Kitigo Gingo (@KitigoG) header
Kitigo Gingo (@KitigoG) profile picture

... Team Man U...

Joined May 2010
Photo by Kitigo Gingo (@KitigoG)Photo by Kitigo Gingo (@KitigoG)Photo by Kitigo Gingo (@KitigoG)Photo by Kitigo Gingo (@KitigoG)Photo by Kitigo Gingo (@KitigoG)Photo by Kitigo Gingo (@KitigoG)Photo by Kitigo Gingo (@KitigoG)Photo by Kitigo Gingo (@KitigoG)Photo by Kitigo Gingo (@KitigoG)Photo by Kitigo Gingo (@KitigoG)
Just because 1 person hurt you doesn't mean everyone is going to hurt you! Don't let past pain rob you of future pleasure!
48
219
12
1,540
Yaani kabisa mmekaa mnashangilia "Timu za Afrika" ? Kabisa yaani? 😀😀😀 – at Prignano sulla Secchia, Emilia Romagna
3
2
1
6
Mchezaji mfupi "kimeo" bingwa wa kususa na kulia lia timu ya taifa kakosa 😀😀😀 – at Sassuolo, Emilia Romagna
1
1
Kitigo Gingo retweeted
Replying to @KitigoG
upo
1
1
Replying to @KitigoG
@KitigoG "kitigo gingo."
Kitigo Gingo retweeted
Replying to @KitigoG
U mzima?
1
1
Kitigo Gingo retweeted
Mama teapawt.net/KitigoG/status/9240148… – at Dar es Salaam, Tanzania
Replying to @KitigoG
Swalama hukoo?
1
1
Replying to @KitigoG
Ewaaaa ota ota
Kitigo Gingo retweeted
Replying to @KitigoG
Baelezee wau
Replying to @KitigoG
mRDT ni kipimo cha uhakika zaidi kuliko kipimo cha darubini ambacho huhitaji ubora wa uandaaji sample, darubini & msomaji. #ElimikaWikiendi – at Tanzania
2
4
Uchunguzi wa Malaria umeboreshwa kwa kutumia kipimo cha haraka cha kutambua Malaria au malaria Rapid Diagnostic Test(mRDT). #ElimikaWikiendi
1
25
1
34
Dalili za Malaria kali kwa mtoto:kushindwa kunywa au kunyonya, kutapika kila kitu, degedege, kulegea kupita kiasi/kuzimia. #ElimikaWikiendi
20
20
Upimaji na matibabu ya Malaria havipaswi kuwa tu sehemu ya kuzuia Malaria bali kuwa moja kati ya haki za msingi kwa watu. #ElimikaWikiendi
Homa na dalili nyingine za Malaria kama kutapika ni matokeo ya moja kwa moja ya kujihami kwa mwili dhidi ya ugonjwa huu. #ElimikaWikiendi
17
16
#Tanzania ishara na dalili za Malaria kali zinaonekana mara kwa mara ni upungufu mkubwa wa damu na Malaria ya ubongo. #ElimikaWikiendi
16
15
9) Malaria ni hatari zaidi kwa wanawake wajawazito kwasababu kidubini kinaweza kupenya kwa mtoto. #ElimikaWikiendi
12
13
Wenye Malaria kali hutokeza dalili kama upungufu mkubwa wa damu, kushindwa kupumua vizuri au Malaria kupanda kichwani. #ElimikaWikiendi
1
23
26
Replying to @KitigoG
Salama... Nashukuru pumzi haina ushuru
Replying to @KitigoG
Asante, Nakukumbuka Pia, Salama huko?