Pinned Tweet
Replying to @RobertGreene
Sometimes time and investment you have attached with may hold you back
2
325
Maliyamba retweeted
Baada ya miaka 2 uhamishoni, Goddie Lema wetu ameanza safari ya kurudi nyumbani. Kesho Mh. Lema atakanyaga tena ardhi ya Tanzania atakapowasili KIA saa 6:30 mchana. Nawasihi wananchi wa Arusha, Kilimanjaro, Manyara & kwingineko kujitokeza kwa wingi kumkaribisha Mh. Lema nyumbani. – at Tienen, België
Maliyamba retweeted
Nakupongeza Mhe. Rais Yoweri Museveni na wananchi wote wa Uganda kwa kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru. Kwa niaba ya Watanzania nawaahidi kuundeleza na kuukuza uhusiano na ushirikiano wetu wa kihistoria. Kwa pamoja tudumishe ujirani mwema, udugu na urafiki kwa manufaa yetu sote.
Maliyamba retweeted
Pale jela South Africa (sun city) kuna mtu kaandika ukutani.. "behold, its not the end of the road, Mandela was here for 27yrs, Zuma was here for 11yrs"
No one is above the law teapawt.net/swahilitimes/status/92…
Raia wawili wa A.Kusini wenye asili ya kizungu wamehukumiwa miaka 10 jela kila mmoja kwa kosa la kumlazimisha Mwafrika kuingia kwenye jeneza
1
Ukiwa msanii domo zege kwenye Tour za fiesta unakaa room usiku unasikilizia room za wenzio tu. Hapa namuoma @ommydimpoz na @IamBenPol 🤣
Maliyamba retweeted
I have the favor of God. Blessings are chasing me down. The right people are searching me out. New opportunities new levels are in my future













