Kiwango Updates (@KiwangoUpdates) header
Kiwango Updates (@KiwangoUpdates) profile picture

Elimu bila Mipaka

Dar es salaam, Tanzania
Joined September 2026
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 RAIS SAMIA AWASIRI UTURUKI. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Antalya nchini Uturuki, leo tarehe 10 Novemba 2026, ⤵️
11
12
9
12
723

kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31). Mkutano huo unakutanisha viongozi wa dunia kujadili mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Follow us for more 👇👇
29
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 RAIS SAMIA KUSHIRIKI COP31 UTURUKI 🇹🇿🇹🇷 Rais Dkt. Samia Suluhu, ameondoka nchini mapema leo hii na anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) jijini Antalya, Uturuki, Novemba 9–20, 2026. ⤵️
1
10
10
347

Viongozi na wadau watajadili ufadhili wa tabianchi, nishati safi, uhifadhi wa misitu na ustahimilivu dhidi ya ukame na mafuriko. Tanzania itakuwa na tukio maalumu Novemba 11 kuhusu mpito wa nishati safi shuleni na vituo vya afya, likitajwa kumshirikisha Rais Samia. ⤵️
1
27
Follow us for more 👇👇
5
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Leo Tarehe 6 Novemba katika viunga vya mahakama katika kesi ya Uhaini inayo mkabili Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
9
12
8
15
2,165

Hali inaonekana ni shwari na ulinzi umeimarishwa haswa huku kukiwa na utaribu maalumu wa kuingia mahakamani na watu tayari wameingia. Follow us for more 👇👇
38
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS 🚨 Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania apiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino.
12
14
9
17
1,096

Uchaguzi huo unafanyika kufuatia aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Mhe. Deogratius Ndejembi kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Follow us for more 👇👇
39
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKINGNEWS🚨 "(Wanaharakati) wanasema hao waoga kwanini hawatangazi maandamano, njooni tutangaze wote." Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Alipofanya Mkutano na waandishi wa Habri jana tarehe 1/11/2026 Follow us for more 👇
10
11
8
12
1,062

🚨BREAKING NEWS🚨 MHE. RAIS DKT. SAMIA: SERIKALI KUHAMIA DODOMA NI FURSA KIUCHUMI, BIASHARA Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuhamia kwa Serikali Dodoma kumechochea ukuaji wa jiji hilo, kuongeza idadi ya watu, biashara, uwekezaji na huduma.
11
13
9
17
1,840

Amesema hatua hiyo imefungua fursa za kiuchumi na kijamii, huku wananchi wakinufaika na ongezeko la maduka ya vifaa vya ujenzi na vituo vya huduma. Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Mji wa Serikali Mtumba. Follow us for more 👇👇
71
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Katika kile kinachoendelea sasa hivi juu ya kukamtwa ama kutekwa kwa mwanaharakti wa Tanzania aliekuwa akiishi mafichoni Kenya juu ya akaunti za mitandao ya kijamii kutoweka mara tu alipo husishwa kutwekwa kwake.
2
12
21
1,631

Wadau wanahoji kuwa Huenda Twaha ameamua kujificha ili kukwepa mambo flani flani. Tuendelee kufuatilia kwa ukatibu. Follow us for more 👇👇
113