Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth) header
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth) profile picture

PUBLIC HEALTH OFFICER || A nutritionist || A Counselor || Psychologist || Sexual health & Reproductive Expert...โœ๏ธ

Joined November 2019
Photo by Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth)Photo by Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth)Photo by Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth)Photo by Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth)Photo by Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth)Photo by Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth)Photo by Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth)Photo by Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth)Photo by Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth)Photo by Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@ItsMrHealth)
WANAUME WANAOJUA SIRI HII, NGUVU ZAO ZA KIUME HAZISHUKI HATA KIDOGO! Kama una miaka 20, 30, 40 au zaidi, na unataka kuwa imara kama kijana wa miaka 18, basi unapaswa kujua siri hii mapema kabla hujachelewa! Twende Taratibu: Open Thread:โคต
37
187
6
1,391
464,291
Maisha yako yatakuwa mepesi sana, ikiwa Tu, Utaruhusu kila mtu akuelewe jinsi anavyotaka yeye, Good Morning familia.โœŠ
1
9
47
3,167
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
Mambo ya kwenda benki kila wakati sasa unaweza kuyapunguza Internet Banking ya CRDB Bank inakupa nafasi ya kufurahia huduma za kibenki kwa njia ya kidijitali, kwa urahisi na ukiwa sehemu yoyote. Fanya mambo yako kwa ufanisi zaidi. #internetbankingborazaidi
4
21
23
1,193
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
BRO TO BRO Heshimu mahusiano ya mwanaume mwenzako, Usikubali tamaa za muda mfupi zikakupotezea heshima na utu wako. Jifunze kuheshimu mipaka, linda misingi yako na elekeza nguvu zako katika kujenga maisha yenye thamani. Kumbuka, Sio kila tamaa unayohisi inastahili kuifuata
10
46
1
246
7,279
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
๐Ÿ™Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali๐Ÿฅฐ ๐Ÿ‘‰ Size S,M,L,Xl,& XXL ๐Ÿ‘‰Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 ๐Ÿ“Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
8
117
1
132
2,570
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
Huu ni msimu wa kila mtu kupata! ๐ŸŽ Kuanzia safari ๐ŸšŒ, shopping ๐Ÿ›’ hadi matumizi yako ya kila siku na TemboCard VISA ๐Ÿ’ณ inakupa nafasi ya kufanya malipo huku ukijiweka kwenye nafasi ya kushinda. Fikiria kushinda TZS 100,000 kila wiki, TZS 200,000 kila mwezi au kuwa mmoja wa washindi 8 watakaoondoka na TZS 10 MILIONI kila mmoja! ๐Ÿ”ฅ Kimbiza bill zako na TemboCard VISA yako kuingia kwenye droo ya ushindi. Bahati inaweza kuwa yako! #KilaMtuApateNaTemboCardVISA #crdbbank #tunakusikiliza
3
22
27
2,369
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
Siku hizi DATING Sucks For Men Haki vile nakwambia... Wengi Wamemua Kunyamazia Hili, Ila Wacha Mimi Niongee Initoke. Imagine. 1. Unatakiwa Uanze Kumfukuzia Manzi 2. Prove Yourself For Her 3. Utumie Pesa Zako 4. Upange Date Zote Wewe 5. Wewe Ndio Uwe Wa Kwanza Kumtext 6. Kusubiri Masaa 12 Ndio Ajibu Text Yako Hapo Ndio Labda Ufanikiwe Kumpata. Na Zaidi Ya Yote Utakuwa Unashindana Na Zaidi Ya Wanaume 50 Ambao Wapo Kwenye DM Yake, Achilia Mbali, Nje Ya Social Media. Na Yote Hayo Unayafanya Just To Earn The โ†ณ Privilege Of Paying Her Bills. Na Ukiangalia Kwa Makini What She Bring Is โ–ปHer Body Count, โ–ปMadeni Yake Ya Vikoba โ–ปMatatizo yake ya Nyuma โ–ปAttitude โ–ปAna Marafiki Wa Kiume Wa Kutosha โ–ป Ex Zake Bado Wako DM Na Bila Kusahau Bado Ana Demand Zake Ambazo Lazima Umtimizie. Stay Guided Brother. ... FRANCIS | ABRACADABRA
75
126
24
647
52,134
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
Mfanyabiashara, usikubali kutapeliwa kwa risiti feki! Kupitia SimBanking App ya CRDB, unaweza kuhakiki risiti kabla ya kukabidhi bidhaa au kutoa huduma. Ni rahisi, salama na inakupa uhakika zaidi kwenye biashara yako. Na kuna zaidi! Kwa kila muamala unaostahili wa zaidi ya TSh 10,000 kutoka SimBanking kwenda Lipa Hapa ya CRDB, unapata bonus ya TSh 500 kila mwisho wa mwezi. #SimBankingMwakaWaMbele
3
22
23
1,282
Broo Jiandae kupitia Changamoto za lazima ukioa Mwanamke Aliewahi kuolewa... Kumbuka Umeumbwa na kupewa kibali cha kuanzisha familia Si kuendeleza..๐Ÿ“Œ
12
1,840
Tuna vingi vya kujifunza kwa walio tuzidi na sio kuwajengea chuki...โœ๏ธ
4
4
15
2,554
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
BRO TO BRO Kamwe usilie kwa sababu ya kupoteza Samaki mmoja wakati bahari nzima iko mbele yako.
