
All Day Full FPS (120FPS up to 144FPS) | GT Trigger - Console Level Control | Dimensity 8350 Ulitmet 5.5G | 1.5K 144Hz AMOLED Display #GT30Pro #OutPlayTheRest
Tanzania
Joined January 2018
- Tweets6.2K
- Following7
- Followers11.9K
- Likes2.9K
InfinixMobileTZ retweeted
Simba SC kesho wanaiwakilisha Nchi kwenye mechi ya nusu fainali dhidi ya Stellenbosch FC.
Je, Simba watarudi nyumbani na ushindi? Upi utabiri wako...
#Infinixtanzania #infinixhot50series #wooownewhot #slimdownpowerup
InfinixMobileTZ retweeted
Kesho Simba SC anapambania nafasi ya kuvuka hatua inayofuata.
Je, Atatoboa?
Weka utabiri wako hapa.
#Infinixtanzania
InfinixMobileTZ retweeted
Inaitwa Kariakoo Derby, Yanga SC kukutana na Simba SC mchezo utakaochezwa Jumamosi hii,
Je, Nani ataibuka mshindi?
Tabiri na Ushinde.
1. Follow @InfinixMobileTZ
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu (Mfano; Yanga SC 2 Vs. Simba SC 2)
3. Re-Tweet post hii
💯Washindi;
Wawili wa kwanza waliotabiri Kwa usahihi na kufuata vigezo na masharti
🎁Zawadi;
Mshindi wa kwanza - Infinix Powerbank
Mshindi wa Pili - Infinix Powerbank
📌NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#InfinixMobile #PredictAndWin
InfinixMobileTZ retweeted
Simba SC kucheza na Azam FC Jumatatu hii,
Je, Nani ataibuka mshindi?
Tabiri na Ushinde.
1. Follow Infinix Mobile (TZ)
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu (Mfano; Simba SC 0 Vs. Azam FC 0)
3. Re-tweet Post hii
📌Washindi;
Wawili wa kwanza waliotabiri Kwa usahihi na kufuata vigezo na masharti
🎁Zawadi;
Mshindi wa kwanza - Infinix Coffee Cup
Mshindi wa Pili - Infinix Glesses 🕶️
📝NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#Infinixtanzania #PredictAndWin
InfinixMobileTZ retweeted
Zipo njia nne mbele Yako, Njia ya Rangi Gani ndio unaenda nayo?
#Infinixtanzania #InfinixHOT50Series #SlimDownPowerUp #WOOWNewHot
InfinixMobileTZ retweeted
Wekeend yenye uchangamfu, Huku Arsenal akichuana na Manchester City. Je, Nani ataibuka Mshindi?
Tabiri na Ushinde.
1. Follow @InfinixMobileTZ
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu (Mfano; Arsenal 0 Vs. M.City 0)
3. Re-tweet post hii
📌Washindi;
Wawili wa kwanza waliotabiri Kwa usahihi na kufuata vigezo na masharti
🎁Zawadi;
Mshindi wa kwanza - Infinix Coffee Cup
Mshindi wa Pili - Infinix Glesses 🕶️
📝NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#Infinixtanzania #PredictAndWin
InfinixMobileTZ retweeted
SIMBA SC kucheza mechi yao dhidi ya CS Contatine Jumapili hii. Je, Mnyama anatendeleza ubabe wake Kwa mkapa?
Tabiri na Ushinde.
1. Follow @InfinixMobileTZ
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu (Mfano; Simba SC 0 Vs. CS Contatine 0)
3. Re-Tweet post hii
📌Washindi;
Wawili wa kwanza waliotabiri Kwa usahihi na kufuata vigezo na masharti
🎁Zawadi;
Mshindi wa kwanza - Infinix Coffee Cup
Mshindi wa Pili - Infinix Glesses 🕶️
📝NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#Infinixtanzania #PredictAndWin
InfinixMobileTZ retweeted
Yanga kucheza mechi yao dhidi ya MC Alger Jumamosi hii. Je, Anatoboa kwenda Hatua inayofuata?
Tabiri na Ushinde.
1. Follow @InfinixMobileTZ
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu (Mfano; Yanga SC 0 Vs. MC Alger 0)
3. Re-Tweet post hii
📌Washindi;
Wawili wa kwanza waliotabiri Kwa usahihi na kufuata vigezo na masharti
🎁Zawadi;
Mshindi wa kwanza - Infinix Coffee Cup
Mshindi wa Pili - Infinix Glesses 🕶️
📝NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#Infinixtanzania #PredictAndWin
InfinixMobileTZ retweeted
Kampuni ya simu za mkononi INFINIX ( @InfinixMobileTZ ) imesema hakuna kiingilio kwa yeyote atayetaka kufika katika uzinduzi wa toleo jipya la simu za HOT 50 Series utakaohusisha burudani kutoka kwa Wasanii mbalimbali wa Bongofleva akiwemo Billnass pamoja na suprise nyingine nyingi hiyo kesho Jumamosi 9 Novemba katika Viwanja vya Mabibo Hostel, jijini Dar es salaam.
Huenda Infinix HOT 50 PRO+ siyo simu ngeni kwa wengi kwakuwa taarifa zake zilianza kusambaa kwenye mitandao ya teknolojia mbalimbali duniani kote ambapo kivutio kikubwa kwenye simu hii kinatajwa kuwa ni umbo jembamba la inchi 6 lililoundwa na TitanWing Architecture na kingo za 3D zilizopinda huku ikitajwa kuwa ndiyo itakuwa simu nyembamba zaidi katika simu za bei ya daraja la kati.
