MAKITABA🔛 (@MAKITABA11) header
MAKITABA🔛 (@MAKITABA11) profile picture
Joined October 2021
Photo by MAKITABA🔛 (@MAKITABA11)Photo by MAKITABA🔛 (@MAKITABA11)Photo by MAKITABA🔛 (@MAKITABA11)Photo by MAKITABA🔛 (@MAKITABA11)Photo by MAKITABA🔛 (@MAKITABA11)Photo by MAKITABA🔛 (@MAKITABA11)Photo by MAKITABA🔛 (@MAKITABA11)Photo by MAKITABA🔛 (@MAKITABA11)Photo by MAKITABA🔛 (@MAKITABA11)Photo by MAKITABA🔛 (@MAKITABA11)
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
1
7
Hii kauli mbona sio sawa yani kipindi ambacho watu wanakumbwa na madhira ya kutekwa na kupotea alafu mzito wa Mkoa unasema " Dereva ambaye hanisikilizi mimi mkuu wa mkoa anamsikiliza tajiri yake familia yake itamsahau"😪
30
Tukipata UKOMBOZI wa taifa letu tutaanza na hawa watatu watuambie NDUGU ZETU wakiwauwa wanawazika wapi. Hawa wanayo majibu ya MAUWAJI yote yanayoendelea Tanzania. Hawa ndio wamechagua kutumika kama CONDOM ya DIKTETA JIKE. MTATUPA MAJIBU SOON.
44
🕊R.IP
This quoted post is unavailable.
40
Mama shikamooo! Pole na majukumu! Mama naomba uende kwa @godbless_lema Utakutana na post ,ukiisoma inachekesha ila ukiisoma kwa tafakari ya kiutendaji na uwajibikaji unaweza toa macho! Lema ni baba ,lema ni kiongozi je kufanyiwa haya inastahili? najua hakuna aliye juu ya sheria
Replying to @lifeofmshaba
Hujambo? Mnapungikiwa nini na mwenye dhamana na sekta niko hapa? Na mawasiliano yangu mnayajua vema je, zinapoanza hizo stori za rushwa huwa mnatoa wapi taarifa ili kwa pamoja tuwavizie tuwakamate mubashara? Kuna PCCB na kuna bango letu hapa chini na kuna namba yangu moja kwa moja sms 0765 345777. Sasa tuache kulalamika, waleteni wababaishaji wote kwa wakati muafaka tuanze pamoja hadi tuwatie hatiani. Rushwa haikubaliki. Sawa ndugu?
130
Usilete taharuki hapa. Tunahitaji amani kwanza. Haki baadae😡😡
1
75
How many cows did you see #Only legends
49
Few moment later😂.
Kuna watu watadhania jamaa hapa anacheza mziki 🤣🤣🤣
1
52
Mungu pekee anajua kwanini anatupitisha kwenye mambo kama haya! Sasa hapa jiulize % kubwa hapa ni wadosi kwahiyo wanapewa semina ili kutekeleza usherati😂 #wehavelongwaytogo
1
43
MAKITABA🔛 retweeted
"Samia hatumtambui, Serikali hatuitambui”-; Bwege REPOST 200
14
330
1
1,260
17,359
Bro unapiga hapo?😁me siwezi
1
2
81
Unapiga?
Huyo mbon ni mrembo tu zuchu huyu.
1
2
79
This quoted post is unavailable.
2
60
⏳:dak 16' SIMBA WAPASUKAAAAAAAAAAAAA⚽ MIGOGORO SIO KWENYE MKUTANO MKUU TU HADI HUKU MALI 🇲🇱 MIGOGORO INAENDELEA😅 STADE MALIEN wanapata bao la kuongoza Stade Malien 1️⃣-0️⃣ Simba SC
1
52
😂
Replying to @Addy_Adams
Sema nyie wazee wanafiki sana
80
Trust me tupo karibu sana kufika kwenye nchi ya ahadi!
Chilambo jibu swali................ "Sikulamba sukari"
101