Pinned Tweet
Haya ndio hutokea kazi za ofisini zinapofanyika nyumbani ๐๐คฃ๐. Que le Travail Continue!
Kazi lazima iendelee! Jarida la #HabarizaUN lazima liwafikie watazamaji kutokea nyumbani hata pale mtoto anapodai katuni yake ya #PeppaPig
๐ฅ: Anita Kayanda
#Telecommuting #COVID_19 #Remoteworking #PeppaEffect
Anold Kayanda retweeted
Leo ni #InternationalCoffeeDay Je waujua mbuni [M-BU-NI]? Mbuni ni mmea wenyewe unaokupatia kahawa โ unayokunywa iwe asubuhi, mchana, jioni au usiku! Katika ofisi za Umoja wa Mataifa, #UNON Nairobi, Kenya mibuni imeshamiri kwenye bustani ya amani! @assumpta_massoi amekusogezea.
Anold Kayanda retweeted
Mahojiano yangu na @ProfJanabi Mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwengu Kanda ya Africa @WHOAFRO kandoni mwa #UNGA81
Mkurugenzi wa @WHOAFRO amezishauri nchi za Afrika kuacha kutegemea uagizaji wa chanjo na dawa kutoka nje na badala yake kushirikiana kupitia jumuiya za kikanda kujenga uwezo wa kuzalisha bidhaa hizo barani humo.
@ProfJanabi #UNGA81 #majangayakiafya
Anold Kayanda retweeted
Virusi vya #Bundibugyo ni nini na vina tofauti gani na virusi vingine vinavyosababisha Ebola?
news.un.org/sw/story/2026/09โฆ
Anold Kayanda retweeted
Ni kwa jinsi gani @MountKenyaUni inasongesha #SDG9 kupitia mpango wa @ImpactUN ? Ungana na Profesa Peter Wanderi Mwangi aliyezungumza na @KayandaAnold kandoni mwa #HLPF (2026)
news.un.org/sw/story/2026/07โฆ
Anold Kayanda retweeted
Kutoka kupata upofu hadi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa #Kenya, Jaji Kibaya Laibuta @KILaibuta ameonesha kuwa ulemavu sio kulemaa.
Lakini pia anaeleza changamoto wanazokutana nao wats wenye ulemavu.
@KayandaAnold #CRDP #COSP19
Anold Kayanda retweeted
Mkutano wa 19 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Haki za Watu Wenye Ulemavu #CRPD, umetamatishwa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.
@KayandaAnold amezungumza na Zuleikha Tambwe, Mtanzania aliyeshiriki kuongoza Kamati ya #COSP19
Anold Kayanda retweeted
Congrats @JoyceMsuya for your leadership, dedication and service at the @UN very proud of you ๐๐พ๐๐พ๐บ๐ณ๐น๐ฟ๐๐๐พโ๐พ
Anold Kayanda retweeted
Jarida la Habari za @UmojaWaMataifa na @Oresia
๐๏ธMuhtasari wa habari @leahbtz akimulika #Ebola, watoto na mitandao @volker_turk na Ripoti ya @endrapeinwar
๐๏ธMahojiano ya @KayandaAnold na Naibu Mkuu wa @UNOCHA anayemaliza muda wake @JoyceMsuya
news.un.org/sw/audio/2026/05โฆ
Anold Kayanda retweeted
"Naanza ukurasa mpya baada ya miaka minne @UNOCHA. Kimekuwa kipindi chenye changamoto, lakini pia cha kuridhisha. Ninatoa shukrani na kuwatakia wenzangu kila la heri..." - Ameandika @JoyceMsuya katika X akiaga @UN.
@KayandaAnold wa @HabarizaUN amezungumza naye.
Anold Kayanda retweeted
Mahojiano kwa lugha ya kiingereza ya @KayandaAnold na Naibu Mkuu wa @UNOCHA @JoyceMsuya anapotamatisha majukumu yake baada ya kutumikia @UmojaWaMataifa kwa miaka minne.
Anold Kayanda retweeted
.@UmojaWaMataifa @UN wawekeza dola milioni 340 #NairobiKenya kuimarisha kitovu chake Afrika.
@antonioguterres
@WilliamsRuto
@ODG_UNON
@UNISNairobi
@StateHouseKenya
Anold Kayanda retweeted
Wakunga ndio nguzo kuu ya afya ya mama na mtoto mchanga. Huduma yenye ujuzi kabla, wakati na baada ya kujifungua inaweza kuokoa maisha na wakunga ndio walio katika nafasi bora zaidi ya kutoa huduma hiyo japo kuna uhaba mkubwa duniani. - @WHOWPRO
#DayoftheMidwife
#IDM2026
๐โ๐
Ahadi ni deni! Mahojiano ya @KayandaAnold
na ๐๐ธ๐. ๐๐น๐ถ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ธ๐ @ExcelliSpaceLLC Mhandisi wa
@NASA akizungumzia:
๐Yeye mwenyewe anatoka wapi?
๐Mwanamke aliyekuweko misheni ya #Artemis hivi karibuni
๐Ujumbe wake kwa wasichana na wavulana
1
25
Anold Kayanda retweeted
โBoth my parents were big cheerleaders for us growing upโฆ My dad, during the holidays, would make us do forty or sixty math problems. He believed so much in us,โ says Dr. Alinda Mashiku of @NASA, speaking to @KayandaAnold. #Artemis
Anold Kayanda retweeted
"Naona furaha watu wanavyoshangilia, na mimi pia nashangilia nao." ๐๐ธ๐. ๐๐น๐ถ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ ๐ฎ๐๐ต๐ถ๐ธ๐ wa @NASA akizungumza na @KayandaAnold baada ya kusikia kuwa watu wamefurahi kutambua mchango wa kazi yake ya kuhakikisha wanaanga wanaenda mwezini๐na kurejea salama #Artemis
Anold Kayanda retweeted
"Nchi nyingine zinakuja #Kenya kujifunza tunavyotekeleza vizuri Malengo ya @UmojaWaMataifa @UN ya Maendeleo Endelevu, #SDGs" - Hanna Wendot Cheptumo @hannawcheptumo
@KayandaAnold
Anold Kayanda retweeted
๐Havana, Cuba
Mahojiano ya @KayandaAnold na Profesa Barbara Batte ambaye anafundisha lugha ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Havana nchini Cuba.
Kwa kushirikiana na #Tanzania chuo hicho ambacho kimetimiza miaka 298, hivi karibuni kimetoa fursa kwa Wacuba kujifunza Kiswahili.
Anold Kayanda retweeted
Habari za UN na @KayandaAnold
๐@WHO: Takribani theluthi mbili ya vifo vya wajawazito duniani hutokea katika nchi zilizoathiriwa vibaya na migogoro.
๐Watoto wanazidi kuteseka nchini #Ukraine
๐Mchakato wa kutoa nyaraka za #EpsteinFiles haukuzingatia faragha za waathirika.
Anold Kayanda retweeted
Kando ya Mkutano wa 64 wa Kamisheni ya #UN ya Maendeleo ya Jamii #CSocD64 uliomalizika leo @KayandaAnold amezungumza na Mwakilishi kutoka #Tanzania Wakili Amon Mpanju ambaye ni Naibu Katibu @maendeleoyajami kuhusu ๐ต๐ฎ๐ธ๐ถ.




