
SexyLady💋💕 Musician🎤 👸Actress New Hit #SAMAHANI ft Lavalava Video is Out now watch ⬇️
Joined December 2015
- Tweets2K
- Following26
- Followers6.7K
- Likes1.6K
Pinned Tweet
Link za ngoma zote 4 kwny EP
👉🏿 youtu.be/SvmqWQ55jVw
👉🏿 youtu.be/G29Zxetra2M
👉🏿 youtu.be/D2bLNfpHcFw
👉🏿 youtu.be/vIvw_1dWXX4
Enjoy and retweet ziwafikie watu wengi zaidi 🙏🏿
#Kawaida Video Challenge📺💥 Out Now kindly go watch, like, comments, share and subscribe to @luludivatz Youtube channel... Thanks to you all fans and any one who made this possible😍😍🙌🙌🙌🙌
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
youtu.be/_DYk8IO-EYM
Hello habari ..naitwa Lulu Diva naomba support yako ku subscribe , like & comment nyimbo yangu mpya #SAMAHANI Featuring @iamlavalava, Nyimbo ipo available katika platform zote Audiomack na zingine mbali mbali.#SAMAHANI🔥🔥💥 BONYEZA LINK 👇🏽👇🏽
youtu.be/z3ctoCgs3PE
Lulu Diva retweeted
Replying to @luludivatz
@luludivatz - Mama
Lulu Diva retweeted
Mothers are special beings, It’s only right we celebrate them with @LuluDivaTZ’s single “MAMA” ❤️
Watch it playing now on the E.A Queens show [Ch. 362 on Azam TV]!
@azamtvug @azamtvtz @azamtvRW
#ChannelUMusic #StrictlyEastAfrican
2
5
Lulu Diva retweeted
Nyimba Mpya 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾:
@luludivatz Aachia Ngoma Mpya Kwa Jina ‘Mama' [Video] - News | Mdundo.com
Soma zaidi hapa mdundo.com/news/30624
#MdundoNews #MdundoTZ #MdundoSwahili
1
19
Lulu Diva retweeted
Replying to @luludivatz
@luludivatz waja sie kukimbizana na vinavyo trend hatujambo Ila naamini kama #MAMA yako alikupa baraka basi jua jambo limebarikiwa.
Nikwambie tu kwenye #MAMA hii umetugusa kila ambaye atapita kuona video yako atajifunza kitu kinaitwa upendo wa #MAMA
1
14
Lulu Diva retweeted
#NewVideo : Msanii wa Bongo Fleva, @luludivatz ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa #Mama. Lulu Diva amesema wimbo huo ni makhsusi kabisa kwaajili ya mama yake pamoja na Wakina mama wote ambao wanapitia hali kama ya mama yake.
#KonceptUPDATES – at Dar es Salaam, Tanzania
Lulu Diva retweeted
Lulu diva - Mama 🎶🎵🎶 moja ya nyimbo bora saana, ujumbe mkubwa saana, inahuzunisha. Tuwapende na tuwatunze wazazi wetu.... @luludivatz
1
3
Lulu Diva retweeted
Replying to @luludivatz
@luludivatz amezindua Nyimbo yake ya #Mama ambayo ni makhsusi kabisa kwaajili ya mama yake pamoja na Wakina mama wote ambao wanapitia hali kama ya mama yake.!Sasa ndugu zenu @kitengemaulid @charles_william pamoja na @officialzungu_ wanataka kuwa ma-back vocal wa @luludivatz
Lulu Diva retweeted
Ni J’mosi nzuri kwa @luludivatz na Mashabiki wanaopenda ku-support Wasanii wao, Diva amepiga hatua nyingine ya utafutaji baada ya leo kufungua duka la vitu vya nyumbani Mbezi Beach Afrikana DSM likiuza vitu kama kuku, samaki, mayai, matunda, mboga n.k. #MillardAyoUPDATES
Lulu Diva retweeted
Replying to @BarakaFmKe
@BarakaFmKe #megabreakfast #sheshefriday #okumu na #Macaanay np come again by @luludivatz ft @eddykenzoficial
Lulu Diva retweeted
Jana The Sexy Lady @luludivatz On Stage #HaunaMaajabu LIVE Mbele ya Wakuu Wa Nchi 🤫 Its All About Pre-Party #SerengetiMusicFestival
Lulu Diva retweeted
#PichaYaSiku
Umeziskiza nyimbo za @luludivatz ama hauna maajabu 😎😎😎
Zipate kwenye Mdundo mdundo.com/a/133588
#MdundoTZ
1
12
Lulu Diva retweeted
Ni Road to #XtraUniBash2020 Jangwani Sea Breeze Jumamosi hii, kwenye #XXLyaCloudsFM leo anadondoka Sexy Lady wa Bongo Fleva @luludivatz Mrembo ambaye ni jukwaa hili hili miaka kadhaa nyuma lilimpa green lights kuonyesha unyama wake kwenye game. 🔥🔥🔥
Lulu Diva retweeted
Ni Road to #XtraUniBash2020 Jangwani Sea Breeze Jumamosi hii, kwenye #XXLyaCloudsFM leo anadondoka Sexy Lady wa Bongo Fleva @luludivatz Mrembo ambaye ni jukwaa hili hili miaka kadhaa nyuma lilimpa green lights kuonyesha unyama wake kwenye game. 🔥🔥🔥 – at Dar es Salaam, Tanzania

























