macheda retweeted
RAIS SAMIA AREJEA NCHINI KUTOKA UTURUKI
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam, wakati akitokea Antalya nchini Uturuki na kupokewa na viongozi
macheda retweeted
RAIS SAMIA AREJEA NCHINI KUTOKA UTURUKI
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam, wakati akitokea Antalya nchini Uturuki na kupokewa na viongozi
macheda retweeted
Mhe. Deo Ndejembi alikuwa Mtwara kwenye ziara leo, kufika jioni tayari amewasili Dar es Salaam kumpokea Rais Samia Suluhu Hassan aliyerejea kutoka ziara ya kikazi nchini Uturuki.
Zinabondwaaaa tu!!!!!!!!
macheda retweeted
Wakati we unapambana na kausha damu mtaani wenzio wanalamba mamilioni ya Serikali na wanawekeza katika biashara!!
Genz wa Geita hawataki masihara katika kuzikimbilia fursa za maendeleo!!
Kikundi cha Kwitwasye hawakuchagua madini wao walichagua kuwalisha wachimba madini na wametoboa!!
#fyp #chimbolavijana #viral #culturapopular
macheda retweeted
Katika kuendeleza ushirikiano wa kihistoria na kidiplomasia kati ya Tanzania na Uturuki, nimefanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Mheshimiwa Recep Tayyip Erdoğan jijini Antalya. Mazungumzo yetu yamegusia kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji kwa manufaa ya wananchi wa Tanzania na Uturuki.
Tumekubaliana kuweka mazingira wezeshi ya biashara, kuondoa vikwazo vya kibiashara vilivyosalia na kupanua masoko ya bidhaa za kilimo na madini. Pia, nimewahimiza wawekezaji wa Uturuki kuwekeza nchini katika viwanda vya nguo, usindikaji wa chakula na uzalishaji wa vifaa vya ujenzi, sambamba na kuhamisha teknolojia ili kuongeza uzalishaji, thamani ya bidhaa na fursa za ajira.
Aidha, tumejadili kupanua fursa za masomo na mafunzo ya amali kwa wanafunzi wa Tanzania, pamoja na kuendeleza utekelezaji wa mikataba ya ushirikiano katika uwekezaji na kodi, ikiwemo Mkataba wa Ushirikiano kati ya TIC na Ofisi ya Rais ya Uwekezaji ya Uturuki, na Mkataba wa Kuepusha Utozaji wa Kodi Mara Mbili.
Rais Samia afanya mazungumzo na Rais wa Uturuki
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, jijini Antalya, Uturuki leo Novemba 12, 2026.
Rais Samia yupo nchini Uturuki kushiriki Mkutano wa Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini Antalya.
#TanzaniaCOP31
She knows Her power,
She wear it with grace,
She knows Her inner strength, built in storms conquered in silence,
She doesn’t need approval to fit,
She just feels the room with power immediately she walks in,
She knows where she belongs,
She is fully Her, she knows her worthy,
Unshaken in her purpose,
Unapologetic in her identity,
She is the Woman of the moment.
She is Samia Suluhu Hassan.
Always Remember that NOUN.
The DIPLOMAT 🇹🇿
macheda retweeted
Ooh ndio maana siku hizi wanawake wengi wamekuwa majeuri kumbe wana waume zao wengine😳🫵
macheda retweeted
She knows Her power,
She wear it with grace,
She knows Her inner strength, built in storms conquered in silence,
She doesn’t need approval to fit,
She just feels the room with power immediately she walks in,
She knows where she belongs,
She is fully Her, she knows her worthy,
macheda retweeted
Rais Samia afanya mazungumzo na Rais wa Uturuki
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, jijini Antalya, Uturuki leo Novemba 12, 2026.
Rais Samia yupo nchini Uturuki kushiriki Mkutano wa Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa
macheda retweeted
Sikia man ipo hivi mi silazimishi mtu anisikilize ila majasusi yakae yakijua hakuna training ya CIA itawasaidia pale kucha au jino la kwanza litavotoka na watakufa bila kuzikwa wala kuagwa na ndugu zao.
macheda retweeted
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na ujumbe wa Uturuki uliongozwa na Rais wa nchi hiyo, Mhe. Recep Tayyip Erdoğan, Jijini Antalya, tarehe 12 Novemba, 2026.
macheda retweeted
Wakati wewe Gen Z unavuta shuka huko Geita Bombambili wenzio wanawekeza katika fursa zinazowazunguka kuyafikia mafanikio yao!!
Safari ya Chimbo la Vijana Geita inakuonesha namna Gen Z wanavyopambana kupata connection, fursa na namna wanavyojikwamua na changamoto za maisha!!
Chimbo la Vijana halileti Burudani tu, bali madini ya fursa elimu na connection🙌
#viral #chimbolavijana #populer #fyp #tanzaniatiktok


































