Pole yao.
Lakn, unampaje mtoto kitu (tena cha kula) bila idhini ya muangalizi wake? Kina usalama gani? Si tunasikia kila mara watu wanapewa vitu vya kulevya na wanaibiwa hovyo? Inawezekanaje na hamjawa pamoja muda mrefu/kwenye safari? Wema usio na mipaka, hutafsriwa kuwa uovu 😥
Watu wanne wamenusurika kifo baada ya kupigwa na kukatwa mapanga pamoja na gari waliyokuwa wakiitumia aina ya Raum kuchomwa moto katika Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara kwa kudhaniwa kuwa ni wezi wa kuiba Watoto baada ya kumpa pipi Mtoto aliyekuwa akipita pembeni ya gari yao waliyokuwa wanaitumia.
Neema Kilai ambaye alikuwa kwenye gari hiyo amesema kuwa walikuwa wakitoka kwenye harusi katika kijiji cha Kidarafa katika shughuli ya kupika ambapo gari yao ilipata pancha ghafla waliona gari yao ikiwa imezungukwa na walipofika pale waliambiwa kuwa wao ndio wanahusika kuwakata Watoto viungo.
Amesema kuwa Wananchi hao wakiongozwa na baadhi ya Viongozi walianza kuwashambulia kwa mapanga na mawe na kisha baadaye kuanza kuichoma gari hiyo.
“Kwenye gari tulikuwa tumebeba mahindi, jogoo wawili tumepewa, kuna njiwa, kuna begi zetu na nyama, pipi zilikuwa za kwetu tulikuwa tumenunua tunatafuna, Mtoto alivyopita akatuona tunakula yule rasta akampa kidogo Mama yake akatokea akawa anamchapa yule Mtoto yule wifi wangu akauliza mbona unamchapa Mtoto hivyo?akamuambia haikuhusu wakaanza kuongezeka, walituambia tuvue nguo zote ila Kaka yangu akasema kuliko nivue bora mniue”—— Neema
Watu wawili kati ya wanne wametibiwa katika Hospitali ya Meru lakini wengine wawili ambao ni Mke na Mume wamepelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC kutokana na hali zao kuwa mbaya.
#MillardAyoUPDATES
1
49
Lecture and discussions about Tanzania-Japan relations, led by Staff of the Tanzania Embassy in Japan.
August 6, 2024 at Tokyo University of Agriculture
Miamala yenyewe benki inarudi/inafeli😓
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho.
Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe za usoni lakini kesho watapokelewa Wageni wenye dharura pekee.
“Kwa sababu ya hali ya sasa ya intaneti nchini, miadi yote ya kibalozi ya kesho imeahirishwa, tutapanga upya katika tarehe inayofuata, kesho Ubalozi utakuwa wazi kwa huduma za dharura peke yake” ——— Ubalozi. #MillardAyoUPDATES
1
29
If sharing this would mean something positive.......
#Mihogo iheshimiwe
___________________________________________
Part of HISF 2024 magazine essays
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
12
Kiyomizu-dera Temple, ...
One of the UNESCO World heritage sites in Kyoto, largely built with wood 🪵.
The wood materials (logs/lumber) seem to be very mature/durable, large and heavy ones.
I can't imagine how they were lifted up, and more importantly how joining them (cont.)
1
46
Moja ya kitu kiliwahi kumshangaza na pia kumvutia mdada kutoka Libya (muislamu, nilionana naye mahala Dec 2023) kuhusu Tanzania ni pale ambapo watu wa dini tofauti hukutana na kusherehekea (kula/kunywa pamoja) licha ya kuwa ni upande mmoja tu ndio unakuwa umetoka kwenye mfungo.
Na mimi ni muumini wa hilo pia, ukiachilia mbali utofauti wa juhudi, malengo na fursa🙏🏼
Wengi wamepambana sana kwa muda mrefu sana na hawajafanikiwa, kuna wengi wamepambana kidogo mafanikio yakatiki. Ni muhimu sana kutambua nafasi ya “bahati” katika maisha yako na kutambua kuwa kupambana pekee sio njia ya mafanikio hata kama wanopambana wengi wanafanikiwa kuliko wanaosubiri bahati. Itakusaidia kushukuru zaidi na kupunguza kejeli.
