Kaduga (@KadugaIssa) header
Kaduga (@KadugaIssa) profile picture

If God brings you to it; he will bring you through it.

Joined July 2023
"Mpambe hawezi kujibu maswali magumu"😅 The Boys💪🏾 @KibwanaShomar15 @Mshery28 @jobdick05 @NicksonKibabage
2
13
422
4,751
Wachezaji wa zamani wa Napoli walipotembelea Zanzibar kwaajili ya kujiandaa na msimu mpya. Pichani ni @feisal194 Kiungo wa zamani wa Napoli aliyewahi kucheza na Zambo Anguissa na pembeni yake ni @ibrahim_bacca alicheza na Koulibaly😂
1
3
12
1,219
Vifaa bora vya michezo kwa bei nafuu Piga 0745890516 Tupo kariakoo mtaa wa Magira na Likoma
1
226
Tarehe 25/12/1937, Chelsea walicheza dhidi ya Charlton Uwanjani Stamford Bridge na kulikuwa na Fog nyingi. Golikipa wa Charlton, Sam Bartram alibakia langoni akidhani mpira unachezwa sana kwa wapinzani (Chelsea). Asilolijua
1
1
3
434
🤣 Kipa huyo alikaa hapo kwa dakika 15 ndipo Afisa mmoja wa Polisi akaja kumwambia kuwa Mchezo umesimamishwa kitambo na wachezaji wenzako wapo kwenye vyumba vya kubadilisha nguo
1
61
Kwa mbali anaonekana mtu ambae sura yake ni ngeni kwenye viunga vya Avic Town akifanya mazoezi na Yanga Je uyu mchezaji ni nani? Kwa majina anafahamika kama BAYO AZIZ FAHAD nyota mzaliwa wa Lugazi, Uganda tarehe 10 Mei 1998 na kwa sasa anakipiga katika klabu ya MFK Vyškov
1
3
9
835
Lakini pia ni mchezi wa timu ya taifa ya Uganda (Cranes) ambae amedumu katika kikosi icho toka mwanka 2018 akicheza michezo 25 na kufunga magoli 9
1
29
Amepita kaitika vilabu mbali mbali kama vile Proline ya Uganda mwaka 2014-2018 akicheza michezo 68 magoli 30, Buildcon Fc ya Zambia mwaka 2018-19 akicheza michezo 39 magoli 6, Vipers ya Uganda mwaka 2019-20 mechi 23 magoli 12, Ashdon ya Israel, Bnei Sakhnin na MFK Vyškov.
45
Gaming pad zote zinapatikana kwetu kwa bei nafuu, tupo kariakoo lakini pia mikoani tunatuma Piga simu No. 0745890516/0689501513 Karibuni sana.
1
3
7
1,189
FAHAMU ZAIDI KUHUSU JEZI HII INAYO TREND KWA SASA . Hii ni moja ya Jezi inayo trend sana Kwa Sasa kiasi kwamba ni ngumu sana kutembea Barabarani ukose hata mtu mmoja au wawili waliovaa hii Jezi na Kwa Sasa madukani zimekuwa nyingi sana na zinauzwa Kwa wingi.
1
3
47
Jezi hii imeweza kujizolea umaarufu mkubwa BARANI Africa hii ni baada ya kuonekana ikiwapendeza watu wengi wenye asili ya Africa ( watu weusi ) waishio Nchini Brazil.
1
14
Hivyo kuteka soko la wafanya biashara na wasambazaji wa nguo kutoka sehemu mbalimbali duniani kuzileta Kwa wingi Africa na kufanikiwa kuwa jezi pendwa zaidi kutoka bara la America kuuzika AFRICA. JE, watu wanao vaa jezi hii wanatabia gani ? 😀 Weka Maoni Yako kwenye comment
15
Tukija kwenye swala la takwimu za wachezaji na michezo mbalimbali nani unaenda nae kati ya A. Ramadhani Mbwaduke B. Anwary Binde
4
3
23
1,119
Kipindi icho Failasufi anakipiga mchangani wenzake tayari walikua wanakiwasha, ni mwiko kukata tamaa kwenye maisha. @azamfc @Azamfcfans @AzamfcDit @AzamFC_EN @mudathiryahya27 @faridmussa17 @IamFeisalSalum @ Abdala Kheri Sebo
1
4
20
968
"Mimi niwaombe Simba wasije wakamuacha Murtaza Mangungu,ni kiongozi mzuri sana na ninaamini atawafikisha Simba kwenye nchi ya ahadi, kama ambavyo amefanya kwenye hii misimu mitatu iliyopita amefanya vizuri sana” ©️ Eng. Hersi Said Rais wa klabu ya Yanga
5
12
649
Yanga Africa haijawahi kushinda nchini Ethiopia kwenye michuano ya vilabu Afrika wanapokutana na timu za nchi hiyo nchini kwao na msimu huu hatua inahofuata huenda wakaminyana na CBE ambao walishinda 2-1 dhidi ya SC Villa Ya Uganda CAF Champions League 1969 ST George 0-0 Yanga
3
2
30
1,218
1998 Coffee 2-2 Yanga CAF CC 2011 Dedebit 2-0 Yanga 2018 Walauta Dicha 1 - 0 Yanga licha ya kuwa Kwenye Matokeo ya Jumla Yanga wamekuwa wababe kwani katika mara nne walizominyana na miamba ya Ethiopia mara tatu Yanga ilisonga mbele kutokana na matokeo mazuri wanayoyapata
1
76
Nyumbani huku mara moja wakitupwa mashindanoni Chanzo @mwanaspoti_tz Awamu Hii kunauwezekano wa Kuminyana na CBE itakuwaje?
52