“Ni uzinduzi wa simu ya kwanza duniani, hapo kwenye ni ya kwanza duniani kwa kitu gani kaeni tayari kufahamu hiyo kesho, Infinix inawakaribisha wote kufurahia nasi katika siku hii muhimu bila kiingilio, itakuwa bure kuanzia saa 1:00 usiku Viwanja vya Mabibo Hostel” ——— @InfinixMobileTZ #MillardAyoUPDATES #WOOOWNewHot #InfinixHOT50SERIES
InfinixMobileTZ retweeted
Kariakoo Derby Simba SC wataonesha Ubaya Ubwela dhidi ya mtani Yanga SC, Mchezo utakaochezwa Kesho Uwanja wa Mkapa.
Je, Simba Atafanikiwa kujitetea mbele ya Wananchi? Tabiri na Ushinde.
1. Follow @InfinixMobileTZ
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu (Mfano; Simba SC 0 Vs. Yanga SC 0)
3. Re-tweet post hii
📌Washindi;
Wawili wa kwanza waliotabiri Kwa usahihi na kufuata vigezo na masharti
🎁Zawadi;
Mshindi wa kwanza - Infinix Towel Gift
Mshindi wa Pili - Infinix Towel Gift
📝NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#Infinixtanzania #PredictAndWin
InfinixMobileTZ retweeted
Tunakupa nafasi adhimu ya kujishindia zawadi amazing! Taja jina la msanii mmoja ambaye unadhani atakuwepo kutumbuiza kwenye jukwaa la #HotRhythmMusicFest na @infinixmobiletz 🔥
InfinixMobileTZ retweeted
Simba SC inakutana na Alahli SC kwenye Mchezo utakaochezwa Kesho Uwanja wa Mkapa.
Je, Simba Ataendeleza Ubabe wake Kwa mkapa? Tabiri na Ushinde.
1. Follow @InfinixMobileTZ
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu (Mfano; Simba 0 - Alahli 0)
3. Re-Tweet post hii
📌Washindi;
Wawili (2) waliotabiri Kwa usahihi na comments zao zikiwa na likes nyingi zaidi.
🎁Zawadi;
Mshindi wa kwanza - Infinix Towel Gift
Mshindi wa Pili - Infinix Sports Water Bottle
📝NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#Infinixtanzania #PredictAndWin
InfinixMobileTZ retweeted
Yanga SC inakutana na CBE SA kwenye Mchezo utakaochezwa Kesho Zanzibar.
Je, Yanga Ataendeleza Ubabe wake? Tabiri na Ushinde.
1. Follow @InfinixMobileTZ
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu (Mfano; Yanga 0 - CBE SA 0)
3. Re-Tweet post hii
📌Washindi;
Wawili (2) waliotabiri Kwa usahihi na comments zao zikiwa na likes nyingi zaidi.
🎁Zawadi;
Mshindi wa kwanza - Infinix Towel Gift
Mshindi wa Pili - Infinix Sports Water Bottle
📝NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#Infinixtanzania #PredictAndWin
InfinixMobileTZ retweeted
Kukupa Huduma iliyopo Bora ndio chachu ya ukuaji na matokeo ya kuendelea kutimiza lengo letu la kuleta suluhisho la teknolojia Kwa Vijana na kupelekea kuwapatia Kesho iliyo Bora zaidi.
Asante mwanafamilia Kwa kuwa sehemu ya mafanikio na historia ya mapinduzi ya teknolojia.
#Infinixtanzania #TakeCharge247
InfinixMobileTZ retweeted
Yanga SC inakutana na Vital'O kwenye Mchezo wa marudiano, Baada ya Yanga kuibuka na Ushindi mchezo wa kwanza.
Je, Nani ataibuka mshindi? Tabiri na Ushinde.
1. Follow @InfinixMobileTZ
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu
3. Re-Tweet post hii
📌Washindi;
Wawili (2) waliotabiri Kwa usahihi na comments zao zikiwa na likes nyingi zaidi.
🎁Zawadi;
Mshindi wa kwanza - Infinix Towel Gift
Mshindi wa Pili - Infinix Sports Water Bottle
📌NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#Infinixtanzania #PredictAndWin
InfinixMobileTZ retweeted
Simba SC inakutana na Yanga SC Kukutana tena kwenye Ngao ya Jamii.
Je, Nani ataibuka mshindi? Tabiri na Ushinde.
1. Follow @InfinixMobileTZ
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu
3. Re-tweet post hii
Washindi Watano (5) waliotabiri Kwa usahihi watachaguliwa Bila mpangilio (Randomly)
🎁Zawadi;
Infinix Gifts Package
📝NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#Infinixtanzania #PredictAndWin
InfinixMobileTZ retweeted
Wakati ukiendelea kufurahia midundo safi na #budsnc tuchangamshe ubongo kidogo.
Je, Ni pembe tatu ngapi unazoziona hapo?
#Infinixtanzania #XE28 #BUDSNC #aiotfamily
InfinixMobileTZ retweeted
Leo Kariakoo Derby, Mambo ni mengi na Leo maamzi ni Dakika 90.
🤔Upi Utabiri wako?
1. Follow @InfinixMobileTZ
2. Weka Utabiri wako kwenye comment section na watag marafiki zako watatu
3. Retweet post hii
Washindi Wawili waliotabiri Kwa usahihi watachaguliwa Bila mpangilio (Randomly)
🎁Zawadi;
Begi,portable fan na Football Equipment
📝NB; Utabiri wote utumwe kabla ya mchezo kuanza.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
#Infinixtanzania #HOT40Pro #KubwaYaMoto #PredictAndWin
InfinixMobileTZ retweeted
Weekend imeanza vizuri
@InfinixMobileTZ ni watu poa sana.























