Kiwango Updates (@KiwangoUpdates) header
Kiwango Updates (@KiwangoUpdates) profile picture

Elimu bila Mipaka

Dar es salaam, Tanzania
Joined September 2026
Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)Photo by Kiwango Updates (@KiwangoUpdates)
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 RAIS SAMIA AWASIRI UTURUKI. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Antalya nchini Uturuki, leo tarehe 10 Novemba 2026, ⤵️
11
12
9
12
724
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 RAIS SAMIA KUSHIRIKI COP31 UTURUKI 🇹🇿🇹🇷 Rais Dkt. Samia Suluhu, ameondoka nchini mapema leo hii na anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) jijini Antalya, Uturuki, Novemba 9–20, 2026. ⤵️
1
10
10
348
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Leo Tarehe 6 Novemba katika viunga vya mahakama katika kesi ya Uhaini inayo mkabili Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
9
12
8
15
2,166
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS 🚨 Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania apiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino.
12
14
9
17
1,096
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKINGNEWS🚨 "(Wanaharakati) wanasema hao waoga kwanini hawatangazi maandamano, njooni tutangaze wote." Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Alipofanya Mkutano na waandishi wa Habri jana tarehe 1/11/2026 Follow us for more 👇
10
11
8
12
1,062
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 MHE. RAIS DKT. SAMIA: SERIKALI KUHAMIA DODOMA NI FURSA KIUCHUMI, BIASHARA Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuhamia kwa Serikali Dodoma kumechochea ukuaji wa jiji hilo, kuongeza idadi ya watu, biashara, uwekezaji na huduma.
11
13
9
17
1,840
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Katika kile kinachoendelea sasa hivi juu ya kukamtwa ama kutekwa kwa mwanaharakti wa Tanzania aliekuwa akiishi mafichoni Kenya juu ya akaunti za mitandao ya kijamii kutoweka mara tu alipo husishwa kutwekwa kwake.
2
12
21
1,631
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 MAKAMU WA RAIS AAGIZA MPANGO MKAKATI WA KUWAANDAA VIJANA KUNUFAIKA NA MIRADI YA MAFUTA NA GESI DAR ES SALAAM, Oktoba 28, 2026 – Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi,
14
10
9
11
1,039
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa wito kwa watanzania kufanya mgomo wa kula ili kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kufanywa na Tundu Lissu, kuanzia Jumatatu ya Oktoba 26, 2026.
1
10
18
432
Kiwango Updates retweeted
Replying to @chimbolavijana
@chimbolavijana limekusogezea huduma za kijamii karibu yako, @UhamiajiTz , @NIDA_Tanzania na Mashirika mengi yapo kwa ajili ya kuwahudumia Vijana. Sogea sasa katika viwanja vya Gymkhana kupata huduma unazo zihitaji kwa haraka 🔥
13
17
548
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Fikra ya mwaka 2026 imetunukiwa kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) na maafisa wake. Akitangaza mshindi wa tuzo ya mwaka 2026 katika ukumbi wa Bunge siku ya Alhamisi, Rais wa Bunge la Ulaya, Roberta Metsola, alisema:
15
16
10
20
1,850
Kiwango Updates retweeted
John Heche alisema kuwa aliwai kumsema magufuli na hata alipoenda kwenye ziara katika jimbo lake alikataa kupelekeshwa na Magufuli. Teknolojia haisahau kitu.
2
7
2
9
447
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS 🚨. Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026. Follow us for more 👇 👇
12
10
513
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS 🚨 Mwenye Nyumba katika eneo la Hai ambae ndie alie wapangisha Chadema, anae julikana kwa jina la Juliana Michael Mbaga amechukua uwamuzi wa kuwapa Notisi Chadema kufuatia lugha chafu za Chadema. ⤵️
20
15
9
21
2,197
Kiwango Updates retweeted
KUMBUKIZI, Heche alipokutana na Aliekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli Follow us for more 👇
5
13
3
17
685
Kiwango Updates retweeted
🚨BREAKING NEWS🚨 Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
118
14
22
68
21,416
Kiwango Updates retweeted
🚨 BREAKING NEWS🚨 Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi, usiku wa Oktoba 18, 2026, ameshuhudia Dar City ikitwaa ubingwa wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) kwa kuichapa Stein Warriors vikapu 66 kwa 50, uwanja wa IST, Masaki.
10
9
7
19
1,233
Kiwango Updates retweeted
🚨BRAKING NEWS🚨 Marekani yapunguza tahadhari ya usafiri kwa Tanzania huku Wamarekani wakiongoza soko la wageni katika sekta ya utalii ya dola bilioni 4.4. Marekani imeshusha kiwango cha tahadhari ya usafiri kwa Tanzania nzima kutoka ngazi ya 3 (“Fikiria Upya Safari”)
11
13
7
28
1,877
Kiwango Updates retweeted
Msanii wa kizazi kipya, Rajabu Al Maaruf Harmonize jana tarh 17 alionekana Zanzibar kwenye show ya 30 ya Bongo fleava ila alivua pembeni vazi lake la Isanii na kujivika lile la Ushabiki.
3
8
12
1,592
Kiwango Updates retweeted
Shangwe la wakazi wa Songea walipo amua kutumia nyimbo ya kihindi (songi) kumkaribisha Jihan Nyumbani. wimbo huo maarufu katika movie ya Disco Dancer iliyo achiwa mwaka 1982 na alie igiza ni Mithun Chakraborty.
4
15
25
2,447