Pinned Tweet
Vijana wengi waliojiunga na maandamano hawakujua kwamba nyuma ya harakati hizo kulikuwa na maslahi ya kisiasa na kifedha ambayo hayakuwahusu wao. Wengi walitumika kama zana huku wakifikiri wanapigana kwa ajili ya haki na uhuru wa kweli wa wananchi wenzao. #MariaSarungiNiMamluki
RAIS SAMIA AREJEA NCHINI KUTOKA UTURUKI
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam, wakati akitokea Antalya nchini Uturuki na kupokewa na viongozi
Rais Samia afanya mazungumzo na Rais wa Uturuki
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, jijini Antalya, Uturuki leo Novemba 12, 2026.
Rais Samia yupo nchini Uturuki kushiriki Mkutano wa Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa
Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini Antalya.
#TanzaniaCOP31 #sindototena
369
She knows Her power,
She wear it with grace,
She knows Her inner strength, built in storms conquered in silence,
She doesn’t need approval to fit,
She just feels the room with power immediately she walks in,
She knows where she belongs,
She is fully Her, she knows her worthy,
Dkt Samia ataka vitendo kukabili mabadiliko tabianchi
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametaka Mkutano wa 31 wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) kuelekeza nguvu katika utekelezaji wa ahadi zilizotolewa badala ya kuishia kwenye matamko, akisisitiza umuhimu wa kufikia matokeo
Tanzania kuimarisha ajenda ya nishati safi kupitia COP 31
Tanzania inatumia jukwaa la Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31) unaofanyika Antalya, Uturuki, kuimarisha ushirikiano na wadau wa kimataifa katika kufanikisha lengo la kuhakikisha
At COP31 President Samia is demonstrating that practical clean energy solutions and strategic partnerships can grow the economy while protecting the environment. Her leadership is making sustainable communities a reality across Tanzania and beyond. #TanzaniaCOP31 #SiNdotoTena
President Samia’s focused leadership at COP31, advancing clean cooking for thousands of institutions, securing key financing, and building ties with partners like Türkiye, positions her as a clear pioneer of clean energy and sustainable growth in Africa. #TanzaniaCOP31
President Samia continues to set the standard as Africa’s clean energy champion. By combining high-level diplomacy at the Antalya Summit with tangible clean cooking progress, she is turning climate goals into everyday reality for Tanzanian communities. #TanzaniaCOP31 #SiNdotoTena
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), Antalya Expo Center nchini Uturuki,
Clean cooking in the kitchen, clean power in the grid. Under President Samia, Tanzania is pushing both fronts of Africa’s energy transition. JNHPP’s 2,115 MW is the proof on one side, and COP31 is the stage. Congratulations on bold leadership! #TanzaniaCOP31 #SiNdotoTena
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. António Guterres, Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mataifa (UN) (kushoto) pamoja na Mhe. Recep Tayyip Erdoğan, Rais wa Jamhuri ya Uturuki (kulia), baada ya kuwasili ANFAŞ Antalya Expo
Center nchini Uturuki kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), tarehe 11 Novemba, 2026. #TanzaniaCOP31 #SiNdotoTena
105















