Family Nurse 🌝 (@Litelight9) header
Family Nurse 🌝 (@Litelight9) profile picture

madam nurse🐇💉💊| #spotlessfeastsolution @cleanerlight1 | ask any medical help

Joined July 2021
Photo by Family Nurse 🌝 (@Litelight9)Photo by Family Nurse 🌝 (@Litelight9)Photo by Family Nurse 🌝 (@Litelight9)Photo by Family Nurse 🌝 (@Litelight9)Photo by Family Nurse 🌝 (@Litelight9)Photo by Family Nurse 🌝 (@Litelight9)Photo by Family Nurse 🌝 (@Litelight9)Photo by Family Nurse 🌝 (@Litelight9)Photo by Family Nurse 🌝 (@Litelight9)Photo by Family Nurse 🌝 (@Litelight9)
Nini kinakuzuia kufanya kazi na sisi? 1. Tuna professional cleaners 2. Machines zenye uwezo mkubwa 3. Sabuni & chemicals sahihi 4. Hutaijuitua nyumba yako hata baada ya miaka 100 kupita 5. Timely delivery 6. Reasonable price Call us 0695475044.. au fika ofisini kwetu dox.
6
42
2
70
11,879
Watu wanasema " we are toxic" 😂😂 Just because hatujataka kuyumbishwa na shengesha zao
I really love the way I can mind my own business, I’m on a different level😂
133
Kaka zetu wamefanya tena 🌝🌝
Kama sio Emergence jiepushe mahusiano na wanaume wa kanda ya Iringa😌 utaona moto.
1
1
171
Tumia Trixie Multipurpose Cleaner kwa usafi wa sehemu mbalimbali za nyumba na ofisi yako Price: 12000 (12k) 5 Ltrs Location📍:Ubungo Mawasiliano Contact☎️: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya kwa gharama za mteja #WeProduceAndProvideTheBest🔥 Good Morning !
2
29
40
494
Replying to @Litelight9
Good morning dear, wish you a grateful week ahead☺️❤️ teapawt.net/sincerelyrahma7/status…
HAYA NI BAADHI YA MADHARA YA KUJENGA BILA KUFUATA USHAURI WA WATAALAMU⚠️‼️⛔️ Kabla ya kuanza ujenzi, hakikisha unapata ushauri na mwongozo kutoka kwa wataalamu @GeoConstructors @Geo_Traverse . Maamuzi yasiyo sahihi katika hatua za awali za ujenzi yanaweza kusababisha gharama zisizotarajiwa, kasoro za kiufundi na kuhatarisha usalama pamoja na uimara wa jengo lako. Usihatarishe uwekezaji wako kwa kufanya maamuzi bila ushauri wa kitaalamu. KUPITIA GEOTRAVERSE, UNAPATA HUDUMA ZIFUATAZO: ✅Land Surveying: Upimaji wa ardhi na uwekaji wa mipaka. ✅Architectural & Structural Designs: Usanifu wa majengo na ramani za ujenzi. ✅Building Approvals: Uandaaji na ufuatiliaji wa vibali vya ujenzi. ✅Bills of Quantities (BOQ): Makadirio ya gharama za ujenzi. ✅Construction & Project Management: Ujenzi na usimamizi wa miradi. ✅Land Consultancy: Ushauri wa masuala ya ardhi na hati miliki. ✅Property Valuation: Uthamini wa ardhi na mali. ✅Land Use Change: Kubadili matumizi ya ardhi. ✅Real Estate: Uuzaji wa viwanja na ushauri wa uwekezaji. ✅Construction Materials: Uuzaji wa vifaa vya ujenzi. GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES Suluhisho Jumuishi la Huduma za Ardhi, Mali na Ujenzi. 📞 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp) 📍 Dodoma, Barabara ya Tisa #GeoTraverse #GeoConstructors #ConstructionTanzania #UjenziBora #LandSurveying #ArchitecturalDesign #RealEstate
1
1
36
On today's episode of " a beginner"
1
2
18
316
Family Nurse 🌝 retweeted
Mikoa 3 Bora kwangu yenye Fursa mbichi sana ni:- 1. Dodoma 2. Dodoma 3. Dodoma.