25
Hongera sana kwa Wakili Leatitia Petro.
(𝐈𝐦𝐞𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐰𝐚 𝐍𝐚 𝐅𝐫𝐚𝐧𝐜𝐢𝐬 𝐆𝐨𝐝𝐰𝐢𝐧)
ZIKIWA zimepita siku nne tangu Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa kumwachia huru mjane Maria Ngoda, mkazi wa Isakalilo, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, mama huyo ameanza kupatiwa msaada.
Mjane huyo alihukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 gerezani kwa kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Sauti ya Haki Tanzania, Wakili Leatitia Petro pamoja na Mwakilishi wa Kampuni ya Uwakili ya BLS Attorneys and Partners, Glory Mwandelema, walifika nyumbani kwa mjane huyo ili kumpatia mtaji wa biashara.
Wakili Leatitia amesema pamoja na kuwa alikuwa ni mmoja wa mawakili wa Chama cha Wanasheia (TLS) waliohusika kumtetea mjane huyo, kupitia taasisi yake ameona ni vyema kumsaidia mtaji ili awe na shughuli maalum ya kufanya itakayomwingizia kipato.
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari
18
Hakuna mwalimu mkali kama ulimwengu, usiombe kufunzwa naye, ...utajuta kukutana naye,
Hatoi nafasi ya pili, hana msamaha wala haahidi,
Ni bora ufunzwe na mamaye...
__
Asante sana. Nimepata kufahamu aliyeimba upendo wa mama, na pia alikoishia Roho 7.
Ilembula Njombe miaka hiyo🤔
UNAMKUMBUKA ROHO 7?YUKO WAP KWA SASA?JE UNAMKUMBUKA REEK FARIDA?
Hawa Walikuwa wasanii wa muzik enzi hizo,Now ni mke na mume wa ndoa kabisa,
Roho 7 mzee wa Nakupenda Hip-hop na Reek Farida wa upendo wa mama,honey na pesa, ni ngoma zao kali sana hizo,
Uzi 👇
1
1
44
"Mokolo nakokufa" (Tabuley)...
Sielewi tafsiri kwa kiasi kikubwa kwenye huu wimbo, lakini ndio kitu nimekumbuka kwa haraka juu ya mauti ya huyu mzee. May his soul rest in peace.
Msiba wa Edward Lowasa umetuachia mafunzo yafuatayo
1. Ili uwe mwanasiasa Tanzania unapaswa uwe na sifa zifuatazo
(a)Usiwe na aibu
(b)usiwe na hasira
2. Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuweka akiba ya maneno
Lowasa ndiye mwanasiasa aliyetukanwa zaidi kuliko mwanasiasa yeyote Tanzania. Ametukanwa na wanasiasa wa upinzani na ndani ya chama chake.
Pamoja na yote, hakujibu mashambulizi yoyote hata alipopata nafasi ya kufanya hivyo.
Kila alipofatwa na wanahabari kumtaka afafanue tuhuma dhidi yake, yeye alikuwa na jibu moja tu "No comment"
Lowasa alijipatia wafuasi na marafiki wengi enzi za uhai wake ambao walijiita "Friends of Lowasa"
Aliwakirimu marafiki zake hawa kwa kuwaandalia tafrija kila mwishoni mwa mwaka kwenye ranch yake huko Tanga ambako walikula na kunywa.
Marfiki hawa wakawa wakimuahidi kuwa naye bega kwa bega kwenye safari yake ya kisiasa.
Lowasa akaamini kuwa Mbunge Joseph Kasheku Msukuma hataweza kumsaliti kisiasa hata siku moja kwa jinsi alivyokuwa loyal kwake.
Lakini ilikuwaje?
