
#InfinixMobiletz #NOTE60Pro #CreatePro
1
164
Tutazame pamoja, Kila kitu kinachopatikana kwenye Infinix ya Kwanza kuja na Snapdragon.
#InfinixMobiletz #NOTE60Pro #createpro
1
166