18
66
7
438
19,216
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
Hakuna Mwanaume aliyechelewa maisha wala hakuna mwanaume aliyewahi maisha, kila mmoja ana nafasi ya kuwa bora, Cha msingi ni connection, kupeana heshima, na kutiana Moyo
9
55
396
14,613
Nipo na hii kwasasa huko Nilisha Toka.๐Ÿ˜‚
3
1,843
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
๐Ÿ™Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali๐Ÿฅฐ ๐Ÿ‘‰ Size S,M,L,Xl,& XXL ๐Ÿ‘‰Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 ๐Ÿ“Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
10
108
3
111
2,906
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
ยฟQuรฉ te dicen las erecciones matutinas sobre tu salud? (La mayorรญa de los hombres no saben nada sobre ellas)... 1. No es solo deseo sexual
31
282
3
2,641
1,514,207
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
MWANAUME ana njia 5 za kujijenga upya anapopitia kipindi kigumu 1. Kutafuta pesa na kujenga maisha unayoyataka 2. Kumkaribia Mungu 3. Kufuatilia kusudi lako usipoteze mwelekeo 4. Kujenga familia yenye upendo na amani 5. Kujizungusha na watu sahihi wanaopenda kuona ukikua
8
31
1
133
8,187
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
MWANAUME anayejitawala mwenyewe, ni Mwanaume ambaye ni vigumu sana kuvurugwa na kelele za dunia.
9
33
382
10,679
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ retweeted
Hebu niulize kituโ€ฆ ukienda kununua pombe, juisi au sigara kutoka nje ya nchi, huwa unaangalia nini kwanza? Bei? Brand? Packaging? Sawa kabisa, lakini kuna kitu kingine muhimu angalia na hakiki stempu ya ETS ya TRA. Usiishie kuiona tu, i-scan pia Kuna App inaitwa Hakiki Stempu App ambayo unaweza kuitumia kuhakiki stempu ya ETS ya bidhaa na kuona taarifa zinazopatikana kwenye mfumo. Ni Simple kinoma Pakua App kupitia Google Play au App Store linktr.ee/hakikistempu Jinsi ya kutumia 1. Fungua App 2. Tumia Camera ku-scan stempu ya ETS ya TRA Kisha Angalia taarifa za bidhaa kama ni Original au fake Na hakuna mambo ya login wala kujaza taarifa zako binafsi. Mimi nashauri tuanze kuwa na hii tabia kila tunapokutana na bidhaa zenye ETS. Usiangalie tu #HakikiKwanza
3
15
26
3,871
Siku ile ya kwanza ulipo experience kuwahi kufika kileleni ndani ya dk 1 na kushindwa kuendelea.. โ€” Huongelei sana kuhusu siku hiyo, Lakini ubongo wako haujaisahau, Hapo ndipo kila kitu kilipoanzia kuharibika.... *Mwili wako uliingia hofu....๐Ÿ‘‡* โ†ณ Presha ya kutaka kuichapa vizuri... โ†ณ Hofu ya kushindwa... โ†ณ Msisimko uliopanda ghafla... โ†ณ Akili ikapoteza udhibiti... Ndipo kumwaga mapema kukatokea, Hapo ndipo kosa kubwa linafanyika kimya kimya... Ubongo, Umelirecord tukio lile kama kumbukumbu ya hatari... Kila ukikaribia tendo, hukumbuka kile kilichotokea, Hofu huingia kabla hata hujaanza tendo, Cortisol homoni inapanda... Hii ndiyo Performance Anxiety, Na matokeo yake makubwa ni kuwahi kufika kileleni ndani ya dakika 1 (Premature Ejaculation).... *Si kwa sababu huna nguvu, ni kwa sababu tayari hofu ya kushindwa kujirudia rudia...