Nani anakumbuka jinsi Msukuma alivyotua kwa mbwembwe kwa helicopter kwenye uzinduzi wa kampeni wa Lowasa jijini Arusha mara tu Lowasa alipojiunga upinzani?
Nani angetabiri kuwa siku chache tu baadae Musukuma angebadili gia angani na kujiunga kambi ya hayati Magufuri?
Tena kwa kumtukana majukwani kuwa "Kajinyea"
Naam!
Ili uwe mwanasiasa mzuri Tanzania, Kosa aibu.
Kambi ya Lowasa ikapata usaliti mkubwa wa Friends of Lowasa.
Siwezi kuwaongelea sana wapinzani waliomshutumu na kumkaribisha kwenye kambi yao.
Walikuwa wanatumia mbinu nzuri ya kiutawala ya "divide and rule" kufikia malengo yao ya kisiasa.
Na hii sio dhambi kwenye wigo wa siasa za maji taka (Gutter Politics)
Walitekeleza vyema kazi yao ya siasa za kukosa aibu.
Lakini at least wao walikuwa wafariji wake wakubwa baada ya Lowasa kutengwa na chama chake, kutengwa na rafiki yake mkubwa, kutengwa na mchakato wa chama chake kumteua kupeperusha bendera yao kwenye mbio za urais.
Wakati wa kampeni, silaha pekee iliyotumika kumshambulia Lowasa ilikuwa ni utimamu wa afya yake.
Walidai Lowasa ni mgonjwa huku Magufuri akipiga push-ups kuthibitisha afya yake bora.
Lakini wananchi kwa mapenzi yao wakasema watamchagua Lowasa akafie Ikulu.
Then what happened?
You all know nani alifia ikulu na kumuacha Lowasa Masaki.
Mungu!
Yes, Mungu alionesha ukuu wake.
Wakongo wana msemo wao:-
"Nzambe se ye apesa moto pema, mokolo akobotola yango se bilelo"
Ikimaanisha "Mungu pekee ndiye amempa mtu pumzi, siku akiichukua ni vilio"
Binadamu tusiwe na kiburi cha uzima.
Leo kina Nape na Makonda wanatamani kusingekuwa na tekinolojia iliyotunza matamko yao wakimkashifu marehemu Lowasa.
Ukiwaangalia sasa watoapo salamu zao za rambirambi unaona kabisa sura zao zimejaa aibu na sauti zao ni kama kelele msibani.
Akiba ya maneno ingewasaidia.
Wao walikuwa wanatumikia matumbo yao wakati ule ili wapate vyeo, mali na madaraka.
They were very myopic to see times like this coming and for that, I beg the deceased's pardon on their behalf.
Lowasa ameacha familia imara.
Nimewajua baadhi ya wanafamilia kupitia harakati za kimaisha.
Kupitia Fred, Lowasa amejiacha duniani.
Fred ni zao la shule ya vipaji maalumu Ilboru. Ni kichwa kwelikweli.
Fred hakupumbazwa kabisa na utajiri wa baba yake pamoja na kuwa msimamizi mkuu wa biashara za baba yake.
Ameendelea na ataendea kuwa mnyenyekevu, msikivu, mkimya na asiyependa kuonekana sana kwenye vyombo vya habari ingawa alikuwa na nafasi hii.
Natoa kisa kimoja,
Siku moja nilikuwa maeneo ya Upanga maeneo fulani hivi wanauza burger.
Ni eneo la kawaida na liko barabarani.
Nikiwa pale, Ada akapita na gari lake (I guess alikuwa anaenda kazini kwani alikuwa daktari Mhimbili)
Akaniona..
Akapaki pembeni, akashuka, tukasalimiana na kupiga michapo miwili mitatu akaondoka.
Mimi kichwani nikawa najiuliza, Kweli kabisa mtoto wa waziri mkuu mwingine can waste her time for an ordinary, clueless, and colorless paratrooper?
1
108



































