Isack Mahumbi (@IsackMahumbi) header
Isack Mahumbi (@IsackMahumbi) profile picture

Husband, Father, MVM Expert #ManU,#YoungAfricanSC

Tanzania
Joined October 2020
Photo by Isack Mahumbi (@IsackMahumbi)Photo by Isack Mahumbi (@IsackMahumbi)Photo by Isack Mahumbi (@IsackMahumbi)Photo by Isack Mahumbi (@IsackMahumbi)Photo by Isack Mahumbi (@IsackMahumbi)Photo by Isack Mahumbi (@IsackMahumbi)Photo by Isack Mahumbi (@IsackMahumbi)Photo by Isack Mahumbi (@IsackMahumbi)Photo by Isack Mahumbi (@IsackMahumbi)Photo by Isack Mahumbi (@IsackMahumbi)
Tundu Lissu anahitimisha na maneno haya: "Waheshimiwa majaji toeni hukumu ambayo mnayo mmeagizwa kutoa."
2
40
244
3,689
Isack Mahumbi retweeted
Hiyo ni Vuta ni kuvute ya Mkubwa Heche pamoja na vibaraka wa Mbogamboga pale nje ya Mahakama!! 😅😅
3
12
1
90
3,898
Isack Mahumbi retweeted
1
28
1
97
699
Isack Mahumbi retweeted
4
37
1
150
1,613
Isack Mahumbi retweeted
“Kwa kuwa Wakili wa Serikali amezungumza hayo, naomba nijibu hoja zake sasa. Wakili wa Serikali amezungumzia Kifungu cha 35, ambapo ameomba Mahakama itoe adhabu kali. Amesema kuwa adhabu ya juu ni kifungo cha miaka mitano, faini au vyote viwili kwa pamoja. Sasa, Waheshimiwa Majaji, sheria inapoweka adhabu ya aina hiyo, yaani kifungo au faini au vyote viwili kwa pamoja, Mahakama inatakiwa kufanya nini? Wakili wa Serikali amesema hana uhakika kama nimewahi kukutwa na hatia. Sasa, nawaambieni wazi kwamba sijawahi kutiwa hatiani katika maisha yangu yote. Kwa hiyo, mnapofikiria adhabu ya kutoa kwa lile mnaloliita kosa, msisahau kwamba mtakuwa mnatoa adhabu kwa mtu ambaye hajawahi kupatikana na hatia katika maisha yake yote. Waheshimiwa Majaji, nina tumaini kwamba mnafahamu kuwa nina msiba mkubwa sana. Nimempoteza mtu ambaye amenifanya kuwa nilivyo leo; mtu aliyenifanya kuwa Mwanasheria na ambaye amenilea. Kwa sababu sikuweza kumuuguza, nilikuwa na matumaini kwamba, kwa kuwa Mahakama ingeona ukweli kwamba sijafanya kosa, ningepata nafasi ya kwenda kumzika Mzee Alute. Lakini, inaonekana, Waheshimiwa Majaji, kwamba jambo hilo halipo katika fikra zenu. Mtu huyu amefariki, na habari za msiba wake zimeandikwa katika magazeti kila mahali. Nilikuwa na matumaini ya kupata nafasi ya kutimiza wajibu wangu wa kifamilia, yaani kwenda kumzika mtu huyu aliyenilea. Katika shauri hilo, Waheshimiwa Majaji, Bunge lilisema kwamba pale ambapo sheria inaweka adhabu mbadala tatu, yaani kifungo, faini au vyote viwili, Mahakama lazima ianze kwa kutoa adhabu ya faini. Kwa hiyo, mnapotafakari ombi la Wakili wa Serikali la kutoa adhabu kali, msisahau kwamba sheria inawaelekeza kuanza na adhabu ya faini.” Tundu Antiphas Mughwai Lissu, 6 Novemba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, katika hukumu ya kesi yake ya uhaini.
6
78
377
15,092
Isack Mahumbi retweeted
Mahakama haijamkuta Lissu na hatia kwa kosa aliloshitakiwa nalo la uhaini lakini imemtia Lissu hatiani kwa kosa la uchochezi kinyume kabisa na kosa aliloshitakiwa nalo. Kama hati ya mashtaka ya Jamuhuri ilikuwa defective, si kazi ya mahakama kuirekebishia jamuhuri hati yake mbovu ya mashtaka yenye makosa. Hapa ndio unapatika ule msemo maarufu wa “The court is not your Mama”. Yaani Mahakama huwa haisaidii kusahihisha makosa ya ushaidi mbovu wa upande wa mashitaka wala kusahihisha utetezi mbovu wa mshitakiwa. Walau Leo wangeweza kutuchezea kiini macho cha kutomtia Lissu hatiani kwa uhaini na kumuachia kisha wakamkamata nje ya mahakama na kumshitaki upya kwa uchochezi. Kilichotokea leo, kunaifanya Mahakama za Tanzania kuwa na exception kuwa “The Court is Prosecution’s Mama” Walau Mahakama ingejifanya Mama ili kumpa Lissu nafasi ya kwenda kumzika mpendwa kaka yake
6
18
176
9,354
Replying to @omari_manyama
Tundu Lissu amesema jambo la msingi sana! Haki haipaswi kuamriwa wala kuingiliwa na shinikizo lolote. Mahakama inapaswa kuwa huru, kutenda kwa haki na kuongozwa na sheria na ushahidi. Haki ya kweli haihitaji maagizo kutoka kwa mtu yeyote. Hongera kwa kusimamia misingi ya haki
2
21
2,234
Isack Mahumbi retweeted
Tuliwaambia! Kuanzia leo mtuheshimu sana! Tuna taarifa ya vikao vyao vya siri! ✊🏽
TUNDU LISSU ; Waheshimiwa Majaji toeni hukumu ambayo mnayo. TOENI HUKUMU AMBAYO MMEAGIZAWA. Nimemaliza . Asante.