18
8
2
246
12,485
Family Nurse 🌝 retweeted
Karibuni dagaa wapo Kamanga Mwanza & Dar Sinza mori ni wapya 1kg/Sado 25,000/- Pia nipo mwenyewe Sinza Mori karibuni niwahudumie 0759855572 Kwingine natuma
1
30
77
1,353
Family Nurse 🌝 retweeted
Replying to @SILASMATHIAS8
No i do not. I respect your stance though.
2
3
4
10
4,856
Wahenga walisema " Unacho taka nataka "
Sisi ndo wahenga wa 2080 na hakuna msemo hata moja tumetoa?frauds😂
3
369
Family Nurse 🌝 retweeted
Niliwahi kuwa hivi itoshe kusema wanaume hawapendi hii kitu wanapenda kutumia pesa kwa wanawake wanao wapenda Na wewe utatumika kama daraja tu akivuka ndio byebye
I just think when a woman actually loves you, she also protects your money. If you have ever heard her say “no babe that’s expensive, let’s do something else, or we need to save for xyz” then you’ve reached a different stage of partnership.
1
1
6
993
Adhabu za kufyatua tofali zirudi
Ningewaelewa kama wangesema wameondoa adhabu ya viboko advanced level tu, ila sio mpaka primary na o level wale watoto wanahitaji viboko akili zao zinase mambo na kuwatengenezea nidhamu.
1
1
4
317
Family Nurse 🌝 retweeted
Replying to @Litelight9
Huwezi kununua gari mrembo acha hizo habari.
2
1
2
121
Family Nurse 🌝 retweeted
Wengine watafika ila wewe sahau kufika hizo levels.
2
1
1
1
796
Tarudi hapa nikisha nunua gari langu la tatu.. na nikifingua duka la pili... Sahizi kweli levels bado.. but at least I have few things under my name.
Wengine watafika ila wewe sahau kufika hizo levels.
1
9
665
Family Nurse 🌝 retweeted
Send Off Guest glam🥰 📣Book your makeup appointment NOW Piga simu/ Whatsapp 📲 0676335537 📍Sinza, Ahadi St #glammedbyqueeenminah
4
17
1
71
1,798
Aseeeee, Kuna negativity nimeona hapa Kama kweli ndio mnawaza hivi kuhusu wanawake.... Kama nchi bado tuna safari ndefu sana 💔
Saivi ukienda kwenye jengo lenye frame nyingi utaona sehemu kubwa ni biashara zinazomilikiwa na wanawake, wengine wameanza kujenga nyumba za kuishi kabisa, masela tukaze tusije tia huruma huko mbeleni.
3
1
24
4,332
Wanawake ni watafutaji, wafanyakazi na wapambanaji tangu zamani. Tumezaliwa, tumekuta mama zetu ndio wanalima, kutunza mifugo na kufanya kazi nyingi. Mazao yakiomaa WAZEE wanauza na kuoa mke wa pili au kunywea pombe. Tofuati iliyopo sasa, ni kuwa wana haki zaidi kwenye UMILIKI.
Saivi ukienda kwenye jengo lenye frame nyingi utaona sehemu kubwa ni biashara zinazomilikiwa na wanawake, wengine wameanza kujenga nyumba za kuishi kabisa, masela tukaze tusije tia huruma huko mbeleni.
4
6
1
30
3,537
Family Nurse 🌝 retweeted
Replying to @Makaveli_255
Hapo Sinza nimekaa miezi 6 nimeshangazwa sana naona zaidi ya 95% wanajitengenezea pesa zao bila kudanga.
4
1
13
2,987