Pinned Tweet
Just published an article about Trademark infringements.
medium.com/@luhambarashidi/t…
Zamani hizi series za 30 episodes mi nilikua naangalia in 2 days.
Outing? Mpaka jua linatoka the cask enzi hizo pale Mwanza.
Saiii movie ya 3hrs naweza iangalia hata siku 7 ndo niimalize.
Adulting 🙌
Upo town halafu mtoto wa mtumwa
Katoka shamba alafu mtoto wa chief, means anajua uongozi, ana elimu ana exposure.
Ilikua ni lazima iwe hivi.
Wakuu ilikuwaje kuwaje dingi kutokea Butiama ndani ndani huko tena mwalimu tu akaingia jiji la Dar es salaam na akatake over the game mbele ya wazaramo waliokuwepo siku zote na baadae yeye ndie akawa hero wa mchezo.
Ujue hiyo convicing power sio ya kimchezo mchezo na wazaramo walivo wajanja wajanja ila kwa Kambarage walitii😂🙌🏾🫡






