8
59
328
12,685
Isack Mahumbi retweeted
Tuliwaambia wamepanga kumfunga miaka mitano! Mnaona sasa? Machawa muwe mnatuheshimu! Mnapenda kusema tunatoa matango pori - ila mabosi wamefuata script ile ile ya Abduli na mama yake! We won on all levels! You loose suckers! Uzuri tulishajua na kujiandaa - you will never know peace! Mwachieni Lissu! Mnachofanya majaji ni kupiga sarakasi na taulo! ACHENI ❌ #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
23
155
1
672
20,462
Isack Mahumbi retweeted
“Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa. Tumeona hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa alilenga kuitishia serikali. Tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1, 2 & 16 tumeona ni nadharia, haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia serikali” Kesi ilikuwa imeishia hapa
4
29
122
4,413
Isack Mahumbi retweeted
"Mkamzike Mzee Alute Lissu Mughwai" Mhe. @TunduALissu akitoka mahakamani baada ya kuhukumiwa miaka 4 Jela.
8
61
3
241
3,928
RT @HildaNewton21: “Mkamzike Mzee Allute…”-: Mhe. Lissu 🥹💔
Tumepewa kifungo cha miaka minne. Hatuwezi kata rufaa leo tuombe dhamana tusepe? Mawakili tusaidieni.
9
17
1
278
11,036
Isack Mahumbi retweeted
Hata wenyewe Wana shangaa kwanini asilimia kubwa ya wananchi wako upande wa TAL.
5
43
3
383
6,206
Isack Mahumbi retweeted
"Sheria inapotaja adhabu ya faini au kifungo, ni lazima kwanza itoe adhabu ya faini. Huu ni msimamo wa kisheria. Mkinipa maximum sentence itakuwa ni ushaidi kuwa mmeelekezwa". Tundu Lissu.
18
63
1,331
Tundu @TunduALissu cleared of treason charges But found guilty o of incitement. Kosa dogo la uchochezi 😮 Court in Dar handed a 4-year sentence Tundu Lissu can appeal. I hope his legal team file without delay
7
14
113
4,715
Isack Mahumbi retweeted
Afu mtu anakuambia "Mahakama ni HURU". Tukikomboa hii nchi tutafumua kila kona kumeoza.
15
73
582
9,648
Isack Mahumbi retweeted
“Waheshimiwa majaji kauli yenu kwamba halikuwa kosa mmekubaliana na msimamo na ushahidi wangu.” “Kuna kitu kimoja hamjakisema na nitakisema for the record. Mmethibitisha hii ilikuwa kesi ya kisiasa tu igeuzayo mahakama ya jinai kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa.” “Kosa la uchochezi mmelitengeneza nyie majaji. Sikushitakiwa kwa uchochezi, nilishtakiwa kwa uhaini” Tundu Antipas Mughwayi Lissu aka “tempete du desert” (Kimbunga cha Jangwani)
13
103
4,261
Isack Mahumbi retweeted
Aisee akina Jaji Nduguru mnaenda kuweka historia MBOVU kukubali kuandikiwa na kupewa hukumu ya Kimama kiuaji! 😁 @iGaddo kawachora wote ni kangaroo 😂 Historia imeshaanza kuwahukumu! Mungu atamaliza andiko la maisha yenu! This is your LAST chance! #FreeTunduLissu
6
81
1
294
13,166
Isack Mahumbi retweeted
“Waheshimiwa Majaji, naomba nimalizie. Uamuzi wa kunitia hatiani kwa kosa ambalo sikushitakiwa nalo, na ambalo sikupata fursa ya kujitetea dhidi yake, kwa lengo la kubalansisha tu, una athari kubwa. Athari yake ni kwamba mmewapa kinga wale waliohusika na mauaji, kwa sababu watasema kwamba wale waliochochea wamekutwa na hatia. You are covering mass murderers. Serikali hii imeua watu wengi kuliko serikali zote zilizowahi kutawala nchi hii. Mara ya mwisho mauaji ya halaiki kutokea kwa kiwango hiki ilikuwa wakati wa Vita vya Majimaji. Mmewapa sababu ya kusema kwamba mkosaji aliyesababisha mauaji hayo amekutwa na hatia. Kama mnafikiria kwamba uamuzi huu utawasaidia, hautawasaidia. Watawajibishwa mahali pengine. Serikali ya Nyerere iliua watu 37. Wakati huo, Mwinyi alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na alijiuzulu. Shahidi alikuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na alijiuzulu. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Peter, naye alijiuzulu. Leo hii, serikali imeua watu ambao idadi yao, kwa makadirio ya chini kabisa, ni 500, lakini hakuna aliyejiuzulu. Uamuzi wenu hautaficha ukweli huo. Nimewakumbusha, Waheshimiwa Majaji, kwamba katika Sentencing Guidelines, kipengele cha kwanza kinaelekeza kwamba adhabu ya faini itolewe isipokuwa pale ambapo kosa ni kubwa. Uchochezi, ambao sikushitakiwa nao, hauna adhabu maalumu. Ndiyo maana Wakili Mkuu wa Serikali anakwenda kwenye General Provisions. Waheshimiwa Majaji, namalizia kwa kusema: TOENI HUKUMU AMBAYO MNAYO, AMBAYO MMEAGIZWA KUITOA.” Tundu Antiphas Mughwai Lissu, 6 Novemba 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, katika hukumu ya kesi yake ya uhaini.
12
95
2
424
12,850