Shedy (@_sdeule) header
Shedy (@_sdeule) profile picture

Let us be the people of hope.. God be with us... Maisha yetu yaongozwe na MUNGU .. Mathew 6:33 Team @Youngafricans @Manutd

Iringa, Tanzania
Joined August 2013
Through God we will do valiantly, For it is He who shall tread down our enemies. - Psalm 60:12 (NKJV)
2
14
81
956
Ameen
Si kila maendeleo yanaonekana kwa macho na si kila mafanikio huja kwa haraka Jifunze kuthamini hatua ndogo kuwa mvumilivu na kumtumaini Mungu.
1
65
Kijana mwenzangu kuna siku UTAFANIKIWA mbele ya macho ya watu wote ambao walikukatia tamaa, hawakukuamini, waliokunyima nafasi na fursa, waliosema hauwezi na wale wote waliosema haustahili. Endelea kupambana na kumtegemea MUNGU, ushindi wako mkubwa unakuja.
11
85
2
541
13,777
Kadri umri unavyosogea na uzoefu wa maisha kuongezeka. Unagundua kuna njia ambazo ni za wewe kwenda peke yako bila ndugu, marafiki wala mwenza. Ni wewe na Mungu wako tu.
5
51
268
5,502
5 Biblical Reasons to Fear Not: God is with you (Isa 41:10) God is sovereign over all things (Ps 115:3) God cares for you (1 Pet 5:7) God will never forsake you (Heb 13:5) Nothing can separate you from His love (Rom 8:38–39) Fear not. Your Father reigns.
7
149
7
681
14,598
“The LORD is good, a strong refuge when trouble comes. He is close to those who trust in him.” Nahum 1:7
1
17
71
635
Be exalted, O God, above the heavens; Let Your glory be above all the earth. - Psalm 57:5 (NKJV)
3
19
85
919
Akirejelea tukio la wanafunzi kusambaza video zisizozingatia maadili mitandaoni, @bwaya ambaye ni mzazi, mwalimu, mshunuzi na raia mwema wa kidijitali, anatoa wito wa kutafakari zaidi kuhusu malezi na maandalizi ya vijana katika ulimwengu wa kidijitali. Anasisitiza umuhimu wa wazazi na walezi kuwaongoza vijana, huku akihimiza walimu na wadau wa elimu kuboresha namna wanavyowajengea wanafunzi uelewa kuhusu matumizi na ushiriki wenye uwajibikaji katika mitandao ya kijamii. Bofya link hii tinyurl.com/mtwukr22 kufuatilia mjadala mzima wa #ElimikaWikiendi ya Uraia wa Kidijitali kwa Vijana. Sote tuna jukumu la kutekeleza! #UraiaWaKidijitali #MILTanzania #DigitalParenting #DigitalCitizenship
2
24
1
29
4,902
Mambo yakiwa magumu, ongea na Mwenyezi Mungu 🙂
8
28
2
163
2,517
“For our citizenship is in heaven..." Philippians 3:20
16
178
2
1,457
10,652
Mtu anayekupenda kweli hatakutaka uwe mkamilifu; atakusaidia kukua. #ElimikaWikiendi
2
2
31
Kuna wakati wa kuzungumza, wakati wa kusikiliza, na wakati wa kunyamaza. Hekima ni kujua tofauti. #ElimikaWikiendi
2
2
38
Mtu mwenye hekima hajibu kila jambo analolisikia. #ElimikaWikiendi
3
5
50
In the way of Your testimonies I delight as much as in all riches. Psalms 119:14
9
52
426
The stone which the builders rejected Has become the chief cornerstone. This was the LORD's doing; It is marvelous in our eyes. - Psalm 118:22-23 (NKJV)
3
9
50
819
Usipoteze muda kujaribu kuwafurahisha watu wote; hata jua haliwezi kumfurahisha kila mtu. #ElimikaWikiendi
2
2
29
Usingoje maisha yawe rahisi ndipo uwe na furaha; jifunze kupata furaha katikati ya changamoto. #ElimikaWikiendi
2
3
28
Usisahau kumshukuru Mungu kwa pumzi uliyonayo leo; si kila mtu aliyeamka jana amefika leo. 🙏 #ElimikaWikiendi
2
2
34
Kila jeraha linaweza kuwa ushuhuda wa nguvu uliyoipata baada ya kupitia maumivu. #ElimikaWikiendi
2
2
32
Leo usiwe mateka wa jana, wala mfungwa wa hofu ya kesho. #ElimikaWikiendi
2
2
22