
Lawyer & Liberal, Personal & Private Banking, Universal Banker #ArsenalFan
Tanzania
Joined September 2015
- Tweets7.8K
- Following600
- Followers635
- Likes3.6K
Khalifa! Wawekezaji na wao ni sehemu ya hizi chokochoko zetu. Muwekezaji msafi hawekezi kwenye economy hii yenye rushwa nyingi kaka. Dunia ina wapiga dili kila kona bro, dunia imeshakua yakinyang’au ni how are we surviving and still remain one nation ndio mtihani mgumu we have now.
Reading comments section.
Creativity
Mnyama ndani ya Kundi C la Ligi ya Mabingwa Afrika. #TotalEnergiesCAFCL #NguvuMoja
E.N.I.G.M.A retweeted
'Mimi ni CCM ya Nyerere, hii sasa hivi inanipa shida kidogo' - Alute Lissu
Mahojiano kamili>youtu.be/2aYT3TkLV1M?si=SDvA…
E.N.I.G.M.A retweeted
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka viongozi kuweka nguvu kubwa katika kulinda usalama wa wananchi, hasa pale kunapokuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani katika maeneo yao, ili kuhakikisha wananchi wanakuwa salama.
Nimefanya harakati za Siasa na Pambalu SAUT. John Pambalu pia ni mwinjilisti, ni kijana mwema na safi. @tanpol
Nakubaliana na wewe. Miaka yote nimemfahamu pale SAUT always amekua mtu mwema. @tanpol Pambalu ni moja ya kijana mwema sana na mcha Mungu kwenye hii nchi.
E.N.I.G.M.A retweeted
Kwa Nini Kila Mwanamme Miaka 35+ Lazima Azifahamu Namba Zake!
Septemba 2023, ndio Mwaka nilionza kuwa makini ka kufautilia namba zinazohusiana na afya yangu. @Ngaillah_
Kilichofanya niamke asubuhi na kwenda Hospital kupima ni hiki.
JOGOO HALIPANDI MTUNGI.
E.N.I.G.M.A retweeted
Mvua za @El Nino zinatarajiwa. Tuandae miche bilioni 100 ya kupanda krk maeneo makame... Dodoma, Singida, Shinyanga, Hedaru na kwingineko. Tusipoteze haya maji!
E.N.I.G.M.A retweeted
From Freelancing to Building SHAFANA CREATES LIMITED.
After Ten years in Digital Content Creation, Photography, Social Media Management, and Strategic Communications, I’m excited to begin a new chapter by building my own Creative Company.
Throughout my journey, I’ve had the privilege of working with International and Local Brands, including AS Roma FC, CAF, Freedom House, ILO, UN Women, Emwani Café, and many others.
My work with AS Roma FC also demonstrated the Power of Strategic Social Media and Digital Storytelling in Football, inspiring Tanzanian Football Clubs to invest more seriously in their digital presence and follow the path I helped pioneer in football social media communication in 2019.
In 2026, I established SHAFANA CREATES LIMITED, a Tanzanian Marketing, Media, Advertising, and Digital Company, turning years of experience and passion into a new Business Venture.
Our Services include Photography, Videography, Event Coverage, Documentary Production, Digital Content Creation, Social Media Management, Marketing, and Brand Communication.
Have a Story to tell or a Brand to grow? Let’s Create Something Impactful Together.
🌐Website: shafanacreates.com/
📱Our Social Media Platforms: linktr.ee/shafanacreates @shafanacreates
SHAFANA CREATES LIMITED — Your story, our creativity.
