๐Ÿ‘‡* โ†ณ Ulishindwa mara ya kwanza... โ†ณ Ukajilaumu kimya kimya... โ†ณ Ukawa makini kupita kiasi... โ†ณ Msisimko ukaongezeka haraka... โ†ณ Mwili ukamwaga mapema tena... Ndipo ukaanza kuamini, Labda nina tatizo, Labda nahitaji Booster, Kufuta hii Aibu...๐Ÿฅฒ โ€” Lakini ukweli wa kitabibu ni huu, Broo wewe sio mgonjwa, Hujaharibika, Ulijifunza hofu, Na hofu hiyo ukijifunza kwa njia mbili.... Kupitia tukio la kwanza la kufeli na Kupitia historia ya punyet* na video za ngon* Zilizofundisha mwili kumaliza haraka.... Kwa pamoja, ubongo na nerves zako zikajifunza, Msisimko wa haraka = Kumaliza mapema...๐Ÿ’ฆ Kama umesoma mpaka hapa na ukahisi mbona kama doctor Unaniongelea mimiโ€ฆโ˜ ๏ธ Basi haujakosea, Umelengwa wewe, Na ndani ya sekunde chache nakupa Mwongozo tiba sahihi.. Ulioundwa kwa ajili ya wanaume waliokutana na changamoto mbalimbali za afya ya uzazi..
3
21
4,441
Sukari Unayoitumia leo...Inaweza Kuamua Kama Utashika Mimba Au Hapana.... Huo ndio ukweli mgumu ambao wanawake wengi hawajawahi kuambiwa popote pale..... Ipo hivi....๐Ÿ‘‡ โ€” Kwa upande wa sayansi ya uzazi, Matumizi makubwa ya sukari yanaongeza insulin kupita kiasi.... Insulin inapopanda sana, mwili wa mwanamke huanza kupoteza usikivu (insulin resistance) Na.. Hapo ndipo ugonjwa unaoitwaโ€” Polycystic Ovary Syndrome (PCOS) Unaanza kujitokeza.... PCOS Ni mtego unaoathiri homoni, husababisha mayai kutopevuka vizuri, na mwisho, Hupelekea kuchelewa kushika mimba kwa muda mrefu... Matumizi ya sukari kupita kiasi, Ni hatari mno kwa afya yako ya uzazi kwani....๐Ÿ‘‡ โ†ณ Huvuruga ovulation, โ†ณ Huongeza uzito (ambao hupelekea PCOS), โ†ณ Huongeza uvimbe wa ndani (inflammation) unaokwamisha uzazi, โ†ณ Hupunguza ubora wa yai. NB: Kabla hujaanza safari ya tutafuta ujauzito, anza kwanza kutafuta ulaji wako wa sukari... Mwili ni maabaraโ€” Ukivuruga mizani ya homoni, unavuruga ndoto zako za kupata mtoto.... Sasa wewe endelea kulamba ice cream, endelea na hizo junk foods....Mimi nimemaliza...
2
7
51
4,495
Mwanaume usiache kutafuna punje 2 za Bitacola usiku kabla ya kulala....๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ๐Ÿซ˜ โ€” Ni siri ya nguvu, mishipa imara na afya ya uzazi isiyo na Madhara ๐Ÿ‘‡ โ†ณ Huchochea mzunguko mzuri wa damu... โ†ณ Huimarisha mishipa ya uume... โ†ณ Huongeza kinga ya mwili โ†ณ Hupunguza mafuta mabaya mwilini โ†ณ Huamsha homoni na nguvu za asili NB: Ni Siri ndogo, lakini tiba kubwa ya mwili na nguvu zako ...๐Ÿ’ช Chukua hatua kuboresha afya yako ya uzazi, Epuka matumizi ya madawa ya nguvu za kiume.. Comment neno PROGRAM nikupe Mwongozo Tiba...โœ๏ธ
5
5
31
3,587